Peter Madukwa
JF-Expert Member
- Sep 20, 2012
- 3,139
- 2,488
Rais ni taasisi siyo mtu; wacha kucomplicate vitu vidogo. Ni sahihi tu kusema Rais Samia ametoa bilioni 11.Hana fedha za kugawa kwa wananchi msilazumishe kufurahisha nafsi zenu.
Ufafanuzi mzuri sana huu,Rais ni taasisi na ndiye anayeunda serikali; amechaguliwa na wananchi anaongea na kutenda kwa niaba ya wananchi kwa hiyo tukisema Rais Samia ametoa fedha ni sahihi tu kwa kuwa hatuzungumzi Rais kama mtu binafsi bali ni taasisi.
Ni kweli,lakini sio zake.😍😍Ndio nani msimamizi wa hio serikali?
Ile Obama Care vipi?Ni kweli,lakini sio zake.
Sijawai sikia US wanasema hizi fedha ni za Baden! Ni ushamba tu wa watu weusi.
Naungana na wewe 100% kwenye hilihuyu dada yupo vizuri uamuzi wake mzuri alioutoa
Tuliza kidonda hizo fedha ni mali ya watanzania kwanini isiwe serikali imetoa fedha?Rais ni taasisi siyo mtu; wacha kucomplicate vitu vidogo. Ni sahihi tu kusema Rais Samia ametoa bilioni 11.
Kwanj wewe hujui fedha hizo kuwa ni za umma? Unaumiaje ikisemwa kuwa Rais ametoa fedha? Huyo ni Rais wa Watanzania anawakilisha watanzania.
Rais hana fedha za kujenga miradi bali ni fedha za serikali.Ile Obama Care vipi?
Uko sahihi pia, Yote ni majibu sahihiRais hana fedha za kujenga miradi bali ni fedha za serikali.
Sawa bosiUko sahihi pia, Yote ni majibu sahihi
Uwe na amaniSawa bosi
Nawe piaUwe na amani
It was just a name for the program, sasa huku kilae hela ikirudi kwa wananchi (kodi zetu) ,ooh ametoa mama samia,basi huyo mama ni tajiri.Ile Obama Care vipi?
Kwani kwa Samia is not Just a name?It was just a name for the program, sasa huku kilae hela ikirudi kwa wananchi (kodi zetu) ,ooh ametoa mama samia,basi huyo mama ni tajiri.
Ila sasa watuambie hela ya serikali itaanza tumika lini,maana anatumia zake.
It was just a name for the program, sasa huku kilae hela ikirudi kwa wananchi (kodi zetu) ,ooh ametoa mama samia,basi huyo mama ni tajiri.
Ila sasa watuambie hela ya serikali itaanza tumika lini,maana anatumia zake.
Pitia hii michango itakusaidia mkuuKwani kwa Samia is not Just a name?
Daaah nchi ngumu sana hii
Ngumu wapi mkuu, utakuta kamradi kadogo tu" Mama samia kawapa hizi fedha"Kwani kwa Samia is not Just a name?
Daaah nchi ngumu sana hii
Hizo fedha siyo za rais Samia !
Hizo fedha ni za watanzania rais hana fedha hapa nchini.
Fedha zake ni zile za mshahara wake muache kupotosha watu kwa makusudi.
Kama zimekopwa basi zitalipwa kwa kodi za watanzania na kama zimetolewa kama zawadi basi zimetolewa kwa jina la JMT.