Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

Unamaanisha bule kwenda Kliniki sio,na hata uko vipimo vya damu wanalipia 5,000,
Mjamzito Kujifungua gharama 75,000/=
Vituo vingi vya damu Wana vipimo vya PITC ( HIV ), Syphilis na Damu.

Kama kituo hakina hivyo vipimo, utaambiwa kapime, vilipo lazima ukalipe hasa private.

Vipimo vya kimaabara Zahanati na HC Ni Tsh 2,000 kwa gharama za serikali.

Halafu lazima ujue wewe juha, Hakuna mtu anakataa pesa.

Hata serikali yenyewe inalazimisha watu wakusanye mapato, kwahiyo hata wao hawapendi kuona vituo vya vya afya vina idadi Kuna ya wagonjwa wa msamaha.
 
Elimu yako ya afya haijakusaidia
 
Umefuatilia ?
 
Danganya wengine labda huko mikoa ya jirani na yaliko makao makuu huenda ndiko umefanyia utafiti wako.

Hapa sina hata cha kuchangia. Naamini wapo watakaonielewa watakujibu vema zaidi ambavyo ningekujibu mimi kwa hasira.
 
Danganya wengine labda huko mikoa ya jirani na yaliko makao makuu huenda ndiko umefanyia utafiti wako.

Hapa sina hata cha kuchangia. Naamini wapo watakaonielewa watakujibu vema zaidi ambavyo ningekujibu mimi kwa hasira.
Kuna watu unaweza hisi sijui wanaishi wapi
 
Yaani hii ndiyo shida kuu.

Unafikiri hatupendi kulipa Tozo Stahiki kwa Serikali basi?

Shida ni unalipa afu Kuna Ng'ombe inatumia pesa ulizolipa kupeleka watoto wake Ulaya kutembea.
Tuna mfumo ovu sn
 
Hata kama mfumo ni Ovu lakini isiwe ndio sababu ya kutochangia afya .
 
Mkuu ushafanya Ufuatiliaji wa hichi ulichoandika hapa ?
 
Nakubaliana nawe 💯
 
Reactions: RNA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…