Bimmer na Landcruiser V8

200hp halafu wanalinganisha na hz yenye 129 hp kweli!japo rover ilikuwa ni v8,hivi hawa team toyota wanajua kuwa hiyo hz haifui dafu mbele ya prado L150?
Usijisahaulishe kuwa kulikuwa na 1HDT ambayo yenyewe ilikuwa na 164HP which made more speed than a range roverπŸ˜…!

1Hz top speed inafika 165KM/H
1HD-T inafika 177KM/H
Rover classic alikuwa 153KM/H akijitahidi 157KM/H

Ndio maana ulikuwa ukisikia story za landcruiser mkonge by that time ni noma. Alipokuja 80 series 1HD-FTE 24 Valves ndo ikawa mwisho wa maneno with 204HP
 
Hahahahaha ninachojua kwa sprints land cruiser itakalishwa na supercharged engines za mjerumani ila kwa long trip ya nani awahi kufika you can’t fux with twin turbo V6 or V8’s za Land Cruisers!

Kuna ile 1GR land cruiser tu yenyewe ni mziki mwengine yaniπŸ˜… inasepa kichizi! Petrol 4.0L V6 ukiikuta kwenye 70 series usije ukadhania ni 1HZ utapasua kifuaπŸ˜… inamwaga between 236HP-270HP
 
Mkuu ilikuwa huko nyuma.
Currently gari nyingi zina 220kmph, 240kmph, 260kmph.
Mjapani. Anzia Suzuki grand hadi hizo V8 za GX, GX-R, VX na VX-R
 
Kimsingi hata mimi BMW hazinivutii yani chache sana kama ile X3 ya 2010 labda ndio walau naipenda ina taa nzuri na uso proportional na body!
 
Hhahahhaha iphone inanunuliwa na watu wa trends tu ila kimatumizi zaidi ya whatsapp na filter za snapchat unakuta mtu hana anachofanya na ikizingua kidogo lazma akuite umrekebishie maana haelewiπŸ˜…
 
Hata hiyo x5 huwezi kulinganisha na LC VX in terms of reliability. Kwenye mbio Beemer anaweza kumsumbua kidogo ila kwa safari ndefu kwa hizi barabara zetu za kuunga hapa na pale bado LC 200 aka Kilimo kwanza Hana mpinzani
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni kweli ila sedan za wajerumani ziko vizuri
Ziko vizuri kwa amenities na performance ila sio rugged kama Toyota! German are fancy cars. They are made to enhance driving experience with alot of techs.

Toyota are practical cars yani zimetengenezwa for the purpose of serving the need. Unataka kwenda point A to B without any issue na you wanna keep going then buy a Toyota. Wameamua kuzifanya gari zao kuwa exciting recently ila tofauti hio watu hawawezi iona kwa sababu wengi wanatumia gari za 2003-2010 kwa sasa!

Starting from 2015 experience ya Toyota imedrift kuwa bora zaidi wanaoinjoy ni wale wanaotumia gari recent models from Toyota. Pia wana luxury division ya Lexus ila hizi ni aghali sana wabongo wengi hawawezi afford ila ukipata lexus za toka 2013 ziko on par na many german cars in terms of comfort and ride quality.
 
Sawa.
 
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mzee baba hamna kisingizio cha barabara zaidi ya diversion tu za njiani hazikosekanagi!

Mie natamani siku moja tuweke live league humu wenye hizo gari tuone maana kelele ni nyingi! Naamini VX-R zipo nyingi tu hapa mjini na hizo X5 zipo! Tuchague ruti tu watu wachakazane hapo tuone nani atawahi kufika maana kelele ni nyingi! Na hio X5 iwe diesel ili kwenda sawa.

Kama petrol basi wote wawe na petrol engines.
 
Petrol tu, gari ya diesel ya kazi gani asee yamekuwa malori hayo.. root moja tu Dar es Salaam to Mwanza .. kwenda na kurudi.. mtakata mzizi wa fitina
 
Mkuu wangu unazungumzia barabara gani kwani? ( Maana kama tunatoka Dar hadi Chato ni mkeka tu ). kwanini mnajifichia kwenye visingizio vya barabara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni mkeka Sawa ila kunakua na mashimo ya hapa na pale ya kushtukiza bila kusahau rasta na bumps. Hapo ndipo mjapan anapiga bao na LC 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…