Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Haimaanishai sabu huwezi ku prove something bas haki exist
 
Na pia ukisema ili kitu kiwepo angalau kiweze kuonekana,kushikika, kusikika na kuhisikia
Vipi kuhuku mtu aliyezaliwa kipofu utamthibitishiaje kuwa kuna anga au mtu ambaye hanusi utamthibitishiaje kuwa kuna harufu ya kinyesi. Sauti nzuri ya njiwa utaielezeaje kwa kiziwi mm? How to you feel and prove love scientifically
Kuna mengi sayansi haiwezi kuyaelezea au kuyathibitisha ila yapo
 
Mkuu leo naandika programu ya kukokotoa calculus yenyewe inataka ikokotoe magazijuto? Then nisipo i update iende ikaziambie program zingine kuwa designer wetu hayupo
Suala la sisi kuamini au kutoamini kuwa creator wetu yupo haibadili fact ya kuwepo kwa designer wa hii planet
 
Kwenye hoja ya uumbaji yeye hata sayansi anasema haina majibu kuhusu chanzo cha vitu vingi!!!
Kuna siku nikiwahi kuwaambia wanajamvi kuwa science nayo ni dini kama dini zingine kwa sababu vitu vingi tumefundishwa kwenye the so called science especially evolution na big bang theory bila evidence zozote..JUST BELIEVE IT HAPPENED....IT IS A SCIENCE
 
Me nikiangalia maendeleo yaliotokea katika kipindi Cha maisha yangu nadhani duniani Binadamu hatuna muda mrefu sana Toka tumekuja kuishi duniani
 
Me nikiangalia maendeleo yaliotokea katika kipindi Cha maisha yangu nadhani duniani Binadamu hatuna muda mrefu sana Toka tumekuja kuishi duniani
Kwa nini unadhani binadamu hatuna muda mrefu duniani??
 
Thibitisha sasa creator huyo yupo kwa namna gani?

Na ulifahamu vipi kwamba yupo?
 
Kama binadamu tuna elezea kitu tukiegemea kwenye suala la muda, matter na space

Je uwepo wa huyo Mungu, Uli elezewa kupitia vitu gani tofauti na hivi?

Mungu alifahamika vipi Yupo, kama hatuwezi kutumia muda,space na matter kumwelezea?

Aliye sema Mungu yupo, Yeye alitumia vitu gani tofauti na Muda, space na matter?

Hadi akagundua Mungu huyo yupo?
Kama muumba/creator huyo hawezi kuelezewa na kueleweka na wanadamu, Alifahamika vipi yupo?

Yaani umeweza kujua kwamba muumbaji huyo yupo, Halafu tena ushindwe kumwelezea?

Kama huwezi kumwelezea, Uliwezaje kujua Yupo?
Sisi ni watumwa wa time, space and matter. Sasa aliyesema Mungu yupo alitumia vitu gani tofauti na hivi kujua na kusema kwamba Mungu huyo yupo?
 
Na uwepo wa huyo Mungu kama chanzo, Una evidences gani?

Na uthibitisho upi?
 
Na uwepo wa huyo Mungu kama chanzo, Una evidences gani?

Na uthibitisho upi?
Mzee mimi lengo langu kuu sio kukuthibitishia kuwa mungu yupo hilo ni swali ambalo majibu tunayo ndani ya mioyo yetu wenyewe
My point ni kuwa there are lot of thing in our universe we cant prove using our current technology but the are there
Ukweli ni kwamba hata wewe man of science huwezi kunipa uthibitisho wa vitu vingi kwenye science mfano tu naomba tuanze na uthibitisho wa big babg theory
 
Mimi point yangu ni kwamba, Dunia na Binadamu havina mwanzo wowote ule.

Binadamu wapo tu hawana mwanzo wala mwisho.

Na ulimwengu hivyo hivyo.

Hakuna chanzo chochote kile cha kidini au kisayansi kilicho umba ulimwengu na Binadamu.

Ulimwengu na Binadamu vipo tu havina mwanzo wala mwisho.
 
Kwani mbuzi na jamii yake wanaelezeka, Kwa Nini umeona binadamu tu ndio haeleweki?
 
Kwani mbuzi na jamii yake wanaelezeka, Kwa Nini umeona binadamu tu ndio haeleweki?
Hilo swali nimeshajibu. Nimechagua Binadamu Kwa kuwa ni sisi. Kwa mfano nichague mbuzi wakati hata sijui anauonaje ulimwengu??
 
Ulimwengu unaouona wewe sio tunaouona sisi....zingatia afya ya akili.
Kwa ivo wewe ukiona mtu anatabasamu mimi nitaona embe linadondoka toka kwenye mwembe??

Jee mbuzi nao wanajua kama kuna Afya timamu ya akili au upungufu wa Utimamu wa Afya ya akili???
 
Kwa ivo wewe ukiona mtu anatabasamu mimi nitaona embe linadondoka toka kwenye mwembe??

Jee mbuzi nao wanajua kama kuna Afya timamu ya akili au upungufu wa Utimamu wa Afya ya akili???
Unapenda kudanganywa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…