Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Tatizo watu wengi hutaka kuonesha kwamba binadamu hana upekee wowote ule dhidi ya "wanyama" wengine kama yeye.

Wenye hoja hii Wanasema binadamu anajikweza tu, ila hana tofauti yoyote ile na chura au kunguru.

Kila kiumbe hai kina upekee wake na sio binadamu tu
 
Majdala Unapoendelea naendelea Kuwaza tu... Huu mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ukoje.

Kuanzia kinywa kinachokula, koromeo linalomeza chakula, ulimi unaoonja ladha ya chakula, jinsi tumbo linavyogawanya virutubisho kwenda sehemu mbalimbali za mwili, Kwa kweli inastaajabisha.

Ukiangalia viungo vya mwili kama Ini, Kongosho, Figo, Moyo, mapafu, mishipa ya damu, ubongo, hata bandama jinsi vinavyofanya kazi kwa mpangilio, halafu kuwe hakuna mbunifu wake, inashangaza sana!!

Mkuu fuatilia maisha ya Mchwa....... utashangaa!!
 
Kuna siku nikiwahi kuwaambia wanajamvi kuwa science nayo ni dini kama dini zingine kwa sababu vitu vingi tumefundishwa kwenye the so called science especially evolution na big bang theory bila evidence zozote..JUST BELIEVE IT HAPPENED....IT IS A SCIENCE

Unajua maana THEORY?

Theory sio imani wala sio fact

Theory ni nadharia yaani kitu kinachozaniwa kutokea

Theory ipo “open” kuwa challenged na inaweza kubatilishwa kuwa haikuwa sahihi ikiwa itathibika hivyo
Imani ni ujinga wa kuamuni kitu bila ya hakika

Usifananishe theory na imani abadani
 
Mkuu leo naandika programu ya kukokotoa calculus yenyewe inataka ikokotoe magazijuto? Then nisipo i update iende ikaziambie program zingine kuwa designer wetu hayupo
Suala la sisi kuamini au kutoamini kuwa creator wetu yupo haibadili fact ya kuwepo kwa designer wa hii planet

Jifunze kutofautisha kati ya fact na imani

Wewe “unaamini” kuna creator wa dunia lakini hakuna factor za kuthibitisha....... endelea kuamini
 
Jifunze kutofautisha kati ya fact na imani

Wewe “unaamini” kuna creator wa dunia lakini hakuna factor za kuthibitisha....... endelea kuamini
Sijajua kama kuna fact zinazothibitisha kuwa life as we know it imekuwa formed bila designer or creator....just a big accident
 
Kwenye hoja ya uumbaji yeye hata sayansi anasema haina majibu kuhusu chanzo cha vitu vingi!!!

Nani kakwambia sayansi ina majibu ya kila kitu?

Sayansi maana yake uthibitisho unaothibitika
Kisichothibitika kisayansi kinaweza kutengenezewa nadharia(theory) kulingana na mazingira na ushahidi kadhaa usio na hakika ya 100%
 
Na pia ukisema ili kitu kiwepo angalau kiweze kuonekana,kushikika, kusikika na kuhisikia
Vipi kuhuku mtu aliyezaliwa kipofu utamthibitishiaje kuwa kuna anga au mtu ambaye hanusi utamthibitishiaje kuwa kuna harufu ya kinyesi. Sauti nzuri ya njiwa utaielezeaje kwa kiziwi mm? How to you feel and prove love scientifically
Kuna mengi sayansi haiwezi kuyaelezea au kuyathibitisha ila yapo

Nitajie vitu vipo lakini havithibitiki kisayansi?
 
Nikiangalia maumbile ya binadamu na jinsi anavyoishi kwenye hii dunia, najiuliza imekuwaje amekuwa alivyo na jinsi hakuna kiumbe kingine kinachofanana na Binadamu kiutendaji wake.

Ukiangalia Kwa mfano, hivi kweli hakuna mbunifu wa binadamu ambaye ndiye aliyebuni uke ukae kwa mfumo ambao unaweza kuingiliwa na uume.

Hakuna mbunifu aliyebuni mji wa uzazi Kwa mwanamke na kuweka mbegu Kwa mwanaume? Kisha ukifanyika uingilianaji mimba inatungwa.

Baada ya binadamu kuzaliwa ukiangalia kwa makini unaanza kujiuliza, hakuna kweli mbunifu aliyejua kuwa binadamu Ili aishi atahitaji kula hivyo akamuumba akiwa na mdomo?

Mfumo wa kula mpaka kupata haja hakuna mbunifu wake kweli? Yaani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula upo tu Wala haukukusudiwa kuwepo ila upo tu. Kweli?

Fikiria macho, masikio, ngozi, na viungo vingine vya binadamu vinavyofanya kazi. Waza kuwa hapa unaposoma hii mada macho, masikio yako yaache kufanya kazi itakuwaje?

Bado nawaza imekuwaje binadamu hana Mwanzo Wala mwisho??
Mkuu hapa ulikula MJANI maana umeenda deep sana na hiyo ndio kazi ya mjani ukivuta kisha ukatulia na kuskilizia basi lazima maswali fikirishi yataanza kuja akilini na kuanza kuchambua.

MJANI UMEBARIKIWA.
 
Ipo hivi
Mara nyingingi binadamu tunaelezea kitu tukiegema kwenye suala la
-Muda(time),
-Space(mahala/eneo/sehemu n.k),
-Mada(matter)
Hivi ndio paramater(uwezo)zetu kwenye kupambanua mambo. Mfano mtu anapouliza muumba/creator alitoka au alikaa wapi(mahali) anavoumba au ni lini(muda)alifanya huo uumbaji au utengendezaji na kwa kutumia nini(matter).
Hii inakuwa sawa na progarmu ya computer ijaribu kumfahamu injinia wa programu husika kwa kutumia programu hiyohiyo aliyoitengeneza huyo programer(tuchukulie hiyo programmer hajaandika program ya kumwelelezea mwanadamu yaani program iende nje ya parameter zake)
Unapoongela muumba/creator wa mwanadamu na universe kwa ujumla maana yake huwezi kumwelezea au kumwelewa kwa kutumia hivo vitu yaani time, space and matter maana hizo ni variables ambazo yeye amezitengeneza na yupo nje ya hizo variable yaani kama programmer anapokuwa nje ya computer akibuni parameters na variables za programu yake

Sisi ni watumwa wa time space and matter ila surely creator au designer wetu hivo vitu wamevitengeneza wenyewe huwezi kuwa define based on that

Maandiko yote fake yanayoitwa ya “mungu” hayamuepushi mungu na utumwa wa time, space na matter

Kasome vizuri hekaya za mudi na allah uone kama allah ajaingia kwenye huo utumwa
 
Maandiko yote fake yanayoitwa ya “mungu” hayamuepushi mungu na utumwa wa time, space na matter

Kasome vizuri hekaya za mudi na allah uone kama allah ajaingia kwenye huo utumwa
Tuelezee vizuri habari ya hekaya za mudi na allah tupate somo mkuu
 
Na hilo ndio tatizo, Hili jambo wanachukulia easy sana...Wao hawapo kujifunza ila wapo kuonyesha kwamba mitazamo yao ni sahihi siku zote na huwezi kuwabadilisha.
Hata wakisema hawajui Bado sio uthibitisho wa hoja Yako, kama unabisha basi thibitisha
 
Umeanza kwa kusema haufahamu chochote kuhusu chanzo cha binadamu, mwishoni umemaliza kwa kusema....

"sio lazima kuwe na chanzo" Hapa naona unachanganya mambo mno,
Hii inanipa picha kuwa najadili na mtu mwenye upeo wa kifikra wa namna gani


Lakini pia umesema kama nafahamu nkueleze, Lakini nkikueleza pia unapinga...Kwanini upinge kitu ambacho umekiri wazi kuwa haufahamu ?

Kwanini usifanye tafiti kuhusu ambayo huwa tunakwambia ? Lakini unapinga papo kwa hapo kuonyesha kuwa hauwezi kuwa na mtazamo tofauti na ulionao

Nasema hivi kwasababu tumekutana kwenye uzi mwingine huko.
Wewe Sasa hivi nikikwambia Kuna pembetatu yenye duara utakubaliana namimi?
 
Back
Top Bottom