Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

"Hakuna theory hapa wala nukuu ya kitabu chochote maalifa binafsi yanatosha"

Hebu nieleze kuhusu mimi kwa kuutumia hayo maarifa yako binafsi, chochote unachojua kuhusu mimi ambacho sijakidhihirisha?

Bila shaka huwezi kunielezea, kama mimi mwenyewe sijakueleza.

Sasa kama jambo hili ni muhali kwetu sisi wanaadamu wenyewe ikiwa kama hatufahamiani, vipi kwa yule anayemuelezea mungu kwa kutumia akili yake tu?

Na chochote unachokijua kuhusu mimi, hiyo ndiyo elimu kinyume chake ni ujinga, na hakuna kujua jambo (maarifa) bila ya kuwa na elimu nalo.

Hivyo kwa akili ya kawaida tu, utagundua kuwa Kila yule ambaye anamuelezea mungu au matendo ya mungu kwa utashi wake basi anakuwa anakosea.

By the way mfugo mwenyewe mimi sio mfugo.
 
Thibitisha Mungu yupo.
 
Uliposema tu shetwani na Mungu wana sifa zinazofanana ndipo nilipojua dishi lako haliko vizuri.
🀣🀣🀣🀣
 
Basi huyo atakua siyo Mungu ,Mungu gani anategemea kujifeed ndio aishi ,kabla hajawa Mungu nani alimfeed sasa na kama ni hivyo sisi tuliumbwa naye ,maana shart mwanzo wake awepo binadamu,kama vile tulivyoumbwa na wanyama.
 
Husijekua chinjachinja uko mbeleni[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa huoni ww ni mpuuzi [emoji23][emoji23]. Yani hujui ulipo toka!!
Logical non sequitar.

Unachanganya pamoja mambo ambayo hayana uhusiano.

Inawezekana mimi ni mpuuzi kama unavyodai.

Lakini hilo si suala la msingi.

Suala la msingi ni uwepo wa Mungu.

Na hata mimi nikiwa mpuuzi, hilo bado halithibitishi Mungu yupo.

If anything, linaonesha Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wa yote na upendo wote hayupo.

Kwa sababu angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unaruhusu mtu mpuuzi awepo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Ww mwenyewe ujui ulipo toka utamjuaje usie mwona? Jitafute mwenyewe
 
Ww mwenyewe ujui ulipo toka utamjuaje usie mwona? Jitafute mwenyewe
Umeanza ku assume huyo unayemsema nisiye muona yupo.

Unaweza kuthibitisha kweli yupo na habari hizo si hadithi za uongo tu?
 
Umeanza ku assume huyo unayemsema nisiye muona yupo.

Unaweza kuthibitisha kweli yupo na habari hizo si hadithi za uongo tu?
Siko hap kuprove kama mungu yupo au hayupo, najaribu kukupa mwangaza tu. Now days binadamu tunaagaika kujua wapi tumetoka au tumetokana na nn? How and for how long.
Sasa ww kila siku naona unakazana kuuliza watu waprove kama mungu yupo.πŸ˜‚πŸ˜‚.yan utakana uoneshwe kwamba mungu ndo huyu apa.
Ukiona mtu anachunga mifugo kama mbuzi ngo'mbe mara nyingi mifugo hiyo si yake.
 
Hujaweza ku prove Mungu yupo.

Halafu huelewi kwamba ku prove si lazima kuoneshwa Mungu huyu hapa.

Unafanya logical non sequitur.

Huwezi abstract thinking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…