Bill & Melinda Gates watalikiana

Bill & Melinda Gates watalikiana

Imebainishwa kuwa kabla Bill Gate hajamuoa Melinda alikuwa na uhusiano na mwanamke mwingine aliyeitwa Ann Winblad. Kabla ya kugunga ndoa Bill Gate aliomba kibali Ann Winblad na akamkubalia. Ndani ya ndoa Melinda naye alitoa ruhusa kwa Bill Gate na Ann Winblad kukutana walau mara moja kwa mwaka. Hii imekuwa ikitokea ndani ya mika 27 ya ndoa yao


Kwani kuna mwanaume mwenye hela ambae ana mwanamke mmoja? Anza kuchunguza kuanzia kipindi cha Wafalme mpaka sasa.
 
Mm sikubali.. Nitamtia sanda
IMG-20210506-WA0012.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fungu la kumi ngapi hapo... Na mchungaji wa kanisa lake atatangazwa soon kama billionea
 
Back
Top Bottom