Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kupitia huo mradi kuna wale wamba wa kufinyia kwa ndani, watajenga sana majumba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupanga ni kuchagu,Wajuzi wa mambo kati ya uwanja huu na ule uwanja wa Kenya una ojengwa upi mzuri kimchoro ?!
Japo wa kenya ni mkubwa utabeba watu elfu 60 wamesema.View attachment 2938903
Kwa nini wasiujengee Meserani, huko kwa mrombo hapafai kabisa.Kwa mrombo
2005 Mkapa stadium ilijengwa kwa bil 60Aisee kumbe gharama ni kubwa hivyo Billion 286 duh!!
Mfalme aliyeombwa alichomoa,serikali ikasema itajenga yenyewe.🤣
Nahisi uwanja wa Dodoma umeyeyuka!
Wa Dodoma unajengwa mkuu...wamezungushia mabati kabisa...upo juu kilimani kama unaenda Ihumwa unakua unaangalia jiji la dodoma kw uzuriii....Vipi na kuhusu zile Arena 2 walisema wata jenga, moja Dar es salaam na Nyingine Dodoma, zime ishia wapi maana naona kimya hakuna lolote, kwa mnao jua kuhusu hili tafadhali naombeni majibu.
Utajengwa ila sio Kwa Ajili ya Afcon Bali Ilani ya CCM na kukidhi matakwa ya Makao Makuu,Haina haja ya rash.🤣
Nahisi uwanja wa Dodoma umeyeyuka!
Hawakuwa na uwanja mkubwa wa Kisasa kama Benjamin MkapaJamaa wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. Wana akili za mbali sana hawa jamaa
Tushachoka na hizo stori benjamin mkapa hadi leo ukarabati haujaishaSerikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 286.
Kazi iendelee [emoji116][emoji116]
============
Serikali kupitia wizara ya Sanaa ,Utamaduni na Michezo leo Machi 19, 2024 imesaini mkabata wa ujenzi wa Uwanja wa Dokta Samia Suluhu Hassani wenyewe thamani ya shilingi bilioni mia mbili na themanini na Sita ambao utatumika katika michuano ya mataifa Afrika AFCON 2027 inayoandaliwa na nchi za Tanzania, Kenya na Uganda
Akizungumza na waandishi wa habari Waziri wa Michezo Dokta Damasi Ndumbaro amesema Lengo la uwanja huo kujengwa mkoani Arusha ni kuchochea maendeleo ya sekta utalii kupitia michezo.
View attachment 2938864View attachment 2938865View attachment 2938866
Hii comment yako ni yakipumbavuUmechelewa kupendekeza jina.Hata hivyo tuna Madini mengi ya thamani kuliko Tanzanite
Kwani lazima uanze Leo? Nchi inaendeshwa Kwa Bajeti.Tushachoka na hizo stori benjamin mkapa hadi leo ukarabati haujaisha
MaaamaeeSafi Sana, ujengwe katika hadhi ambayo ni ya ki Olympic, ili kitumike katika kila aina ya michezo ya kimataifa.
-"ESTADIO D'U SAMIAH SULUHU HASSAN"-
-ArushaSafi Sana, ujengwe katika hadhi ambayo ni ya ki Olympic, ili kitumike katika kila aina ya michezo ya kimataifa.
-"ESTADIO D'U SAMIAH SULUHU HASSAN"-
Utajengwa Matejoo au NguseroooHuo uwanja utajengwa kambi ya fisi ama kwa Iddi?
siku ya mpira mbuzi watalika sana.Kwa mrombo
Itabidi niwahi mahali pa kuuza nyama aiseeKwa mrombo