Wengi tu na hawana haja ya kusaka soko la nje ya China maana la ndani tu linawatosha.China ina wanamziki kweli?
Kama ni hivyo, idara ya uburudishaji inalipa sana kuliko idara zingineWengi tu na hawana haja ya kusaka soko la nje ya China maana la ndani tu linawatosha.
Jana katajwa na Nay wa Mitego kuwa ni mwizi. Na siku nyingine Dotto Magari alichomekea kitu akakatishwa kijanjaHuyu tokea kinondoni anauza simu za wizi kuzipeleka south miaka hiyo nilijua ajaacha sifa zake za kuongeza sifuri
Komredi Jay Z alishasema muziki ndo kazi ya halali inayolipa zaidi.Kama ni hivyo, idara ya uburudishaji inalipa sana kuliko idara zingine
Hebu iba na wewe utoboe kakaHuyu tokea kinondoni anauza simu za wizi kuzipeleka south miaka hiyo nilijua ajaacha sifa zake za kuongeza sifuri
Ni kweli, kwa sababu mapato yao yanaweza kukwepa kodi; ukifuatia na mapato ya madhehebu ya dini.Komredi Jay Z alishasema muziki ndo kazi ya halali inayolipa zaidi.