Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

Huyu jamaa atakuwa na mpunga wa kutosha mwaka mmoja unalipa kodi ya milioni 700 kwa magari tu.Sasa si anunue hisa za Simba tufanye usajili maana huyu Kanjibai nae haeleweki kabisa.Sema wa Daslamu ni waongo sana bora nibaki tu huku kwetu Bariadi tunapunda wetu na kodi hatulipi
 
Ingekuwa hivyo Ally Kiba angekuwa na ndege yake,kwa ujinga huo anaoimba asitudanganye comprehensive insurance ya milioni 12 ni gari mbili za milioni 100

Anatuonaje,sema ni jasiri kuoa mje aliyefiwa na mume aliyekufa kwa kale kagonjwa
 
Huyu jamaa atakuwa na mpunga wa kutosha mwaka mmoja unalipa kodi ya milioni 700 kwa magari tu.Sasa si ananue hisa za Simba tufanye usajili maana huyu Kanjibai nae haeleweki kabisa.Sema wa Daslamu ni waongo sana bora nibaki tu huku kwetu Bariadi tunapunda wetu na kodi hatulipi
Atakuwa anamaanisha kodi ya ununuzi wa magari pamoja na usajili, ambacho ni kitu cha kawaida na inafahamika
 
Ni kweli ILA mi huwa najiuliza na sipati JIBU HIVI WATU KUJA KWENYE show ni MPAKA wasikie una miliki gari la thamani SIJUI mabody guard nk au wana fata nyimbo nzuri MANA SHIDA ya Hawa wasanii hawataki kupangiwa maisha SASA SHIDA waja akiugua NDO mambo yanaenda mlama.

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow ..............Jah iz really
 
Hongera zake, mziki unalipa.....

Sijui namie niingie studio 🙄
SAWA lakini tuliaminishwa kwa WENGNE mziki unalipia SHIDA ikitokea MTU kaugua NDO tunaanza kujua ukweli halisi. Mi nafikiri mziki MZURI inatosha kabisa kukutanisha na mashabiki SI maisha ya kifahari

Kwishaaaaa

Bro Alex on la beats yoow ...... Jah iz really
 
Atakuwa anamaanisha kodi ya ununuzi wa magari pamoja na usajili, ambacho ni kitu cha kawaida na inafahamika
Ok!sema wa daslamu janja janja sana. Tukisema ukweli wa kimungu huyo msanii hana hiyo milioni 700 ya kuspend kwenye magari kwa mwaka mmoja.TID kamwachia juzi namuona labda ni nguvu ya upako wa Mwamposa kila kitu kinawezekana lakini.
 
Msanii bilnas amedai KUWA anamiliki gari la MILIONI mia SITA, IKIWA ni MOJA ya magari yake aliyo nayo HUKU akidai MWAKA JANA pekee kalipa Kodi ya magari yake MILIONI mia Saba. HUKU akilipia MILIONI KUMI na mbili HADI MILIONI ishirini KWENYE bima TU ya hayo magari.

Kwishaaa

Bro Alex on la beats yoow............. Jah iz really
Haya
 
Back
Top Bottom