Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari.

Kwishaaa

Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz really
Nsio maana hawa watoto wanakaziwa aana
 
Wakiumwa na kuunza kutembeza bakuli kuchangiwa ndio utajua wanachosema sio halisi
 
Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari.

Kwishaaa

Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz really
Sawa, lakini gari kwa kawaida ni liability si asset.

Kama anaelewa asset ni nini na liability ni nini.
 
Muziki gani anaimba unaompatia ukwasi kiasi hiki mpaka anateketeza mamilioni yote haya kwa magari tu?
 
Back
Top Bottom