Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

Watu wanafanya mchezo na kitu kinachoitwa 500 Millions😁!

Ili uchezee hela hio you must likely have 5-10 times more of that amount. Hamna mtu mwenye million 500 yote ataiweka kwenye gari halafu aanze upya.
Watanzania maisha yetu ya maigizo mimi nina wasiwasi mpaka na nyumba anayoishi ila ngoja tuone
 
😂😂😂😂😂😂😂 Kijana anafugwa halafu leo hii aseme ametoa Defender 110 ya 2023 kama zawadi kwa mkewe. Hilo halikubaliki duniani wala mbinguni! Maisha sio rahisi hivyo
Hata mbinguni nako halikubaliki? 🤣🤣😜
 
Billnas kachoka,gari la milioni 400 atoe wapi?

Wasani ni vichaa

Halafu they think people will buy that bullshit.
 
Wasanii wenyewe ndo hawa wanashindana namba za kwny youtube. Platforms zinazolipa vzr, wasanii wa Tz hawafanyi vzr kwny hizo platforms(spotify, deezer, apple music, amazon n.k) Pesa ya youtube ni ya kawaida sana.
Wew youtube unalipwa kias gan
 
Hii kitu kuna kaisema kule insta kuhusu Nandy na sio mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…