atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Ww sio mtanzania nahisi,eti matibabu watt wa chini ya miaka 5 bure una uhakika?[emoji848],kwa taarifa yako hao watoto ndio wanatibiwa kwa gharama kuliko mtu mzima,so usilete siasa kwenye hizi habar ongea kitu una uhakika nachoSoma kwanza sera ya taifa ya Afya ndio ulete haya mapendekezo yako. Pili, zungumza na watu walioko kwenye hii sekta hasa wa chini kabisa, kwa UHURU kabisa wakupe hali HALISI.
Kwanza, Unapaswa kujua:
- Watoto wadogo chini ya Miaka 5 matibabu yao Ni BURE.
- Wazee, zaidi ya Miaka 60 matibabu yao ni bure.
- Wajawazito ( Wenye kadi za Kliniki ) matibabu yao Ni BURE.
Note: Nikisema BURE namaanisha BILA MALIPO.