Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
- #201
Ishakuwa napenda kudanganywa...Unapenda kudanganywa!
Hapo kwenye hicho nilichoandika nini kinachoonesha kuwa napenda kudanganywa??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakuwa napenda kudanganywa...Unapenda kudanganywa!
Itakua haupo sawa kisaikolojia chief.Vitu hivyo ni kama vipi?
Vitaje?
Kwamba uote kitu ambacho Hakipo?
Does nothingness exist ? Yaani unaweza ukawa na Volume ambayo ndani haina kitu ? Chukua chupa jaribu kutoa kila kitu kwa macho yako utadhani hakuna kitu ila baada ya muda kama kuna favourable conditions utakuta life form.... kwahio chanzo cha multicellular organisms ni unicellular... (kwa muktadha huo nishakujibu chanzo cha mwanadamu)Pamoja na maelezo yako hayo, Bado hujajibu swali nililouliza.
Huo mfumo na hivyo viumbe hai vina chanzo ama vimekuwepo tu duniani bila ya kuwa na chanzo??
Hizi nadharia msingi wake ni nini? Maana hoja hapa Mwanadamu wa kwanza yupo, na kama yupo alipatikanaje?Does nothingness exist ? Yaani unaweza ukawa na Volume ambayo ndani haina kitu ? Chukua chupa jaribu kutoa kila kitu kwa macho yako utadhani hakuna kitu ila baada ya muda kama kuna favourable conditions utakuta life form.... kwahio chanzo cha multicellular organisms ni unicellular... (kwa muktadha huo nishakujibu chanzo cha mwanadamu)
Ungenielewa wala usingeuliza swali nimekwambia weka container tupu funika kabisa weka sehemu condusive kwa hata kama ni gizani bila mwanga au kwenye jua kutokana na mazingira rafiki ya kiumbe fulani utakuta life form ya aina fulani..., sababu ukishakuwa na volume nothingness does not exist; na kama unaweza kupata multicellular kutoka kwenye unicellular mwanzo wa multicellular (akiwemo binadamu) ni unicellular , na sababu viumbe vyote unavyoviona vina main elements sawa 99% oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, sulfur, and phosphorus. utaona kwamba hizi ndio building blocks (kwahio some happenstances might have happened to make these the most occurring elementsHizi nadharia msingi wake ni nini? Maana hoja hapa Mwanadamu wa kwanza yupo, na kama yupo alipatikanaje?
Kila specie inahitaji propagation ili kuongezeka na ita-adapt kulingana na nini kinasaidia (iwe wanyama kwa sexual integration) au upepo kwa baadhi ya mimea au mbegu ngumu kwa baadhi ya matunda ili wanyama wakiyala waende kuyapanda...Na zaidi ya yote walikuwa ni Me na Ke au ndiyo mambo ya "evolution" ndiyo yalikuja kuwapa jinsi tofauti mbele ya safari?
Fikilia mabadiliko ya Toka 2010 mpaka Sasa kisha fikilia ilkuaje zaid ya miaka 2000 nyuma binadamu alikwepo lakini hakukua na mabadiliko kama hayoKwa nini unadhani binadamu hatuna muda mrefu duniani??
Mtaalamu, umesema viumbe wote wametokea kwenye unicellular?Ungenielewa wala usingeuliza swali nimekwambia weka container tupu funika kabisa weka sehemu condusive kwa hata kama ni gizani bila mwanga au kwenye jua kutokana na mazingira rafiki ya kiumbe fulani utakuta life form ya aina fulani..., sababu ukishakuwa na volume nothingness does not exist; na kama unaweza kupata multicellular kutoka kwenye unicellular mwanzo wa multicellular (akiwemo binadamu) ni unicellular , na sababu viumbe vyote unavyoviona vina main elements sawa 99% oxygen, carbon, hydrogen, nitrogen, sulfur, and phosphorus. utaona kwamba hizi ndio building blocks (kwahio some happenstances might have happened to make these the most occurring elements
Kila specie inahitaji propagation ili kuongezeka na ita-adapt kulingana na nini kinasaidia (iwe wanyama kwa sexual integration) au upepo kwa baadhi ya mimea au mbegu ngumu kwa baadhi ya matunda ili wanyama wakiyala waende kuyapanda...
Na usishangae mazingira yakibadiliika mpapai dume ukazaa tunda hata moja ili kuendeleza propagation (Funga mpapai dume kwa wire na kuu-trick kwamba mazingira yamebadilika kutafanyika mabadiliko automatically ili uzae tunda na kuendeleza kizazi)
Kuna mjusi alitaga mayai ambayo yalitotolewa bila kuwa na dume yoyote maishani mwake google parthenogenesis, hapo utaona kwamba hizi ni happenstances na mpaka kufika hapa tulipo ni mabilioni ya miaka imepita na chances nyingi zimetokea ambao huenda tungesema tu-rewind na kuanza upya kilichotokea sasa huenda kikawa vinginevyo
Mpaka sasa Huja thibitisha chochote.Itakua haupo sawa kisaikolojia chief.
Ngoja kwanza kabla sijaenda deep yai (sperm) ni unicellular au ? By the way ukiangalia viumbe wengine ni ku-study ndio utaweza ku-grasp vizuri, ukitaka kuelewa kitu complicated kwanza angalia kitu simple chunguza bacteriaMtaalamu, umesema viumbe wote wametokea kwenye unicellular?
Achana na viumbe wengine sasa, let's focus on Binadamu, alitokea vipi kutoka kwenye Unicellular?
Maana chanzo cha Binadamu ndiyo hoja ya mtoa mada.
Yap Sperm ni Unicellular....Ngoja kwanza kabla sijaenda deep yai (sperm) ni unicellular au ? By the way ukiangalia viumbe wengine ni ku-study ndio utaweza ku-grasp vizuri, ukitaka kuelewa kitu complicated kwanza angalia kitu simple chunguza bacteria
Kuna nadharia kuwa uendeleaji Kwa binadamu Kuna wakati ulivurugwa. Haya maendeleo ya Leo msingi wake ni maendeleo ya kale.Fikilia mabadiliko ya Toka 2010 mpaka Sasa kisha fikilia ilkuaje zaid ya miaka 2000 nyuma binadamu alikwepo lakini hakukua na mabadiliko kama hayo
Kwahio unakubaliana muunganiko wa cell fulani na fulani unaweza ukatoa kiumbe fulani ambacho ni advanced ?Yap Sperm ni Unicellular....
Yap sahihi, recently tunaona muunganiko wa cell fulani ukitoa viumbe mbalimbali advanced., Swali kubwa la kufikiria ni kwamba, Je inawezekana huo muunganiko kutokea bila ya Highly Advanced Knowledge, mbona kama muunganiko huo una accuracy ya hali ya juu, mfano chukulia DNA kuwa na Exact information kwamba tumbo la uzazi inabidi likae kwenye mwili wa Mwanamke na sio kwenye mwili wa Mwanaume?Kwahio unakubaliana muunganiko wa cell fulani na fulani unaweza ukatoa kiumbe fulani ambacho ni advanced ?
Na unakubali kwamba kinachoamua nini kifanyike au muunganiko ufanye nini ni Information (DNA) ambayo inaweza kubadilishwa / kubadilika na kutoa kitu tofauti ? Mfano maziwa ya mbuzi badala ya kutoa maziwa unayoyajua ikawa inatoa material ambayo inatengeneza uzi wa buibui hence kufanya mbuzi wakawa producers wa Nyuzi / Nguo ?
Unajua ukiangalia nature kwa jicho la Nishati utaona kwamba kila kitu kinataka kuwa kwenye equilibrium kuna mada mtu mmoja alishasema kwamba mambo yapo organized na hivi ndio nilivyomjibu......Yap sahihi, recently tunaona muunganiko wa cell fulani ukitoa viumbe mbalimbali advanced., Swali kubwa la kufikiria ni kwamba, Je inawezekana huo muunganiko kutokea bila ya Highly Advanced Knowledge, mbona kama muunganiko huo una accuracy ya hali ya juu,
Mimba anashika mama sababu ni efficient na ana viungo vya kuweza kulea huyo mtoto mwanaume hata kwa bahati mbaya DNA ikikosea na akawa ana Organs mbili hio itakuwa kama kilema na huenda organ ya pili isifanye kazi lakini ikifanya kazi na akawa more efficient huenda wenye organ moja wataisha either kwa manual selection kwamba watu kuona kwanini niwe na mwenza na nisimalize mtoto mwenyewe hence binadamu wa mume na mke kuisha naturally au huenda wasidumu sababu watu watawaona kama kituko hence wasipate partners au kuwauwa..., au kutokea vita kuuwana baina ya hawa na wale.... (hapo nakupa short version ambayo haiitaji miaka trillion kadhaa au umri mwingine wa dunia kama huu wa leo ili major changes kutokea.....mfano chukulia DNA kuwa na Exact information kwamba tumbo la uzazi inabidi likae kwenye mwili wa Mwanamke na sio kwenye mwili wa Mwanaume?
Hakuna mtu aliyesema hakuna intervation iliyotokea huenda kuna some exact voltage ilitokea katika kipindi fulani cha maturity ambacho huenda hakikatokea tena kwamwe..., ndio maana nikasem tuki-rewind tena huenda mambo yasiwe kama yalivyo sasa (sababu kuna so many variables) ila ikishatokea ndio hivyo kama kilichotokea ni more efficient (kwa utumiaji wa nishati) basi kitaendelea hivyo kuliko kile kilichotokea kabla....., ila mazingira yakibadilika na kukawa kuna happenstances za aina fulani zinazotokea mara kwa mara basi usishangae matokeo ya kitu fulani yakawa hivyo na kuendelea (Kumbuka DNA inajicopy) information inakuwa transferred sasa kama information inasema HUYO NI MKE, HUYO NI MKE, HUYO NI MKE na bahati mbaya kwenye ile K ikaprinti M na kuwa MME badala ya MKE copies za coming informations zote zitakuwa MME sasa kama MME atakuwa more efficient unategemea what will happen....Lakini pia umezungumzia ishu ya DNA, kwa mujibu wa Biologist mbalimbali wana state kwamba
"The probability of DNA forming itself without any intervention from external sources, such as living organisms or intelligent beings, is extremely low".....
Hata kama ODDS ni Moja katika Occurences MILIONI 30 na dunia ina miaka kama milioni Hamsini huoni kama uwezekano wa kilichotokea kutoa is a highly possibility (tena kutokutokea itakuwa ni jambo la kushangaza yaani ni kama UNA-BET kwamba jambo linalotokea mara moja kwa miaka 30 halitatokea kwenye miaka 50Na hiyo ndiyo inafanya harakati za kuuliza na kutafuta chanzo cha Binadamu na viumbe wengine kuendelea na reason behind ni kwamba Bado watu wanaona hawajapata majibu sahihi kwa 100% .
maana hata huo muunganiko wa seli hauleti majibu sahihi 100% juu ya chanzo cha Binadamu,..
Maana Ili muunganiko wa seli uweze kutokea na kutoa viumbe kuna conditions lazima ziwepo:-
✓Nutrients
✓Suitable temperature
✓Oxygen (for aerobic organisms)
✓pH balance
✓Water
✓Genetic information (DNA/RNA)
✓Energy source (e.g., ATP)
✓Cell membrane integrity
Na kuweka vitu clear, hizo conditions hapo juu zitaweza kuruhusu Cell kuungana na kuunda kiumbe endapo tu itakua kwenye right place &right time.Odds ni ngapi ya hilo kutokea?
Ndio maana nikasema hivi does nothingness really exists na kwa wale wanaoamini kwamba kulitokea mlipuko mdogo (Big Bang) ambayo explosion hio huenda ilicreate elements as we know them..., sasa uwepo wa hizo elements na game of chance ulipelekea kuungana tofauti tofauti au kutengana na na mwisho wa siku huenda life form ilianzia hapoLakini pia kitu cha msingi cha kuzingatia ni kwamba, Cell Ili ziunde kiumbe recently tunaona kwamba zinategemea intervention ya viumbe ambao tayari wana exist.... So, swali ni kwamba Je,..kabla ya viumbe ku exist cell ziliunda vipi viumbe hai, without any intervention kutoka kwa viumbe hai,na kitu gani kinazuia cell kuunda viumbe hai kwa sasa, endapo kukiwa hakuna intervention?
Ndio maana nasema haupo sawa, Pengine una tatizo la afya ya akili.Mpaka sasa Huja thibitisha chochote.
Huja eleza vitu hivyo unavyo ota vina fananaje?
Una ishia kusema tu havipo duniani.
Kama havipo duniani, eleza basi vitu hivyo vya ndotoni vina muonekano gani?
Mbona ndoto nyingi watu husimulia jinsi zilivyo kuwa.
Ila wewe unasema ndoto zako hazipo duniani?
Kwamba unaota Nothing?
Ngoja nkuulize jambo dogo tu, Nna imani kwa hiki hata wewe umewahi kuota....Ni lini umewahi kumuona binadamu wa kawaida anapaa hewani tena umbali mrefu ? Lakini huwa tunaota hivyo na hicho kitu hakipo duniani...Mpaka sasa Huja thibitisha chochote.
Huja eleza vitu hivyo unavyo ota vina fananaje?
Una ishia kusema tu havipo duniani.
Kama havipo duniani, eleza basi vitu hivyo vya ndotoni vina muonekano gani?
Mbona ndoto nyingi watu husimulia jinsi zilivyo kuwa.
Ila wewe unasema ndoto zako hazipo duniani?
Kwamba unaota Nothing?
Roho ni nini na imeingiaje kwa binadamu!!Mtu anapokufa ile roho...
Kwanza tuanzie hapa, Hapa umetaja "binadamu na Hewa"Ngoja nkuulize jambo dogo tu, Nna imani kwa hiki hata wewe umewahi kuota....Ni lini umewahi kumuona binadamu wa kawaida anapaa hewani.
Kitu kisichokuwepo Hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuelezeka.tena umbali mrefu ? Lakini huwa tunaota hivyo na hicho kitu hakipo duniani...
Vingine havielezeki maana unataka nitaje vitu ambavyo mimi na wewe hatujawahi kuviona hapa duniani, havitajiki kwa majina wala maelezo yake hautonielewa lakini unang'ang'ania nikutajie ndio maana nasema nna wasi wasi na afya ya akili yako.
"Ukisha sema kitu kipo, Halafu useme tena hakielezeki hapa unaleta mkanganyiko (Contradiction) maana kama huwezi kuki elezea, Uliwezaje kujua kipo?Kwanza tuanzie hapa, Hapa umetaja "binadamu na Hewa"
Tayari vitu hivi vipo, Kwa kuonekana na kuhisika. Binadamu wapo kwa namna zote nne. Wana onekana, wanashikika, wanasikika na wanahisika. Hewa pia ipo kwa kuhisika.
Mpaka umeweza kuota vitu hivi tayari vipo kwenye ubongo wako na taarifa za vitu hivi zipo kwenye hifadhi ya ubongo wako.
Ndio maana umeweza kuviota kwamba kimojawapo (Binadamu) anapaa kwenye hewa ingawa kiuhalisia Haiwezekani, ila kwa vile ni imaginations tu inawezekana kuwa hivyo. Binadamu kupaa hewani.
Kitu kisichokuwepo Hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuelezeka.
Ukisha sema kitu kipo, Halafu useme tena hakielezeki hapa unaleta mkanganyiko (Contradiction) maana kama huwezi kuki elezea, Uliwezaje kujua kipo?
Kama uliweza kujua kitu hicho kipo, kwa nini ushindwe kuki elezea?
Kwanza vitu hivyo Haujawahi kuviona hapa duniani, Wewe uliviona wapi?
Kitu ukisha kiona, Angalau unaweza kuelezea kipoje.
Kitu kisisho kuwepo ndicho kisicho elezeka kwa namna yoyote ile.
Kwa vile hakipo kwa namna yoyote ile hata ya kuonekana.