Billnas: Nililipa 700 milioni kama kodi ya magari yangu ya kutembelea mwaka jana tu

Mkuu haya mambo yanashangaza KESHO MTU anaugua ANAKUJA kuomba msaada unajiuliza kweli Leo tumefika hapa JE ZILE gari ILIKUA ni kiki au, kumfurahisha nani?


Kwishaaaa

Bro Alex on da beats yoow .............. jah iz really
Aibu😂
 
Ndiyo nani huyo
Ni kijana mwenzetu msanii WA mziki. Kuna nyimbo ameimba HIVI "atuagizwi na maboss sisi wenyewe ni maboss" kama BADO huja mpata nitaje nyimbo nyingine. Kifupi Kuna BINTI anaitwa nandy ni msanii WA kike HUYU NDO mumewe

Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow .......... Jah iz really
 
Nimegona KUWA mnafiki nimeona niseme KUWA sijafurahishwa na hili JAMBO maana tunawafahamu vigogo waliotuaminisha wanapesa CHANGAMOTO kidogo michango ukapita SA Ina fikirisha IPO SIKU WATZ watagoma kuchanga amini nakwambia


Kwishaaaa

Bro Alex on la beats yoow............ Jah iz really
 
Inawezekana sababu amenunua LX,kachukua land rover new model, na ana gari nyingine 3 nazizijua mimi ambazo zote ameweka private plate no.

Na pia anauza na kununua gari toka nje japo hilo halisemagi mitandaoni lakini ukienda pale kinondoni vijana unaweza nunua gari mwisho wa biashara unamuona yeye anakuja kuchukua mpunga wake na mnaandikishana mkataba wa mauziano.

Hapo sinagusia biashara yake ya simu nenga tronix duka ambalo hauzi kitochi wala tecno ni iphone na samsung za bei tu
 
Siwajui labda kwa sababu sifuatilii miziki ya Tz
 
Kwa ndinga anazomiliki hiyo kodi ni sahihi, itakua uongo kama hizo gari sio zake
 
Matruck au fleet? Kodi ya nn? Leseni? Gari gani 700m kwa mwaka inalipiwa? Tujifunzage, isijekua anatoa wimbo mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…