Tetesi: Bilioni 1.9 zaibwa CHADEMA, Wingu zito latanda. Wabunge wagoma kuchangia chama

Status
Not open for further replies.
Jua tu kuwa kila pesa mbunge analipwa ni "imetoka kwako"
 

Wanaolalamika ni hao waliokatwa mishahara! Sisi tunapaza tu sauti, mbowe arudishe hizo pesa
 

Alwatan Lizigo; unaamini kabisa Ndugai anaweza ku-facilitate mishahara ya wabunge ikatwe kama michango kwa CHADEMA?
 
Baada ya kumaliza kuleta huu upuuzi tayari Dawa zimejaa hospitalini?
 
Sasa hiyo ni vita gani ambayo mtu mmoja hajulikani ni nan na yupoje

Hiyo sio vita ila ni VITIMBI tu vya mitandaoni
 
Nadharia
 
Sasa hiyo ni vita gani ambayo mtu mmoja hajulikani ni nan na yupoje

Hiyo sio vita ila ni VITIMBI tu vya mitandaoni

Nimekulazimisha uamini nilichokiandika hapa? Na Kwako Wewe neno Vita unaelewa tu ni mpaka Watu wapigane au wagombane kwa Kutumia Silaha? Pathetic.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…