Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Hoja hapa ni chanzo cha binadamu ni nini

Jamaa kasema binadamu “kaumbwa”....... hapa ndio kwenye mjadala , THIBITISHE mjadala uishe

Sasa mnaanza kuleta habari za ku study deeply sauti?
Binadamu amepita siku nyingi sana huko kwenye sauti mkuu ndio maana anatengeneza hadi sauti
Okay, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo cha binadamu ? Katokea tu ? Kaumbwa ?......
 
Okay, wewe unafahamu nini kuhusu chanzo cha binadamu ? Katokea tu ? Kaumbwa ?......

Know body knows mkuu

Binadamu wote tuliopo hai sasa hivi tunachojua ni kwamba tumezaliwa na wazazi wetu....... yani tumejikuta tumezaliwa, na sisi tutazaa halafu tutakufa...... vizazi vitaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake

Vizazi vyako 10 nyuma huvijui, na wewe baada vizazi vyako kumi mbele hakuna atakaye kujua kama uliwa kuishi duniani.
Watajiuliza tumetokea wapi kama wewe ulivyo jiuliza au kama babu wa babu yako wa mababu zako walivyojiuliza baada ya kujikuta wamezaliwa na wazazi wao

Vyanzo vingine vyote ni blah blah zakutengenezwa za theory za wanasayansi na hekaya za mungu
 
Simply Binaadam ni hiyo Logical-Sound inayounguruma vichwani mwetu !

Na Chimbuko lake ni "Mungu"

Uthibitisho uko kwenye Maandiko matakatifu!

Ushahidi katika Biblia

Mwanzo 1:26 .."Kisha Mungu akasema tumfanye Mtu kwa mfano wetu/kwa sura yetu" , atawale samaki wa baharini ,ndege wa angani ,Wanyama wa kufugwa Dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo.

Pia shahidi za kwenye Qur'an Zipo kibao.

So kama Mungu ametumba kwa mfano wake ambao ni Spirit/Nuru/Energy ...basi Chimbuko letu sisi ni huko .

Mkuu hata mimi naweza kusema nimetumwa na Mungu na nikaandika maandiko na kuyaita matakatifu kama ilivyo Quran na Bibilia

Unatakiwa uthibitisho thabiti na sio nikimuuliza muislam atasema Allah, akija mkristo atasema jehova, muhindu atakuja na wake mkorea wake
 
Majibu utayapata Siku Yako yakufa mkuu ! [emoji1787]

Pale ndio safari yako ya kurejea from your Origin itakudhihirikia usoni mwako live [emoji38][emoji38]!
 
Majibu utayapata Siku Yako yakufa mkuu ! [emoji1787]

Pale ndio safari yako ya kurejea from your Origin itakudhihirikia usoni mwako live [emoji38][emoji38]!

Mkuu wengi mnaogopeshwa na moto wa milele matokeo mnaamini bila kutumia akili

Kama ambavo unaona ukikata mti ndio mwisho wake au ukiua mbu au kuchinja kuku au kuvua samaki au ukimkanyaga sisimizi au ukiua vimelea vya malaria kwa dawa ndio inakua mwisho wa hivyo viumbe ndivyo itakavyo kuwa kwako...... hakuna kuku wala samaki wala mti wala mimi na wewe tutakao kwenda popote zaidi ya kurudi mavumbini na Hadithi yetu itakua imeishia hapo

Yaani Mungu aumbe ulimwengu huu wenye mabilioni ya galaxies ambapo binadamu ni kama kapunje kamchanga tu out ya mchanga wote duniani hala huyu mungu aanze kubaki anakomaa na haka kamchanga kakinya kanatawazaje, akizagamua hatakiwi kumwanje nje, anavaaje, asile nguruwe na upuuzi mwingi tu eti ni dhambi [emoji23]
 
Know body knows mkuu

Binadamu wote tuliopo hai sasa hivi tunachojua ni kwamba tumezaliwa na wazazi wetu....... yani tumejikuta tumezaliwa, na sisi tutazaa halafu tutakufa...... vizazi vitaendelea hivyo na haijulikani mwisho wake

Vizazi vyako 10 nyuma huvijui, na wewe baada vizazi vyako kumi mbele hakuna atakaye kujua kama uliwa kuishi duniani.
Watajiuliza tumetokea wapi kama wewe ulivyo jiuliza au kama babu wa babu yako wa mababu zako walivyojiuliza baada ya kujikuta wamezaliwa na wazazi wao

Vyanzo vingine vyote ni blah blah zakutengenezwa za theory za wanasayansi na hekaya za mungu
Mimi sijiulizi, Jibu nnalo nmeumbwa na aliefanya ulimwengu wote ukawepo, namaanisha Mungu.

Kazi kwenu ambao mpo mpo hamuelewei mmetokea vipi duniani.
 
Akili ya binadamu iko limited kupata majibu ya vyanzo vya uumbaji. Mtakukuruka mtafanya nini ila mtaishia hakuna mwanzo Wala Mwisho. Kutopata mwanzo wa kitu Wala kujua mwisho wa kitu ni uthibitisho wa ukomo wa akili, no more no less.
 
Ntajibu kwa hoja kutokana na Uelewa wangu mdogo!

Binadamu Yuko na Phase 3 duniani .

Science inasema.....
""Energy can neither be created nor destroyed but can be transformed from one form to another!""

Phase 1 : Kuzaliwa (Energy activation)

Phase 2 : Kuzaa (Energy transmission)

Phase 3 : Kufa (Energy transformation)

Ambazo phase hizi zinatokea katika Kila kiitwacho kiumbe hai . In short sisi ni Wanyama kama walivyo Wanyama wengine.

Ila Tofauti yetu na viumbe vingine ni "Utashi"

Kwa Mimi Unaposema Neno Binaadam linatokana na state ya ubinaadamu/Utu ni Ile hali ya ku possess Utashi "Will-being" logical beings(Akili ya Uchanganuzi na mipango). Na Unaposema Unyama ni Ile hali ya kinyume Cha Utashi ....

Organ iitwayo Ubongo karibia Wanyama wote wako nayo, ambapo ndani ya Ubongo huo Eneo linaitwa Cerebral cortex Kuna Kitu kinaitwa "Mind" ni kama Software ambayo inafanya Kazi katika hali ya Umeme.

Mind imegawanyika Pande kuu mbili .... Conscious Mind (Centre of Logics/rational/programming zone) na Subconscious Mind(Irrational/Store of Programs).

Sasa tusizunguke sana hapa kwenye Conscious Mind ndipo Binaadam(Will-being) alipo na anaishi katika mfumo wa mawimbi-Sauti ! .....na ndipo kwa Wanyama wengine hii advanced level ya Utashi haipo... wako na Cerebral cortex ambayo inafanya tu reactions tu kutokana na instant surroundings then itaprogram subconscious minds zao behaviours husika bila reasoning kinyume kabisa na Binaadam.

Kabla hujazungumza chochote mdomoni Kwako Conscious Mind ilishazungumza before!

Ndio maana wahenga walisema Mtu akifa tunasema "Amekata Kauli"....maiti haiongei!

Chimbuko la Binadamu liko Ndani ya Mwili wa binaadam ambalo kiimani Spirit na kisayansi ni Energy .

Sayansi pekee haitoweza kujibu Chimbuko la Binaadam ndio maana Kuna Fields za kiimani ambazo Mungu ndio Source ya Kila Kitu umlimwenguni.

"Na tumewaumba kutokana na mfano wetu"

Science is so weak to Answer the Origin of Human life but Spirituality can!

Science haiamini mizimu na spirits 8n general.....lakini watu wanaziishi hizo experience na ziko scattered as Energy Zina possess transformations kama vile Sound na electrical energies.[emoji106]!
Nakubaliana nawe, hususani hapa kwenye energy/spirit binadamu kabla hajatamka kitu huwa kinaanza kutamkwa kwenye nafsi.
Nimeshafanyaga jaribio Moja nitoa fursa kwa wengine ambao wanaundugu/jamaa au wanapata nafsi ya kukutana na watu wenye mapepo ya utambuzi ikiwa na kosa/uhalifu ulishawahifanya sehemu kimyakimya pasipo kumwambia mtu embu msogele huyu mtu aliepandisha Hilo dubwasha uone atakavyoanika kila ulichofanya au mtukane kimoyomoyo uone atakavyokumind na atasema uliyosema kimoyomoyo

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Science never claim can solve everything
Sayansi haijawahi kusemwa ina majibu ya kila kitu mkuu

Kwenye huu ulimwengu sayansi inajua vitu vichache sana ambavyo vinatusaidia kurahisisha maisha yetu na bado inaendelea kutafuta

Hiyo hoja yako ya sauti ni tenge
Wewe unaye ongea na bubu hamna tofauti yoyote ya kufikiri tofauti yenu ni kwenye kuwasiliana tu

Sauti is just a means of communication

Kwakuwa umesema chanzo cha binadamu....... basi tunaomba ukithibitishe hicho chanzo kuwa kipo na sio blah blah za kuhoji sayansi
Sayansi haina majibu ya kila kitu
Nafikiri hujamuelewa, hata huyo bubu kabla hajaonyesha kwa ishara nini anamaanisha tayari alishatamka kwenye nafsi kabla ya kupeleka kwenye ishara, kama alivyosema ni energy kwa hiyo vinafanyika kwa speed kubwa

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri hujamuelewa, hata huyo bubu kabla hajaonyesha kwa ishara nini anamaanisha tayari alishatamka kwenye nafsi kabla ya kupeleka kwenye ishara, kama alivyosema ni energy kwa hiyo vinafanyika kwa speed kubwa

Sent from my Infinix X689C using JamiiForums mobile app

Hivyo vitu vinauhusiano gani na chanzo cha binadamu?
 
Hii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.

Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.

Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.

Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Ndizi utumbo
 
unapojikuta katika maisha wa kumshukuru na kuwasujudia ni baba na mama yako nje ya hapo ni nothing...kuna mambo huwa yanafichwafichwa sana haswa kwenye haya maimani ya kigeni kuna zile amri kumi za mungu,kiufupi ukigusia miungu ni ishu fulani za kutungatunga kukamata ufahamu wa watu ili waishi chini ya sheria fulani za kiulimwengu lakini,tegemeo lako la kuwatii ni baba na mama yako maana ndio watakufanya wewe uishi kwa bahati(baraka) watazo kujazia maisha yamezungukwa na funguo moja tu ya BAHATI,kama huna bahati usitegemee ukaisha maisha ya furaha zaidi ni jasho na damu plus maradhi.....
Bahati ni nini ?
 
Unataka Manual Guide zipi Tena !??

1.Zaburi
2.Torati
3.Injil
4.Qura'n

Ulishawahi kutenga Muda wako ukazisoma user guides zote hizi ukazimaliza mpaka ukasema hamna User manual guide?
Tunarudi kule kule

Hivyo vitabu vimeandikwa na watu na Sio mungu.

Kama hivyo vitabu vimeandikwa na mungu basi visingekuwa na kasoro,mapungufu, kiasi ya kwamba Hata mtoto wa Shule ya msingi anahoji maswali juu ya vitabu hivyo
 
Sawa kabisa.

Sasa wewe nimegundua kuwa unawaza kwa mtizamo wa uwezo wako wa kibinadamu

Kwani mbunifu ni Lazima awe na sifa zinazofanana na alivyoviumba? Labda hatujui maana ya kuumbwa
Nini maana ya kuumbwa? kwanini tuliumbwa.?
 
Tunarudi kule kule

Hivyo vitabu vimeandikwa na watu na Sio mungu.

Kama hivyo vitabu vimeandikwa na mungu basi visingekuwa na kasoro,mapungufu, kiasi ya kwamba Hata mtoto wa Shule ya msingi anahoji maswali juu ya vitabu hivyo
Mimi nataka unijibu wewe binafsi umevisoma ...mpaka kufikia hatua ya Kuvidadavua kimoja baada ya kimoja au Unafuata FALSAFA Mkumbo tu ?

Wengi wetu katika Binadamu ni wavivu wa Kusoma na Kufanya Research
 
Back
Top Bottom