unapojikuta katika maisha wa kumshukuru na kuwasujudia ni baba na mama yako nje ya hapo ni nothing...kuna mambo huwa yanafichwafichwa sana haswa kwenye haya maimani ya kigeni kuna zile amri kumi za mungu,kiufupi ukigusia miungu ni ishu fulani za kutungatunga kukamata ufahamu wa watu ili waishi chini ya sheria fulani za kiulimwengu lakini,tegemeo lako la kuwatii ni baba na mama yako maana ndio watakufanya wewe uishi kwa bahati(baraka) watazo kujazia maisha yamezungukwa na funguo moja tu ya BAHATI,kama huna bahati usitegemee ukaisha maisha ya furaha zaidi ni jasho na damu plus maradhi.....