Bill & Melinda Gates watalikiana

Ataendelea kutumia hilo jina had mwisho wa uhai wake.
Na bado wanaendelea na Ile foundation kama partners. Nafikiri walifikia makubaliano ya kuendelea kutumia hilo jina kwa sababu ya biashara. Kama ilivyokuwa kwa Mercy Mengi nafikiri wakiendelea kutumia jina, pia Marehemu Getrude Lwakatare naye aliendelea kutumia jina la mume. Wako wengi ambao kwa makubaliano wanafanya hivyo. Ila kuwe na mutual agreement ya kuachana. Kiafrika mara nyingi ni ngumu maana kuachana inakuwa kiuadui zaidi.
 
Much respect to both of them for going through it without a messy divorce.
 
Heading ya thread na maudhui hayaendani kabisa maana hakuna sehemu nimeona umeandika kuhusu Bill Gates kuwa na wake wawili na huyo wa pili ni yupi. Umesimulia kilichoandikwa mitandaoni tu🀷
 
MTU katoa trilioni 4 na point na bado kabakia kwenye nafasi take ya 4, ngja niendelee tu kupig nyungu
 
Ngoja niendelee kutembeza kahawa na kashata zangu hapa lumumba
Na Mimi nije kua bill geti wa nyumbanitu
Dadeeeeq

#mrangi una maoni gani kuhusu wazo langu nifikie malengo hayo maana wewe ni mtoto wa mjini Tena mkongwe kweli kweli!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jana niliona kilaza mmoja kwenye hizi media njaa ameandika kwamba huyo mama amekua wa 5 kwa pesa Duniani??? Nikabaki najiuliza why watu hawa hawasomi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…