Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Mimi nataka unijibu wewe binafsi umevisoma ...mpaka kufikia hatua ya Kuvidadavua kimoja baada ya kimoja au Unafuata FALSAFA Mkumbo tu ?

Wengi wetu katika Binadamu ni wavivu wa Kusoma na Kufanya Research

Nilianza kusoma Bible, nikaja Qur'an,
History of Buddha, Hindu
 
Simply Binaadam ni hiyo Logical-Sound inayounguruma vichwani mwetu !

Na Chimbuko lake ni "Mungu"

Uthibitisho uko kwenye Maandiko matakatifu!

Ushahidi katika Biblia

Mwanzo 1:26 .."Kisha Mungu akasema tumfanye Mtu kwa mfano wetu/kwa sura yetu" , atawale samaki wa baharini ,ndege wa angani ,Wanyama wa kufugwa Dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.

Pia shahidi za kwenye Qur'an Zipo kibao.

So kama Mungu ametumba kwa mfano wake ambao ni Spirit/Nuru/Energy ...basi Chimbuko letu sisi ni huko .
Na tumuumbe MTU Kwa mfano wetu!!Ni kauli ya Mungu akiwa na akina nani?Mungu,alipokua nao na binadamu tuna mfanano gani?
 
Unataka Manual Guide zipi Tena !??

1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n

Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?
Users manual guide zipo kwenye michoro ya kale kama misri, Mexico na maeneo mengi duniani.Tukiweza kusoma na kutafsiri pengine tutapata jibu.
 
Mbona same stafsiri Kwa kiasi kikubwa, na ikaja kugundulika kuna vitu kwenye Bible, Quran,torati zimekopi kutoka kwenye hizi early civilization
 
Unaposema Mwanadamu " hakuumbwa" Lakini hapo hapo unasema kuwa hakuna ajuaye Mwanadamu kawaje yupo duniani, unajichanganya!!
 
Wanashangaza sana Hawa Atheists!

Wao wanaamini Kuunda ila hawaamini Kuumba [emoji38].

We are the Image of God

Mungu anaumba

Wanaadamu tuna Unda.

You can't Ignore God the Almighty!

Ni ufinyu wa Kufikiri
 
Kuona hakuitaji manual guide
Kumetokeaje huko kuona!!

Kwa nini macho yapo hapo yalipo na yapo hivyo yalivyo.

Mnyumbuliko wote huo wa macho unawezaje kuwapo bila ya kuwa na mbunifu wake???

Fikiria macho "yangetokea" magotini sijui ingekuwaje?

Ukimwangalia binadamu unakuwa ni "ujeuri" tu kusema tu hakuna nguvu iliyotaka binadamu awe hivyo alivyo.
 
Na tumuumbe MTU Kwa mfano wetu!!Ni kauli ya Mungu akiwa na akina nani?Mungu,alipokua nao na binadamu tuna mfanano gani?
Kwani Mungu ni nani/Nini???

Ukisema Mungu yupo ama hayupo bila ya kujua Mungu ni nani/Nini utakuwa unapuyanga tu.
 
Wanashangaza sana Hawa Atheists!

Wao wanaamini Kuunda ila hawaamini Kuumba [emoji38].

We are the Image of God

Mungu anaumba

Wanaadamu tuna Unda.

You can't Ignore God the Almighty!

Ni ufinyu wa Kufikiri
Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?

Kabla ya kusema jambo fulan kafanya Mungu basi tajeni ni Mungu yupi maana dunia ina jamii nyingi tofauti zenye miungu tofaut na kila jamii inamkweza na kumtukuza Mungu wao kuwa ndie sahihi je nyie wafia dini huyo Mungu aliyeumba dunia na wanadamu kwa mfano wake ni Mungu yupi??
 
Kumetokeaje huko kuona!!

Kwa nini macho yapo hapo yalipo na yapo hivyo yalivyo.

Mnyumbuliko wote huo wa macho unawezaje kuwapo bila ya kuwa na mbunifu wake???

Fikiria macho "yangetokea" magotini sijui ingekuwaje?

Ukimwangalia binadamu unakuwa ni "ujeuri" tu kusema tu hakuna nguvu iliyotaka binadamu awe hivyo alivyo.
Kama unaamin uwepo wako upo sababu ya kuumbwa basi hata Mungu nae kaumbwa maana yupo na kawekwa na kitu ambacho kimemuumba, iko hivyo siku zote, uwezi kubali kuwa umeumbwa na ukatae kuwa Huyo aliyekuumba yeye hajaumbwa ikiwa tu huwezi kuthibitisha uwepo wake basi hata huko kuumbwa ni tendo la kusadikika tu
 
Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?

Kabla ya kusema jambo fulan kafanya Mungu basi tajeni ni Mungu yupi maana dunia ina jamii nyingi tofauti zenye miungu tofaut na kila jamii inamkweza na kumtukuza Mungu wao kuwa ndie sahihi je nyie wafia dini huyo Mungu aliyeumba dunia na wanadamu kwa mfano wake ni Mungu yupi??
Anayezungumziwa hapa ni Mungu muumba wa vyote unavyovijua na Usivyovijua!

Tatizo lako unabisha halafu mvivu wa kutafuta maarifa ya kumjua muumba wako.

Nishasema toka mwanzo watu wakafanye research Juu ya Inner Sound na Spirituality/Elimu roho ......utakuja kukaa kimya mwenyewe na utaacha kubwatuka hovyo Mitandaoni humu!
 
Mungu yupi sasa? Huyo wa makanisan, wa msikitin, wa kwenye mahekalu ya wabudha, wahindu, au wale waabudu chini ya miti? Mungu yupi mnaemuongelea?

Kabla ya kusema jambo fulan kafanya Mungu basi tajeni ni Mungu yupi maana dunia ina jamii nyingi tofauti zenye miungu tofaut na kila jamii inamkweza na kumtukuza Mungu wao kuwa ndie sahihi je nyie wafia dini huyo Mungu aliyeumba dunia na wanadamu kwa mfano wake ni Mungu yupi??
Seek for a Spiritual mentor .
 
Back
Top Bottom