Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Binadamu anauwezo wakujiua mwenywe bila kutumia zana yoyote ionekayo!

Haya jiue tupate kuaminisha uyasemayo, bila hivyo, inaonesha mambo ya madiwani (chopa tatu madiwani watatu) halafu Kalenga na ukifikiria Chalinze unaweweseka kama ulivyoambiwa juu huko.

Nna uhakika bangi ya leo ni ile inayoleta uchizi.
penye red tuko pamoja,
Ila hapo pengine najua ni uchungu wa mheshimiwa zitto ndio unakukabili. ha ha ha, haya
bhana kama na we mkigoma, kaundeni chama chenu, mkiite ''TUTIGITE DEMOCRACY PARTY'' tuone kama mtaweza japo kununua hata ka-chopper kamoja.Chaedma bila MM 😛eace:inawezekana.
CCM wanasaidiwa na polisi siku zote:tape: hata baba yao kikwete amewahi kusema hili. Hawana kipya wale baada ya kuona wazenji hawataki muungano wao wamekazana iundwe serikali tatu. Bado wanasera za kibeberu. ndio afrika anyway
 
God is a fastidious fad fueled by a fantastic foolhardy fading fast.
Gay_and_Lesbian_Atheists_and_Humanists_on_Godless_Americans_March_on_Washington_02-11-2002.jpg
 
ukikaa njaa siku nyingi, bila kujinyonga ama kula sumu ama kujipiga risasi, au kuanguka kwenye gorofa, unaweza kuondoka..If that is the Case.Yericko tupo yako.
 
ukikaa njaa siku nyingi, bila kujinyonga ama kula sumu ama kujipiga risasi, au kuanguka kwenye gorofa, unaweza kuondoka..If that is the Case.Yericko tupo yako.

aisee!
 
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.

Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.

Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea www.quasserer.com

Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwanadamu.

Jamii za kiafrika na Asia ndizo huitumia sana dhana hii.

Thibitisha.
 
Mkuu naona hapa umepost kwa kuwa ulistahili kuanzisha mjadala ila si kwa kuwa ulikuwa na mjadala wa kuanzisha!
 
zito ni jembe. chadema bila zito inayumba sana, chadema bila zito ni sawa na gari bila injini. chadema imejengwa kwa misingi ya udini, ukabila ,na ukanda. chadema ina laana ya watanzania...

Nonsense!
 
Binadamu ni kiumbe wa pekee ulimwenguni anayeyatawala mambo yote yasiyoonekana na yanayooneka, mimi huamini binadamu ni kiumbe na muumbaji, kwangu Mungu ni dhana tu.

Binadamu anaouwezo wa kukata uhai wake bila kutumia zana,kuugua,sumu ama chochote kile chenye kudhuru mwili hata kufa.

Kwakutumia akili yake tu anauwezo wakukiita/kukikaribisha kifo na kikamfika ndani ya masaa yasiyozidi 24, Zingatia kwakutumia "akili" yake tu, sio elimu yake. Fikra ya mwanadamu ni sumaku na hivyo ni kweli mwanadamu anao uwezo wa kukiita kifo na kikamjia; ila kinacho weza kucheleweza masaa kadhaa ndani ya uwezo wake ni namna gani kifo hicho kitatokea. Sumaku yake inapokivuta kifo nguvu za asili zinayachanganya mazingira yote yanayowezekana na kukusanya kimbunga za maguvu yatakayokifanya kifo kitokee kwa jinsi yake. Tembelea Home

Haya sio ya leo bali tangu karne ya 5 mpaka karne hii ya 21 yanatukia katika maisha ya mwana
 
zito ni jembe. chadema bila zito inayumba sana, chadema bila zito ni sawa na gari bila injini. chadema imejengwa kwa misingi ya udini, ukabila ,na ukanda. chadema ina laana ya watanzania...

Wanaogopa kifo utawajua tu!
 
Back
Top Bottom