Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Tatizo watu wengi hutaka kuonesha kwamba binadamu hana upekee wowote ule dhidi ya "wanyama" wengine kama yeye.

Wenye hoja hii Wanasema binadamu anajikweza tu, ila hana tofauti yoyote ile na chura au kunguru.

Kila kiumbe hai kina upekee wake na sio binadamu tu
 

Mkuu fuatilia maisha ya Mchwa....... utashangaa!!
 

Unajua maana THEORY?

Theory sio imani wala sio fact

Theory ni nadharia yaani kitu kinachozaniwa kutokea

Theory ipo “open” kuwa challenged na inaweza kubatilishwa kuwa haikuwa sahihi ikiwa itathibika hivyo
Imani ni ujinga wa kuamuni kitu bila ya hakika

Usifananishe theory na imani abadani
 

Jifunze kutofautisha kati ya fact na imani

Wewe “unaamini” kuna creator wa dunia lakini hakuna factor za kuthibitisha....... endelea kuamini
 
Jifunze kutofautisha kati ya fact na imani

Wewe “unaamini” kuna creator wa dunia lakini hakuna factor za kuthibitisha....... endelea kuamini
Sijajua kama kuna fact zinazothibitisha kuwa life as we know it imekuwa formed bila designer or creator....just a big accident
 
Kwenye hoja ya uumbaji yeye hata sayansi anasema haina majibu kuhusu chanzo cha vitu vingi!!!

Nani kakwambia sayansi ina majibu ya kila kitu?

Sayansi maana yake uthibitisho unaothibitika
Kisichothibitika kisayansi kinaweza kutengenezewa nadharia(theory) kulingana na mazingira na ushahidi kadhaa usio na hakika ya 100%
 

Nitajie vitu vipo lakini havithibitiki kisayansi?
 
Mkuu hapa ulikula MJANI maana umeenda deep sana na hiyo ndio kazi ya mjani ukivuta kisha ukatulia na kuskilizia basi lazima maswali fikirishi yataanza kuja akilini na kuanza kuchambua.

MJANI UMEBARIKIWA.
 

Maandiko yote fake yanayoitwa ya “mungu” hayamuepushi mungu na utumwa wa time, space na matter

Kasome vizuri hekaya za mudi na allah uone kama allah ajaingia kwenye huo utumwa
 
Maandiko yote fake yanayoitwa ya “mungu” hayamuepushi mungu na utumwa wa time, space na matter

Kasome vizuri hekaya za mudi na allah uone kama allah ajaingia kwenye huo utumwa
Tuelezee vizuri habari ya hekaya za mudi na allah tupate somo mkuu
 
Na hilo ndio tatizo, Hili jambo wanachukulia easy sana...Wao hawapo kujifunza ila wapo kuonyesha kwamba mitazamo yao ni sahihi siku zote na huwezi kuwabadilisha.
Hata wakisema hawajui Bado sio uthibitisho wa hoja Yako, kama unabisha basi thibitisha
 
Wewe Sasa hivi nikikwambia Kuna pembetatu yenye duara utakubaliana namimi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…