Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Na hicho ndicho ulichotoa kwenye nilichosema ?Wapo kina Logikos ambao wao wanatumia nadharia nyingi za kisayansi kuonesha kuwa hali Iko hivi kwa kuwa tu Iko hivi na kwa kuwa haiko kivingine basi hakuna sababu ya kutafuta ilikuwaje kabla au ingekuwaje kama isingekuwa hivi ilivyo Sasa!!
Nimekwambia mwanzo wa viumbe hai vyote ni unicellular wala hakuna ajabu ya Binadamu kuwa hivi kama hakuna ajabu ya Tembo au Mkaritusi kuwa kama vile ulivyo.., ukiangalia mambo from simplicity hata hayo ambayo ungeyaona ni complicated utakuwa umeya-simplify sana...
Ni Hubrus tu ya binadamu na kujipa moyo na ku-justify uharibifu wake wa ecosystem kwa viumbe vingine kujipa moyo kwamba yeye ndio muhimu zaidi na yupo hapa kutawala wengine... (Huenda tungekuwa tunaongea Ki-bacteria au Ki-Simba au Tembo huena na wenyewe wana-think the same)..., Anyway any specie ipo pale for their survival....
Na building blocks za viumbe hai vyote ni zile zile (elements)