Nadhani hujaelewa maana halisi ya kutumia Inner self Ili kujibu maswali yanayokutatiza.
Kupitia Inner self, ndiyo utajiuliza maswali juu ya mifumo yote iliyopo kwenye mwili wako na jinsi inavyofanya kazi kuanzia nervous system, circulatory system, respiratory system, digestive system, skeletal system, muscular system, immune system na mifumo mengineyo.
Inner self yako haiwezi kukubali hata siku moja kwamba hiyo mifumo inaweza kuwa hivyo ilivyo bila Ujuzi wa hali ya Juu kutumika katika ku design muundo wake.,..
Yatazame tu macho yako kwa umakini,... Kisha jiulize from within yourself(Inner self), (Je, huoni kabisa yapo designed!???[emoji2539])
Inner self, haidanganyi.....tunapo kwama ni kupuuza inner self na kwenda kutegemea mawazo toka kwa watu wengine wakiwemo Ndugu, marafiki, Wanasayansi, Viongozi wa dini na kadhalika!
So, ukishapata jibu kwamba macho yako yapo designed,... Automatically utatamani kumjua na Designer au Engineer wa hayo macho yako.
Mkuu nadhani wewe ndio unajichanganya na hii dhana ya kisayansi INNER SELF ni nini na inaweza kufanya nini?
Mkuu Mada hapa ni je nini chanzo cha binadamu? Yaani ni nani kampangilia binadamu wa kwanza hivi tulivyo?....... mimi na wewe na yule ni muendelezo tu. Tujikite kujadili hili
Mimi na muongozo wangu sayansi nasema kwamba HAIJULIKANI, ila ukinijuza basi nitajua
Inatakiwa sasa utupe madini kwamba inner self inawezaje kutambua “binadamu wa kwanza” aliye “umbwa” mamilioni ya miaka isojulikana huku nyuma alikua designed vipi na nani alimdesign?
Nakubaliana na wewe kwamba inner self ina kusukuma “kuamini” kwamba binadamu wa kwanza hukutokea tu from nowhere, hiyo inaitwa INTELLIGENCE
lakini bado haiwezi kukupa majibu ya vitu vilivyotokea mamilioni ya miaka nyuma mkuu...... KUTOKUJUA jambo lilitotekea zamani bila kuacha ushahidi ni jambo la kawaida kabisa.... Na in fact binadamu hajui mambo mengi sana yalivyokua miongo kadhaa tu nyuma sembuse “binadamu wa kwanza”
Inner self inaweza kukusaidi kujipambanua wewe binafsi na sio kurudi nyuma mamilioni ya miaka ku dig binadamu kaumbwa na nani na kaumbwaje?
Inner self itakusaidia kutaka kujua kwa kujiuliza maswali na sio KUKUPA MAJIBU
Majibu utayatafuta nje ya Inner self
Newton alipooana Apple linaanguka kutoka mtini inner self yake ilimsukuma kutaka kujua zaidi WHY?, hakujifungia chumbani na inner self yake tu bali alianza kuutafuta kilicho msukuma nje ya inner self hadi akajua sababu
Watu walikwisha jiuliza haya maswali miaka mingi sana huko nyuma...... hatujaanza sisi mkuu. Na walipokosa majibu wakaja na DHANA mbili tu
Big bang theory na Mungu
Hizi ndio njia mbili kuu binadamu anazitumia kujibanza kwenye maswali magumu yaliomshinda
Hatukatai wala hatukubali kwamba kuna creator aliepangilia macho nk...... Tunachosema ni HATUJUI tu kwasababu HAKUNA uthibitisho wowote.
Ni kama vile wewe huwajui babu zako vizazi 10 na maisha yako yanaendelea kama kawaida..... there’s nothing wrong about it
Sasa turejee kwako baada ya ku dig inner self yako imekupa majibu nani kaumba binadamu wa kwanza kwa mpangilio huu? Au ina kusukuma tu kutaka jua?
Ruka ruka utakavyo weza lakini inner self yako ikilazimisha lazima yupo basi utalazimika kuangukia kwenye IMANI ambapo ni swala la KUAMINI tu...... PERIOD
Lakini ukiwa OPEN MINDED utasimama na sayansi na theories zake