Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
Ukiianglia vzuri Gods of Egypts utaona wanasapoti uwepo wa Roho ,nafsi mwili,shetani kwahy Mungu yupo na Miungu ipo
Kwani hao miungu wa Egypt ndio tafsiri sahihi ya uwepo wa mungu mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiianglia vzuri Gods of Egypts utaona wanasapoti uwepo wa Roho ,nafsi mwili,shetani kwahy Mungu yupo na Miungu ipo
Ngoja niulize swali rahisi mno.Kitu chochote ambacho hakipo kwenye space time matter maana yake hakipo
Ngoja niulize swali rahisi mno.
Unadhani tangu Mwanadamu awepo hapa duniani imeshapita miaka mingapi
Hebu tumia hii kanuni yako ya "matter +space+time=existence." Kujibu hilo swali.
Kama haijulikana ina maana hakujawahi kuwepo Mwanadamu wa kwanza kuishi duniani!!??Miaka haijulikani mkuu
Kama haijulikana ina maana hakujawahi kuwepo Mwanadamu wa kwanza kuishi duniani!!??
Kama hakuna anayejua, sisi binadamu tuliopo Sasa chanzo chetu ni kipi??Nobody knows
Kama hakuna anayejua, sisi binadamu tuliopo Sasa chanzo chetu ni kipi??
Imekuwaje zaidi ya watu bilioni 8 walioko duniani wasijue kabisa asili na chanzo cha kuwepo kwao duniani?Nobody knows
Imekuwaje zaidi ya watu bilioni 8 walioko duniani wasijue kabisa asili na chanzo cha kuwepo kwao duniani?
Hakuna mtaalam Wa kutumia kanuni ya Matter +Space+ Time kujua binadamu amekuwepo duniani kwa muda gani?
Kwa maelezo haya Ina maana hakuna kurithishana historia kati ya kizazi na kizazi?Itaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake
Wewe hujawahi kuitumia kutetea hoja zako??Mada ya time space matter kaileta muumini wa uwepo wa mungu
Na akasema mungu hathibitiki kwasababu sio mtumwa space time na matter kama sisi binadamu
Yaani mungu hayupo kwenye space time matter
Hizo "Theories" chanzo chake ni nini??Ni kupitia THEORIES na MUNGU
Kwa maelezo haya Ina maana hakuna kurithishana historia kati ya kizazi na kizazi?
Au unataka kusema wanadamu walijikuta tu wapo mabilioni bila ya kuwa na watangulizi wao??
Hizo "Theories" chanzo chake ni nini??
Hakuna aliyejiuliza chanzo cha hayo mabaki??Chanzo cha theory kama Big bang theory ni mabaki ya vitu vya kale kama skeleton, mfanano wa mazingira, majivu ya volcano na mataka taka kubao na dhana mbali mbali
Kama siyo "FACT" kwa ivo hazitakiwi kuaminiwa Kwa asilimia mia!!Mind you that..... theory sio FACT
nguvu haina mfano means untauchable,unvisible as well as unseen,Ulijuaje hiyo nguvu ipo?
Hakuna aliyejiuliza chanzo cha hayo mabaki??
Kama siyo "FACT" kwa ivo hazitakiwi kuaminiwa Kwa asilimia mia!!
Na Kwa maana nyingine zipo theory ambazo sifa zake ni kama Imani.