tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
jiunge nssf unachangia kwa hiyari minimum tsh elfu20 then unapata kutibiwa bure pia yani unapata fao la matibabu ambalo ni sawa na bima ya afya.
nhif kwa mtu sio muajiriwa niliwah kuwapigia simu wakaniambia ni tsh laki 9 kwa mwaka, au jaribu nawewe kuwapigia ingia site yao kuna namba za simu. au nenda personaly ofisini kwao uwaulze halafu utupe mrejesho. au i hope mwenye kujua gharama za nhif kwa asiye mfanyakaz atakuja kutujuza.
vipi huduma ya NSSF imesambaa hospitali nyingi"? laki tisa ni ghali sana!!
insuranse company zipo ila ndio hivyo bei zao zimechangamka, AAR ni insuranse company mojawapo niliwahi kuwapigia wakaniambia karibia milioni 2 kwa mwaka....Mm nikisikia kuna insurance company ambazo zinatoa hiyo huduma ya bima ya afya ....
nssf ipo tz nzima au hujui hili? na huduma ya fao la matibabu ipo kwa wanachama wote nchi nzima. unachagua hospitali moja iliyo karibu na wewe unayopenda kutibiwa mfano kwa dar hindu mandal asu regency au agha khan marie stopes n.k, halafu ukiumwa unakwenda hospitali uliyochagua.
ila nssf hili la kuchagua hospitali moja nalo ni tatizo unakuwa huna uhuru wa kwenda hospitali nyingine sababu unakuwa hutambuliki, yani ukienda hospitali tofauti na uliyochagua unajilipia.
lakini uzuri wake ni unafuu wa kuchangia ambayo ni wastani wa laki na elfu20 kwa mwaka, na vilevile ni wewe na mkeo na wategemezi wanne aidha watoto au wazazi. vilevile ukichangia nssf unapata benefits nyingine za mfuko wa hifadhi ya jamii, kuliko ukichangia nhif au aar ni huduma tu ya bima ya afya.
Ni pamoja na mambo mengine pia..kama kodi..majimbo mengi democratic waliyopoteza kodi zipo juu sana kama hapa Maryland ni ngome ya democtatic miaka mingi lakini wamepoteza kutokana na makodi kuwa juu karibia kwenye kila kitu
Duuuuhh!! Chama cha Obama hoi.
Iwe iwavyo mswahili ameshakanyaga nyumba nyeupe;
na muda wake wa vipindi viwili umeshapita;
Viva OBAMA.
Nituo mchango wangu kwa watu walioshindwa ili iweje?Nitautoa kwa serikali ya UKAWA na si vinginevyo.mkuu urio a.k.a salary slip hebu toa mchango wako kuliko kuishia kulalamika.