Inategemea kama ni bia inakua tamu , kama ni pombe kali , kule kichwa kupata steam kunakupa vibe moja matata kama unapaaLadha gani
Kumbe ni dawa ya kulevya, haina maana.Inategemea kama ni bia inakua tamu , kama ni pombe kali , kule kichwa kupata steam kunakupa vibe moja matata kama unapaa
Pombe sio dawa za kulevyaKumbe ni dawa ya kulevya, haina maana.
Hiyo stimu?Pombe sio dawa za kulevya
Ipo tofauti yani mpaka unywe ndio utajua raha yakeHiyo stimu?
Min mee sijawahi kukuona sura ILA huwa ni miongoni mwa WATU NAO wakubali SANA. NILIANZIA kukukubali SIKU ulio toa USHAURI KUHUSU vijana WENGI kupoteza muda na kupoteza dira ya maisha mwishoni kutokana nakutojizuia kwa wanawake. Tangu SIKU HIYO nilikukubali San mkuu una nia NJEMA na jamii SIO wale wakaa KIMYA BADAE wanaanza mi NILIJUA TU hatofika popote.Ni kweli ILA mi huwa najiuliza na sipati JIBU HIVI WATU KUJA KWENYE show ni MPAKA wasikie una miliki gari la thamani SIJUI mabody guard nk au wana fata nyimbo nzuri MANA SHIDA ya Hawa wasanii hawataki kupangiwa maisha SASA SHIDA waja akiugua NDO mambo yanaenda mlama.
Kwishaaaa
Bro Alex on la beats yoow ..............Jah iz really
Leo ni siku ya mashujaa ,na mashujaa ni wakongwe na wazalendo itapendeza kama tungeishi na kilimanjaro mwanzo mwisho .Leo ngoja niijaribu ""Hanson choice""
Ni nzuriii sanaa mkuu 😊Mhmm naisikia tu sijawahi onja
Huwa sipendi pombe zenye harufu, ukinywa mdomo utoe harufu tena🤔Ni nzuriii sanaa mkuu 😊
🤣🤣🤣Ingekuwa hivyo Ally Kiba angekuwa na ndege yake,kwa ujinga huo anaoimba asitudanganye comprehensive insurance ya milioni 12 ni gari mbili za milioni 100
Anatuonaje,sema ni jasiri kuoa mje aliyefiwa na mume aliyekufa kwa kale kagonjwa
Ephen- unajua sisi wengine Huwa tuna kunywa kwa afya.Unaenjoy vipi pombe wakati nasikia ni chungu?
Mkwanja anao anao, ila issue nyingine za biasharaKama ni kweli tunampa pongezi kijana mwenzetu.
Ila wasianze kuumwa kidogo watake msaada na kulia lia mtandaoni.
Haitoi HARUFU ila Mimi naonaga bia zina leta HARUFU.Huwa sipendi pombe zenye harufu, ukinywa mdomo utoe harufu tena🤔
Hivi kumbe konyagi haina harufu,?Haitoi HARUFU ila Mimi naonaga bia zina leta HARUFU.
So ndio maana nakunywaga konyagiiii na TONIC WATER
Sawa.Ephen- unajua sisi wengine Huwa tuna kunywa kwa afya.
Yes ni chungu Mimi sipendi na Huwa siwezagi kumeza vitu vichungu so Huwa nakunywa let's say KONYAGIIII NDOGO MOJA nachanganya na TONIC WATER ana lemon na majii ama zile soda krest.
Ukitumia kilevi kiasi na uka weza ku maintain na ku control unakua very very smart upstairs 🤓
Karibu.
Mkuu huwa nashangazwa SANA kwa Nini MTU USIWE mkweli TU kama MUNGU kakupa kakupa TU SI lazima utumie nguvu KUBWAWasanii yaani waongo kuliko shetani..!! Gari wana nunua used, let’s say gari ikiwa mpya ina cost $ 200,000 yaani brand new, ila msanii au watanzania karibu wote except Serikali hununua used cars, sasa akinunua Land Cruiser used ya LC300 kama ile ya Bilnass ambayo ni used kwa $ 70,000 atakwambia kanunua kwa $ 200,000 ili kujenga tu jina kuwa ana maisha ya juu sanaaaaa..!!
Uongo utawafikisha pabaya sana, wako feki sana..!!
![]()
TOYOTA LAND CRUISER ZX | 2023 | PEARL | 14000 km | details.- Japanese used cars.Goo-net Exchange
Japanese used cars and Japan car exporters. 320,000 used car stocks.Website 'Goo-net Exchange' shall make all of customers satisfied to buy Cars from us.Search for used TOYOTA LAND CRUISER ZX details.www.goo-net-exchange.com
👆 Sasa hii atakwambia tshs mil 600,000 yaani usanii mtupu
DAH mkuu noma sanaa. ILA siamini ILI UWE star MPAKA uwatishe WATU kua una PESA. Kuna JAMAA alinishangaza ALINAMBIA anamjua msanii Fulani MKUBWA ILA huwezi amini nyimbo zake hazijui hata moja
Ndio wasanii wetu hao, wanashangaza sana.Wakiumwa wanapelekwa mloganzila na michango yao instagaramuuu