Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Kitu chochote ambacho hakipo kwenye space time matter maana yake hakipo
Ngoja niulize swali rahisi mno.

Unadhani tangu Mwanadamu awepo hapa duniani imeshapita miaka mingapi

Hebu tumia hii kanuni yako ya "matter +space+time=existence." Kujibu hilo swali.
 
Ngoja niulize swali rahisi mno.

Unadhani tangu Mwanadamu awepo hapa duniani imeshapita miaka mingapi

Hebu tumia hii kanuni yako ya "matter +space+time=existence." Kujibu hilo swali.

Miaka haijulikani mkuu
 
Miaka haijulikani mkuu
Kama haijulikana ina maana hakujawahi kuwepo Mwanadamu wa kwanza kuishi duniani!!??

Kama alikuwepo ni Lazima tujibu tukiwa na hakika kabisa kwamba ilikuwa lini.
 
Hakuna mtaalam Wa kutumia kanuni ya Matter +Space+ Time kujua binadamu amekuwepo duniani kwa muda gani?
 
Imekuwaje zaidi ya watu bilioni 8 walioko duniani wasijue kabisa asili na chanzo cha kuwepo kwao duniani?

Simple..... umezaliwa ukakuta hivyo na utakufa utaacha hivyo
Watoto wako watazaliwa watakuta hivyo na watakufa wataacha hivyo
Wataazaa wajukuu wako watakuta hivyo na watakufa wataacha hivyo
Vitukuu vyako vitazaliwa vitakuta hivyo na vitakufa vitaacha hivyo
Itaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake
 
Hakuna mtaalam Wa kutumia kanuni ya Matter +Space+ Time kujua binadamu amekuwepo duniani kwa muda gani?

Mada ya time space matter kaileta muumini wa uwepo wa mungu
Na akasema mungu hathibitiki kwasababu sio mtumwa space time na matter kama sisi binadamu

Yaani mungu hayupo kwenye space time matter
 
Itaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake
Kwa maelezo haya Ina maana hakuna kurithishana historia kati ya kizazi na kizazi?

Au unataka kusema wanadamu walijikuta tu wapo mabilioni bila ya kuwa na watangulizi wao??
 
Mada ya time space matter kaileta muumini wa uwepo wa mungu
Na akasema mungu hathibitiki kwasababu sio mtumwa space time na matter kama sisi binadamu

Yaani mungu hayupo kwenye space time matter
Wewe hujawahi kuitumia kutetea hoja zako??

Au wewe ni kanuni ipi inakuongoza kwenye huu mjadala??
 
Binadamu ana namna mbili za kujibu mambo asiyoyafahamu

Ni kupitia THEORIES na MUNGU

Uzuri wa theory ni kwamba wanaacha room kwa tafuti na new finds kui prove wrong theory iliyopo

Utata wa Mungu msingi wake ni IMANI, yaani kuamini bila uthibitisho na kinacho aminiwa ndio FAINAL hata kama hakileti mantiki yoyote
 
Kwa maelezo haya Ina maana hakuna kurithishana historia kati ya kizazi na kizazi?

Au unataka kusema wanadamu walijikuta tu wapo mabilioni bila ya kuwa na watangulizi wao??

Mkuu unavyo jiona wewe ulivyo umezaliwa utazaa utakufa..... PERIOD
Hivyo ndivyo ilivyo kwa binadamu wote

Mababu zako 10 nyuma huwajui kabisaaa yaani hujui lolote kuhusu wao, na wewe utakufa utasahaulika baada ya vizazi kadhaa mbele, vitu utabaki navyo kwa hao mababu zako labda majina yao ya ukoo na kabila na utamaduni

Kinacho saidia kwa sasa ni teknolojia ya kutunza kumbukumbu angalau itasaidia kujua SISI wa kizazi cha ujuzi wa kutunza kumbukumbu tuliishije na sio TUMETOKEAJE DUNIANI
 
Hizo "Theories" chanzo chake ni nini??

Chanzo cha theory kama Big bang theory ni mabaki ya vitu vya kale kama skeleton, mfanano wa mazingira, majivu ya volcano na mataka taka kubao na dhana mbali mbali

Mind you that..... theory sio FACT
 
Chanzo cha theory kama Big bang theory ni mabaki ya vitu vya kale kama skeleton, mfanano wa mazingira, majivu ya volcano na mataka taka kubao na dhana mbali mbali
Hakuna aliyejiuliza chanzo cha hayo mabaki??
Mind you that..... theory sio FACT
Kama siyo "FACT" kwa ivo hazitakiwi kuaminiwa Kwa asilimia mia!!

Na Kwa maana nyingine zipo theory ambazo sifa zake ni kama Imani.
 
Hakuna aliyejiuliza chanzo cha hayo mabaki??

Kama siyo "FACT" kwa ivo hazitakiwi kuaminiwa Kwa asilimia mia!!

Na Kwa maana nyingine zipo theory ambazo sifa zake ni kama Imani.

Mkuu Theory inashabihiana na IMANI kwa msingi wa kwamba Sio vitu HALISI

Utofauti wao nimeeleza hapo juu
Theory ipo kuonyesha namna ya uwezekano wa majibu yasiofahamika na ipo open kuwa modified au kufutwa kabisa iwapo utapatikana uthibitisho kuthibitisha tofauti

Imani ni FAINAL
Ni swala la kuamini tu hata kama hakuna mantiki..... just believe
 
Back
Top Bottom