Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

Hoja yako ni nzuri lakini je nani atasimamia pesa hizo wakati majizi yako macho yanazitolea udenda?

Naomba nije kitofauti Tanzania bado ni masikini unaonaje serikali ikapunguza spending za kifahari zisizo za lazima, wabunge wapunguziwe posho nusu ziende kwenye hiyo bima, rais apunguze mshahara wake hadi 20% uende kwenye hiyo bima hali kadhalika VP wake pia magari ya 400+ yaachwe kununuliwa uone kama hili halitawezekana, nawasilisha.
 
Reactions: RNA
Nalo ni wazo zuri
 
Nilimpeleka binti yangu kujifungua Sinza ikiwa ni mara yake ya kwanza ikaamuliwa afanyiwe upasuaji na kwenye foleni alikuwa wa thelathini.
Mlinzi wa hospital akanifuata akaniambia toa laki tatu umuokoe mwanao nikatoa akafanyiwa wa tatu na hakuna risiti.
Bima itaondoaje haya?
 
Itaweza ondoa maana sasa wajawazito wataenda kote serikalini na binafsi hivyo mzigo hautakuwepo sehemu moja .watu hukimbia private sababu ya Gharama .
 
Mkuu nnaelewa vitu vingi kuliko wewe ndio maana nimendika hapo tuachane na wamarekani
Hivyo vitu vingi Ni pamoja na Wazee, Wajawazito na watoto kulipia matibabu au Kuna vingine?
 

Naona unakuja na wazo la sisi kupigwa. Hakuna waadilifu wa hivyo, kwa hiyo ni vyema wakaendelea kupiga hizo hizo walizozoe. Haya mambo ya kuchanga kisha wakati zinatoka tunaambiwa ni fedha za rais, ni ujuha wa hali ya juu.
 
Siku wabunge na mawaziri na matop wakiacha ubinafsi, kufuja pesa za walipa Kodi kama vile kujitanua kwa magari ya kifahari na kulewa na kutumia mapesa hovyo hovyo haya yatawezekana , vinginevyo itakuwa ni viini macho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unakuja na wazo la sisi kupigwa. Hakuna waadilifu wa hivyo, kwa hiyo ni vyema wakaendelea kupiga hizo hizo walizozoe. Haya mambo ya kuchanga kisha wakati zinatoka tunaambiwa ni fedha za rais, ni ujuha wa hali ya juu.
Mkuu usiwe Pro CHADEMA sana kila muda
 
Mkuu usiwe Pro CHADEMA sana kila muda

Kwahiyo ukikataa fedha za umma kuitwa za rais hiyo ni kuwa pro CDM? Au unatazama mambo kwa jicho la pro CCM?
 
Kwahiyo ukikataa fedha za umma kuitwa za rais hiyo ni kuwa pro CDM? Au unatazama mambo kwa jicho la pro CCM?
Hahaha basi mkuu mi sina chama
 
Unamaanisha bule kwenda Kliniki sio,na hata uko vipimo vya damu wanalipia 5,000,
Mjamzito Kujifungua gharama 75,000/=
 
Bure maana yake utalipia wewe, kodi zikipanda usilalamike. Mi najiuliza mtu ujana wote umeutumia ujajikatia bima unasubiri bure uzeeni na kutesa wananchi. Matibabu bure ni ngumu sana kwa nnchi changa lasiivo tukubali kodi kupanda kila siku
Ndio hivyo yaan mtu abebe mimba yake huko halafu mimi nikatwe kodi ili yeye atibiwe bure .swala la bima linahusu mchango wa mtu mmoja mmoja kwsnza ndo serikali ifanye kusubsidized hapo
 
Ungeweka wajawazito na watoto chini ya Mwaka mmoja kwa kuanzia ingependeza .kiukweli matibabu ni gharama sana na raia wetu vichwa vigumu sana ukiwaambia wachange 100k kwa mwaka ni kama kuwatukana .
True watu wanataka wakitoa 10000 apate matibabu ya 300000 hilo haliwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…