Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

Angalia movie inaitwa Eternal haya uliyoyasema yamo

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii kitu mimi pia huwa inanifikirisha,unajua ilimradi ukiwa hai lazma uhangaike hapa duniani,ndo maana mimi huwa nasema tunawajibikia uhai,huwa nashangaaa wanaposema uhai tumepewa bure hakuna cha bure ,ndo maana mtu akifa japo hatujui anakoenda ila huwa tunasema amejikomboa na shida za duniani.
Kiukweli ukiacha dhana za dini,sisi binadamu huwa naona kama ni mradi wa kitu flani,sababu ukizaliwa lazma tu ufe why.Yaani hakuna alternative ya hilo mpaka sasa ,uwe masikini,jasiri mnyonge ,mwenye huruma suala la kufa liko pale pale tu nouma sana
 
Mifugo hoyee..? Mifugo mpoo..? Mmenona hamjanonaa..??
Bado kidogo japo tupewe miaka 70 alafu ujeeee utachinje,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] harooo ukweli mchungu unakuta unazaliwa hadi unazeeka haujui sababu ya kuwa duniani, nimekuja kula, aaah nimekuja kuoo,,, nimekuja kutafuta pesa,aaah ,nimekuja kula bia na mbususu aanh ilaa
 
Mkuu
Umeweza sana kujenga hoja, lakini unahitaji kutafakari sana kuhusu walioenda kwa Mungu na kurudi wanasemaje
 
Elon musk anajua yote haya, anajua kilicho wakuta dainaso ipo siku hapa earth hakuta tosha na izo nuclear za mjomba hapo korea zitakuwa zinajipa zenyewe juu ya moto dunia kwisha withing 10 minutes
 
Mkuu
Umeweza sana kujenga hoja, lakini unahitaji kutafakari sana kuhusu walioenda kwa Mungu na kurudi wanasemaje
Nimesikiliza wazungu na waswahili mbaya zaid au nzur wote story zinafanana 😂😂Elohim hana masihara chezeni mapiano tu mtaona moto.
 
nimejikuta naikumbuka jamii forum ya watu wa zamani ya miaka ile watu walikua na hekma sana ktk swala zima la uandishi na maono juu ya mambo mbalimbali ila hii jamii ya sass daah
 

Afadhali umeliweka hili wazi👉Hakuna theory hapa wala nukuu ya kitabu chochote maalifa binafsi yanatosha👈Hii inanifanya nisi argue na wewe,zaidi ya kukuona tu kwamba ni mtu uliye potoka.So to you the Bible is a fabrication,isn't it.Anyway,you have the right to believe whatever you want,but time will tell whether your faith is the right faith or not.At time ' t' you Magallah,will confess that Jesus Christ is Lord,and the righteous of God na kwamba unayofikiria yote ni upuuzi mtupu.Read this⬇️.

Wafilipi 2:9-11
9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina;
10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI Bwana, kwa utukufu wa Mungu Baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…