Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Bilioni 44.8 kujenga chuo cha kimataifa cha reli mkoani Tabora

Unakuwaga na mdahalo wa kiwaki!!
Anyway, unapoambiwa kufufua kiwanda, elewa kuwa sio kufufua lile jengo la kiwanda, bali ni kufufua mfumo mzima kuanzia sourcing ya raw materials, uzalishaji hadi masoko...
 
Anyway, unapoambiwa kufufua kiwanda, elewa kuwa sio kufufua lile jengo la kiwanda, bali ni kufufua mfumo mzima kuanzia sourcing ya raw materials, uzalishaji hadi masoko...
Kajambe babu,umevimbiwa...soko utalifufuaje Kwa muktadha huu!?
 
Icho kilichopo morogoro unajua kinatoa kozi ngapi ama unajishaua tu moro na Tabora Unajua wapi ni sehem ya kimkakati zaidi wa ki reli acha kuongea tu bila utafit Tabora ni sehem ya kimkakati ya kireli kuna njia nne pale...

Tabora-kigoma

Tabora- mwanza

Tabora-mpanda

Tabora-dom/dar

Nachuo cha kozi zote kipo Tabora na Tabora ni mazingira mazur sanaa ya mambo ya kireli mzee
Hapo Tabora wanafaa wajenge karakana ndogo na sio chuo.
 
Hapo Tabora wanafaa wajenge karakana ndogo na sio chuo.

Brother nimekupa taarfa Tabora ndo uwa kampas uko morogoro uwa sio ata chuo mbona mgumu kuelewa ilo eneo planned toka mwaka enzi za east Africa railways mzee
 
Brother nimekupa taarfa Tabora ndo uwa kampas uko morogoro uwa sio ata chuo mbona mgumu kuelewa ilo eneo planned toka mwaka enzi za east Africa railways mzee

Tabora ndo main campus mzee kesho nikumbushe nikupe historia ya chuo cha reli
 
Roho mbaya huna lolote
Kweli kabisa Tabora hakuna chuo chochote kikubwaa mnataka kijengwe Morogoro.Wacha wajenge Tabora tuu kwanza kwa reli pale ni kama katikati kwenda Kigoma,Katavi na Mwanza.Naunga mkono hoja hiyo tuache ubinafsi.Morogoro kuna vyuo kibao tuu.
 
Morogoro ni mkoa wa vyuo. Vyuo vyote vipya na vya zamani vinatakiwa kujengwa Morogoro; The rest, I can not accept...
Kifungu gani kwenye katiba kiupa hadhi mkoa wa morogoro kuwa mkoa wa vyuo?
 
Yeyote atakayeshiriki kujenga chuo cha reli tofauti na Morogoro atakufa hapo hapo kabla ya siku ya uzinduzi...
Huwezi kuitenganisha Morogoro na reli....
Kwanini usiwajengee ndugu zako chuo Cha uchawi?
 
Serikali ya Tanzania imesema imetenga Shilingi Bilion 44.8, kwa ajili ya kuanza Ujenzi Chuo kikubwa cha Reli mkoani Tabora chenye kiwango cha Kimataifa kwa mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), Kupitia kipande cha Tabora-Isaka.

Taarifa hiyo imetolewa mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge na Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Reli (TRC), Bi, Amina Lumuli ambapo ameeleza chuo hicgo kinatarajia kujengwa katika eneo la Malabi lenye ukubwa wa ekari 183.1. Kata ya Cheyo Manispaa ya Tabora.
Nusu ya pesa itapigwa
 
Kwamba kwa sababu kina-share facility ndio maana huungi mkono, hebu fikiri vizuri zaidi impact yake kwa mkoa wa Tabora na Taifa, usiwe selfish kiasi hicho
Mbinafsi huyo jamaa hajui Huo mrad utachangamsha mboka,manake imedumaa walah
 
Back
Top Bottom