Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Unakuta mtu anauliza eti unaamini Muumba gani,...
Wakati ipo wazi kabisa kwamba kama ambavyo lugha zipo tofauti basi hata neno Mungu(Muumba) lipo tofauti kwa Nchi na Jamii tofauti tofauti kutokana na lugha zao, kinacho matter ni Sifa za huyo Muumba.

Mfano kwenye lugha tofauti tofauti Muumba anatamkwa kama ifuatavyo,.... [emoji3593]
In Spanish, it's "Dios." In Croatian, it's "Bog." In Arabic, it's "الله" (Allah). In Aramaic, it's "ܐܠܗܐ" (Alaha). In Swahili, it's "Mungu." Different languages, but the same concept in each one.

Mkuu to be honest huu unaleta ni utoto

Haiwezekani Mungu Fundi kapenta wa Galilaya akawa ndio Allah?
 
Mkuu jibu umepewa kwamba HAIJULIKANI..... sasa kama hujaridhika na hilo jibu njoo na FACTS zako za jibu sahihi tufunge mjadala

Ni matumaini yangu sasa umeanza kupata mwangaza kwamba “mungu” ni “dhana” na sio halisia
Endelea kuuliza maswali tukupe MADINI naamini soon utakuja kubaini jinsi dhana ya mungu ilivyo ya kitapeli
Something is wrong in your Brain!

Halafu nimegundua wewe ni Mvivu kwenye Kufikiri na Kusaka maarifa.

Inshort wewe kwa Nafsi Yako unaamini kuwa hakuna Mungu .... whereby hiyo pekee itoshe kusema wewe ni muumini wa Kipagani (Atheist).

Kama hauko Open Minded na Facts tunazokupa you won't Excel !
 
Kwanza Nashukuru kutambua kwamba Mungu ni dhana

Kwahiyo huwa creator wapo wengi kumbe?
Kwa hiyo fundi kapenta labda aliumba pua na kucha, Allah labda akaumba tumbo na miguu, miungu ya mababu zako labda ikaumba makalio na vikojoleo nk nk?

Usitoke nje ya swali lako la msingi......

Mkuu be specific ili tupunguze mjadala...... ni muumba gani exactly unaye MUAMINI wewe ili tujadili uwepo wake
Show me msimamo wako wa Chimbuko la Binaadam wewe kama wewe ..then I will show you where God is !
 
Something is wrong in your Brain!

Halafu nimegundua wewe ni Mvivu kwenye Kufikiri na Kusaka maarifa.

Inshort wewe kwa Nafsi Yako unaamini kuwa hakuna Mungu .... whereby hiyo pekee itoshe kusema wewe ni muumini wa Kipagani (Atheist).

Kama hauko Open Minded na Facts tunazokupa you won't Excel !

Mkuu hadi kufikia hitimisho kwamba hakuna mungu bali ni dhana tu imetengenezwa ujue nilikwenda deep sana kumtafuta na sikuona hata chembe tu ya uwepo wake

Hakuna FACT zozote mlizotoa mkuu zaidi ya blah blah

Mungu hayupo halafu bado unataka nimtafute rohoni na rohoni ni dhana tu sio halisi
 
Mkuu to be honest huu unaleta ni utoto

Haiwezekani Mungu Fundi kapenta wa Galilaya akawa ndio Allah?
Sasa Mimi na wewe nani analeta utoto hapo.,

Unaposema Mungu fundi kapenta wa Galilaya, unamaanisha nini?

Unapotoa hoja haina haja ya kuweka kejeli yoyote, nyoosha tu maelezo.
 
Samahani kama nimekukwaza kwa kutumia majina hayo [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Msimamo wangu kuhusu chimbuko la binadamu ni huu....... NO BODY KNOWS
Unaposema hakuna ajuaye unamaanisha nini??

Umejipaje mamlaka na madaraka ya kuamulia watu zaidi ya bilioni 8 kwamba wote hao hawajui chimbuko la binadamu???
 
Mkuu uongo ni uongo tu hata dunia nzima waseme ni ukweli lakini utabakia kuwa ni UONGO

Mimi ni muumini mzuri sana wa SAYANSI ambayo ipo wazi kwa inacho kijua na isichokijua

So ni Sayansi ndio inayotoa majibu ya NO BODY KNOWS na sio mimi mkuu

Mpaka sasa kuna dhana kuu mbili tu kubwa za dunia na vyote vilitokeaje ambazo haikidhi vigezo kuwa ni FACT

Mosi, ni theory ya kisayansi
Pili, ni imani ya kuna Mungu muumba wa vyote

But i stand to be corrected iwapo utatokea uthibitisho usio na shaka kwamba nani kaumba
 
So ni Sayansi ndio inayotoa majibu ya NO BODY KNOWS na sio mimi mkuu.
Hiyo sayansi si inatumia uwezo wa binadamu kwenye kutengeneza (formulate) nadharia mbalimbali?

Mpaka sasa sayansi miaka Kwa miaka imethibitishwa kuwa nadharia zake kadhaa wa kadhaa hazikuwa sahihi.

Kabla ya kutengeneza hizo nadharia zake ambazo si sahihi kwa 100%, mwanasayansi hana uwezo wa kujijua yeye asili na chanzo chake kwa kuwa yeye si chanzo cha kuwa kwake.

Kwa ivo kuna kutafsiri mazingira na kuna kujua chanzo cha mazingira husika.

Kwanza Ili upate jibu la swali ni lazima ukubali kanuni ya ukokotozi wa swali husika.

Kujua chanzo na asili ya binadamu ni Lazima kuwe nje ya zile njia kuu (sita?) Za fahamu.

Ni lazima ujiweke kwenye Hali ya kuamini kuwa kwa sayansi haiwezekani kujua chanzo na asili ya binadamu.

Baada ya hapo tafuta maarifa toka ndani mwako (inner self) kujua wewe umekuwaje binadamu.
 
Kabla ya kutengeneza hizo nadharia zake ambazo si sahihi kwa 100%, mwansayansi hana uwezo wa kujijua yeye asili na chanzo chake kwa kuwa yeye si chanzo cha kuwa kwake.

Kwa ivo kunakutafsiri mazingira na kuna kujua chanzo cha mazingira husika.

Kwanza Ili upate jibu la swali ni lazima ukubali kanuni ya ukokotozi wa swali husika.

Kujua chanzo na asili ya binadamu ni Lazima kuwe nje ya zile njia kuu (sita?) Za fahamu.

Ni lazima ujiweke kwenye Hali ya kuamini kuwa kwa sayansi haiwezekani kujua chanzo na asili ya binadamu.

Baada ya hapo tafuta maarifa toka ndani mwako (inner self) kujua wewe umekuwaje binadamu.

Najiuliza sana hivi inakuaje mtu anashindwa kuelewa maelezo clear& concise kama uliyoweka hapo juu?!

Nadhani hapo mwisho uliposema kwamba... "tafuta maarifa toka ndani mwako (inner self) kujua wewe umekuwaje binadamu."
Ndiyo umemaliza kila kitu,... Maana majibu yapo hapo. 🤝🏼👊🏼
 
Hiyo sayansi si inatumia uwezo wa binadamu kwenye kutengeneza (formulate) nadharia mbalimbali?

Mpaka sasa sayansi miaka Kwa miaka imethibitishwa kuwa nadharia zake kadhaa wa kadhaa hazikuwa sahihi.

Kabla ya kutengeneza hizo nadharia zake ambazo si sahihi kwa 100%, mwanasayansi hana uwezo wa kujijua yeye asili na chanzo chake kwa kuwa yeye si chanzo cha kuwa kwake.

Kwa ivo kuna kutafsiri mazingira na kuna kujua chanzo cha mazingira husika.

Kwanza Ili upate jibu la swali ni lazima ukubali kanuni ya ukokotozi wa swali husika.

Kujua chanzo na asili ya binadamu ni Lazima kuwe nje ya zile njia kuu (sita?) Za fahamu.

Ni lazima ujiweke kwenye Hali ya kuamini kuwa kwa sayansi haiwezekani kujua chanzo na asili ya binadamu.

Baada ya hapo tafuta maarifa toka ndani mwako (inner self) kujua wewe umekuwaje binadamu.

Najiuliza sana hivi inakuaje mtu anashindwa kuelewa maelezo clear& concise kama uliyoweka hapo juu?!

Nadhani hapo mwisho uliposema kwamba... "tafuta maarifa toka ndani mwako (inner self) kujua wewe umekuwaje binadamu."
Ndiyo umemaliza kila kitu,... Maana majibu yapo hapo. [emoji1755][emoji1363]

Mkuu theory sio FACT, ni muongozo wa kutafuta FACT unaweza kuwa proved wrong YES
LAKINI kuna theories nyingi sana ambazo zimekuja kuleta utambuzi wa mambo mengi sana dunia hii ya sayansi na teknolojia....... So don’t underestimate the power of scientific theories coz your total life depends on it

Mkuu “inner self” bado ni nadharia ya kisayansi pia.
Njia kuu za ufahamu ni nadharia ya kisayansi pia ambayo ndio inatumika ku feed inner self

As matter of fact “inner self” kuna mahali binadamu wote tunafanana kama selfish nk lakini kuna mahala tunatofautiana sana kulingana na mazingira na makuzi nk nk
Sasa kuanza kutumia inner self kujua “binadamu wa kwanza” aliumbwaje mamiaka yasio julikana huko nyuma si ni kichekesho mkuu?........Yaani nimejikuta tu nimezaliwa na mama yangu halafu by inner self nijue aliumbwaje wa kwanza? ...... this is a big joke mkuu

Hivi inner self ya Mbudha itakua sawa na ya Mshia pale Iran? Au itakua sawa na mtoto aliyezaliwa na kukulia Uhadzabeni?.... kwamba hawa wakitumia inner self zao watajua “binadamu wa kwanza” aliumbwaje?

By the way ni nani aliyeweka hiyo kanuni kwamba ukitaka kujua mtu kaumbwaje basi tumia inner self? ....... Ukweli ni kwamba umebuni hiyo kanuni kwasababu ya theories za kisayansi mkuu
Hakuna jambo unaloweza kufanya nje ya ufahamu wa kibinadamu...... HAKUNA

To make story short mkuu hebu ninyi wenzetu mliotumia hizo inner self kujua binadamu wa kwanza ameumbwaje na nani kamuumba si mtuambie?
 
Nadhani hujaelewa maana halisi ya kutumia Inner self Ili kujibu maswali yanayokutatiza.

Kupitia Inner self, ndiyo utajiuliza maswali juu ya mifumo yote iliyopo kwenye mwili wako na jinsi inavyofanya kazi kuanzia nervous system, circulatory system, respiratory system, digestive system, skeletal system, muscular system, immune system na mifumo mengineyo.

Inner self yako haiwezi kukubali hata siku moja kwamba hiyo mifumo inaweza kuwa hivyo ilivyo bila Ujuzi wa hali ya Juu kutumika katika ku design muundo wake.,..

Yatazame tu macho yako kwa umakini,... Kisha jiulize from within yourself(Inner self), (Je, huoni kabisa yapo designed!???👁️)

Inner self, haidanganyi.....tunapo kwama ni kupuuza inner self na kwenda kutegemea mawazo toka kwa watu wengine wakiwemo Ndugu, marafiki, Wanasayansi, Viongozi wa dini na kadhalika!

So, ukishapata jibu kwamba macho yako yapo designed,... Automatically utatamani kumjua na Designer au Engineer wa hayo macho yako.
 
Nadhani hujaelewa maana halisi ya kutumia Inner self Ili kujibu maswali yanayokutatiza.

Kupitia Inner self, ndiyo utajiuliza maswali juu ya mifumo yote iliyopo kwenye mwili wako na jinsi inavyofanya kazi kuanzia nervous system, circulatory system, respiratory system, digestive system, skeletal system, muscular system, immune system na mifumo mengineyo.

Inner self yako haiwezi kukubali hata siku moja kwamba hiyo mifumo inaweza kuwa hivyo ilivyo bila Ujuzi wa hali ya Juu kutumika katika ku design muundo wake.,..

Yatazame tu macho yako kwa umakini,... Kisha jiulize from within yourself(Inner self), (Je, huoni kabisa yapo designed!???[emoji2539])

Inner self, haidanganyi.....tunapo kwama ni kupuuza inner self na kwenda kutegemea mawazo toka kwa watu wengine wakiwemo Ndugu, marafiki, Wanasayansi, Viongozi wa dini na kadhalika!

So, ukishapata jibu kwamba macho yako yapo designed,... Automatically utatamani kumjua na Designer au Engineer wa hayo macho yako.
Mkuu nadhani wewe ndio unajichanganya na hii dhana ya kisayansi INNER SELF ni nini na inaweza kufanya nini?

Mkuu Mada hapa ni je nini chanzo cha binadamu? Yaani ni nani kampangilia binadamu wa kwanza hivi tulivyo?....... mimi na wewe na yule ni muendelezo tu. Tujikite kujadili hili

Mimi na muongozo wangu sayansi nasema kwamba HAIJULIKANI, ila ukinijuza basi nitajua

Inatakiwa sasa utupe madini kwamba inner self inawezaje kutambua “binadamu wa kwanza” aliye “umbwa” mamilioni ya miaka isojulikana huku nyuma alikua designed vipi na nani alimdesign?

Nakubaliana na wewe kwamba inner self ina kusukuma “kuamini” kwamba binadamu wa kwanza hukutokea tu from nowhere, hiyo inaitwa INTELLIGENCE
lakini bado haiwezi kukupa majibu ya vitu vilivyotokea mamilioni ya miaka nyuma mkuu...... KUTOKUJUA jambo lilitotekea zamani bila kuacha ushahidi ni jambo la kawaida kabisa.... Na in fact binadamu hajui mambo mengi sana yalivyokua miongo kadhaa tu nyuma sembuse “binadamu wa kwanza”

Inner self inaweza kukusaidi kujipambanua wewe binafsi na sio kurudi nyuma mamilioni ya miaka ku dig binadamu kaumbwa na nani na kaumbwaje?
Inner self itakusaidia kutaka kujua kwa kujiuliza maswali na sio KUKUPA MAJIBU
Majibu utayatafuta nje ya Inner self
Newton alipooana Apple linaanguka kutoka mtini inner self yake ilimsukuma kutaka kujua zaidi WHY?, hakujifungia chumbani na inner self yake tu bali alianza kuutafuta kilicho msukuma nje ya inner self hadi akajua sababu

Watu walikwisha jiuliza haya maswali miaka mingi sana huko nyuma...... hatujaanza sisi mkuu. Na walipokosa majibu wakaja na DHANA mbili tu
Big bang theory na Mungu
Hizi ndio njia mbili kuu binadamu anazitumia kujibanza kwenye maswali magumu yaliomshinda

Hatukatai wala hatukubali kwamba kuna creator aliepangilia macho nk...... Tunachosema ni HATUJUI tu kwasababu HAKUNA uthibitisho wowote.
Ni kama vile wewe huwajui babu zako vizazi 10 na maisha yako yanaendelea kama kawaida..... there’s nothing wrong about it

Sasa turejee kwako baada ya ku dig inner self yako imekupa majibu nani kaumba binadamu wa kwanza kwa mpangilio huu? Au ina kusukuma tu kutaka jua?

Ruka ruka utakavyo weza lakini inner self yako ikilazimisha lazima yupo basi utalazimika kuangukia kwenye IMANI ambapo ni swala la KUAMINI tu...... PERIOD
Lakini ukiwa OPEN MINDED utasimama na sayansi na theories zake
 
Kwanza, Nani kakuambia Inner self ni dhana ya Kisayansi? Au umejiongeza tu hapo Mkuu?

Ngoja niweke simple..,

Ipo hivi kwa kuwa Inner self za watu wote Duniani zinakili kwamba Miili yetu na mifumo yake ipo Designed., (Bila shaka hata wewe unakili hili!).... Na pia inner self inakili kwamba Ujuzi wa hali ya juu lazima ulihitajika kuweka kila mfumo uliopo mwilini kwenye sehemu yake special mfano zitizame figo zako mbili.

Hivyo basi kumalizia Equation ni kwamba, as long as Inner self inatuambia mwili upo Designed hence there must be a Designer,.. na as long as our Inner self inatuambia kwamba Ujuzi ulihitajika... Hence there must be MJUZI! Simple

Na ndiyo maana kwa kutumia inner self akili yangu inaamini kwenye uumbaji.

NB:- Kusimama na theory za kisayansi haimaanishi kwamba wewe sio muumini,yani still unakua na Imani kama wanavyoamini watu wanaoamini kwenye Uumbaji,... Kama unabisha Lete uthibitisho wa Bing Bang Theory, Evolution Theory hapa! Ukishindwa basi ujue hata wewe ni muumini tu. Period
 
Mkuu theory sio FACT, ni muongozo wa kutafuta FACT unaweza kuwa proved wrong YES
LAKINI kuna theories nyingi sana ambazo zimekuja kuleta utambuzi wa mambo mengi sana dunia hii ya sayansi na teknolojia....... So don’t underestimate the power of scientific theories coz your total life depends on it

Mkuu “inner self” bado ni nadharia ya kisayansi pia.
Njia kuu za ufahamu ni nadharia ya kisayansi pia ambayo ndio inatumika ku feed inner self

As matter of fact “inner self” kuna mahali binadamu wote tunafanana kama selfish nk lakini kuna mahala tunatofautiana sana kulingana na mazingira na makuzi nk nk
Sasa kuanza kutumia inner self kujua “binadamu wa kwanza” aliumbwaje mamiaka yasio julikana huko nyuma si ni kichekesho mkuu?........Yaani nimejikuta tu nimezaliwa na mama yangu halafu by inner self nijue aliumbwaje wa kwanza? ...... this is a big joke mkuu

Hivi inner self ya Mbudha itakua sawa na ya Mshia pale Iran? Au itakua sawa na mtoto aliyezaliwa na kukulia Uhadzabeni?.... kwamba hawa wakitumia inner self zao watajua “binadamu wa kwanza” aliumbwaje?

By the way ni nani aliyeweka hiyo kanuni kwamba ukitaka kujua mtu kaumbwaje basi tumia inner self? ....... Ukweli ni kwamba umebuni hiyo kanuni kwasababu ya theories za kisayansi mkuu
Hakuna jambo unaloweza kufanya nje ya ufahamu wa kibinadamu...... HAKUNA

To make story short mkuu hebu ninyi wenzetu mliotumia hizo inner self kujua binadamu wa kwanza ameumbwaje na nani kamuumba si mtuambie?
Hata mkiambiwa mnabisha.
 
Kwanza, Nani kakuambia Inner self ni dhana ya Kisayansi? Au umejiongeza tu hapo Mkuu?

Ngoja niweke simple..,

Ipo hivi kwa kuwa Inner self za watu wote Duniani zinakili kwamba Miili yetu na mifumo yake ipo Designed., (Bila shaka hata wewe unakili hili!).... Na pia inner self inakili kwamba Ujuzi wa hali ya juu lazima ulihitajika kuweka kila mfumo uliopo mwilini kwenye sehemu yake special mfano zitizame figo zako mbili.

Hivyo basi kumalizia Equation ni kwamba, as long as Inner self inatuambia mwili upo Designed hence there must be a Designer,.. na as long as our Inner self inatuambia kwamba Ujuzi ulihitajika... Hence there must be MJUZI! Simple

Na ndiyo maana kwa kutumia inner self akili yangu inaamini kwenye uumbaji.

NB:- Kusimama na theory za kisayansi haimaanishi kwamba wewe sio muumini,yani still unakua na Imani kama wanavyoamini watu wanaoamini kwenye Uumbaji,... Kama unabisha Lete uthibitisho wa Bing Bang Theory, Evolution Theory hapa! Ukishindwa basi ujue hata wewe ni muumini tu. Period

Kwa msingi wa ulicho kiandika hapo juu ni kwamba sasa tunakubaliana kwamba “Inner self” inatusukuma kutaka kumjua aliye umba kwa mpangilio huu wa ajabu kabisa....... yaani ina wiwa vigumu kuona hakuna aliyefanya kazi hii....... Hii ni HULKA na UTASHI wa binadamu ulivyo kutaka kujua kila kitu

Na ndio maana Baada ya miaka mingi ya binadamu kusukumwa kutaka kujua nani aliyeumba kwa ujuvi na mpangilio wa hali ya juu kiasi hiki zilizaliwa DHANA kuu mbili tu

Big Bang theory
Hizi sio FACT kwamba that’s exactly what happened... Nope
Hizi ni nadharia bunifu tu za kisayansi kujaribu kuona namna ambavyo uumbaji unaweza kuwa ulitokea.
Uzuri wa dhana hizi upo open kuwa challenged, modified na hata kufutwa kabisa iwapo zitapatikana new finds kui prove wrong theory iliopo

Dhana ya pili ni IMANI ya MUNGU
Hii dhana unachotakiwa kufanya ni kuamini tu kuwa kuna MUNGu hata kama hakuna uthibitisho au dhana haina MANTIKI..... just believe it.
Kinyume cha hapo ni KUFURU kuhoji ni laana tena unatishwa utachomwa moto milele...... lakini sasa bado Inner Self inatusukuma tena kutaka kujua huyu Muumbaji mjuzi wa hali ya juu na yeye kaumbwaje na ujuzi wote ule?...... hapa sasa nadharia ya infinity inazaliwa

Sayansi na Imani ni vitu viwili tofauti kabisa mkuu
Ila nashukuru kwamba tumekubaliana kwamba tunasukumwa tu na inner self kutaka kumjua aliyeumba ila ukweli ni kwamba HATUMJUI
 
Hata mkiambiwa mnabisha.
Tatizo la watu kama kina Mayu na Infropreneur wanataka wapate majibu Kwa kutumia njia isiyo sahihi na halali.

hateeb10 kajitahidi kuiweka dhana na nadharia kuhusu Mungu na uumbaji Kwa lugha rahisi sana lakini Kila wakati tunarudi kulekule.

Kwa mfano unaweza kuulizwa swali la 2+2=? na wewe ukajibu 2+2=4 na ukawa umetumia njia sahihi kujibu swali hilo.

Lakini ukitumia mfumo huu kujibu swali hilo hilo la 2+2=5-1 unaweza kung'ang'ania kuwa umetoa jibu sahihi Lakini ukweli Wa mambo utakuwa hujatumia mfumo sahihi wa kukokotoa swali la hisabati ulilopewa.

Huwezi kupata jibu la masuala ya kiroho Kwa kutumia mfumo wa kisayansi au nadharia za Wana falsafa.

Mambo ya kiroho hujadliwa kwa kutumia kanuni za kiroho!!
 
Back
Top Bottom