Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,064
- 2,076
Ukiwa na maana gani?Yeyote yule!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa na maana gani?Yeyote yule!!
Nadharia ni mkusanyiko wa hoja mbali mbali zenye ukweli ndani yake bila kuegemea upande fulani (Theists & Atheists)Kwa ivo "Perception" ya nani ni sahihi nani anaamua??
Hivi Mungu ni dhana ama ni nadharia!!??
Kuamua huu ni ukweli ama uongo kwenye hoja hii nani anaamua!!Nadharia ni mkusanyiko wa hoja mbali mbali zenye ukweli ndani yake bila kuegemea upande fulani (Theists & Atheists)
Sijui umenielewa?
personal attack!"Ukisha sema kitu kipo, Halafu useme tena hakielezeki hapa unaleta mkanganyiko (Contradiction) maana kama huwezi kuki elezea, Uliwezaje kujua kipo?
Kwa haya maelezo yako mafupi emu tumia dk 2 kujishangaa ulichokiandika....Maana umeshahama na haujui hata tunaongea kuhusu nini...Kuelekezana jambo na wewe ni tabu sana maana inaonyesha una kichwa kigumu na sio mtu muelewa ukielekezwa jambo
Nakuelezea jambo mimi bado umekazana kubishana why ? Ilikua unielewe tu nliposema kwamba mimi naota hata vitu ambavyo sijawahi kuviona ulimwenguni...Inabidi ufahamu " najizungumzia mimi" lakini ulivyo na kichwa kigumu bado unabishana.
Mkuu pole sana lakini binaadamu anapojaribu kujitoa ufahamu na kusahau mapungufu aliyonayo Wala haipendezi, inawezekana kujisahau lakini sio kujizima data kabisa, tusisahau mapungufu yetu ni mengi na makubwa mno kuweza kujipa cheo Cha uungu.Kanuni hii ni ya kwangu binafsi, Si kwamba ni kanuni ya watu wote.
Kanuni hii ni kutokana na kwamba watu wanaodai Mungu ni chanzo cha ulimwengu hawana UTHIBITISHO wa madai yao.
(Ni mawazo yao ya kufikirika tu)
Watu wengi wana amini Mungu Hana chanzo kwamba alitokea tu, Pia wana amini Mungu huyohuyo hana mwisho.
Watu wengi wameweza kuamini Mungu wasiyemjua Hana chanzo Lakini wana lazimisha kwamba Dunia ina chanzo, Na chanzo hicho wanadai ni "Mungu" Kwamba wana amini Haiwezekani Dunia iwe imetokea tu yenyewe Pasipo chanzo.
Sasa ni hivi[emoji116]
Kama "Haiwezekani" Dunia isiwe na muumbaji, kwamba lazima awepo aliye iumba "Imewezekana" vipi Mungu asiwe na Muumbaji?
Kama Mungu hana mwanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia kutokuwa na mwanzo?
Huu ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe na chanzo, ila Mungu yeye Hana chanzo uliwekwa na nani?
Hapa sasa ndipo,Kanuni hii inapo tumika kwamba,
Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo. Maana Mungu huyo bado "HAJATHIBITIKA" rasmi kwamba yeye ndio chanzo halisi cha ulimwengu.
( Bado ni mawazo na mafikirio ya watu tu)
Sasa kama bado Mungu HAJATHIBITIKA kuwa chanzo halisi cha Dunia, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia imeumbwa na ina mwanzo.
Ila mtu akianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe imeumbwa, Lazima athibitishe kwamba chanzo cha Dunia hakina mwanzo.
Na aeleze na kuthibitisha chanzo hicho cha Dunia, kimewezaje kuwepo bila chanzo kingine.
Umemaliza mkuu, na kujijua mwenyewe ni lazima na akili pia ziwepo ndio maana machizi hawana hukumu mbele ya mungu Kwa sababu hawajitambuiUsipojijua mwenyewe huwezi kumjua Mungu.
hapana hatukubaliani hivyo...Kwa hiyo tunakubaliana kwamba Yesu ndio huyo huyo Allah pia, si ndio mkuu!?
Kuwa kichaa😂, mbona mambo yako wazi TuMtachanganyikiwa bureeee...
Kuleni kwa sababu mna midomo
Laleni kwa sababu kuna usiku
Fanyeni kazi kwasababu mna nguvu
Fanyeni matusi kwa sbb mna vya kufanyia
Zaeni kwa sababu mna uzao n njia za kuzalia
Na mengine yote kwa sababu mna utashi...
Mkijiuliza sana hamchelewi kuwa vichaa
Kwa hiyo mungu kawapa baadhi ya watu uchizi ili asiwatambua Mbele Yake ,basi huyu mungu atakuwa nae anauchizi kidogoUmemaliza mkuu, na kujijua mwenyewe ni lazima na akili pia ziwepo ndio maana machizi hawana hukumu mbele ya mungu Kwa sababu hawajitambui
Absolutely yes.
Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.
Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,
Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,
Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Nilitegemea uchambuzi uli mpaka na wa kina lkn naona ni kama mada chokonoziHii ndiyo nadharia inayosemwa inatakiwa kukubaliwa na kila binadamu na ndiyo nadharia inayoitwa na baadhi ya watu kuwa ni kamilifu na timilifu.
Kuwa hakuna ajue wewe binadamu umetokea wapi na kwa nini upo ivo ulivo. Kuwa Binadamu hana kusudio lolote lile la kuwepo kwake duniani.
Na haileweki imekuwaje binadamu kuna mambo anayoyaita mema na mengine anayaita mabaya.
Hitimisho ni kuwa binadamu ni kiumbe kisichoelezeka.
Mkuu hili ni swali gumu sana ambalo halina jibu moja. Ila nitajaribu kukufanulia kadri ya upeo wangu.
Kwa sasa kuna nadharia mbili kuu zinazojaribu kuelezea jinsi binadamu alivyo tokea. Nadharia hizi ni ya Evolution na Creation.
Nadharia hizi zote zina mapungufu mengi yenye utata usio kuwa na majibu kueleweka.
Kwa mfano kwenye nadharia ya evolution, haielezi mwanzo au chanzo cha kiumbe kinacho evolve na pili mchakato wa evolution hata kama unatokea taratibu mno kwa nini hamna hatua za evolution sasa hivi?
Kwenye nadharia ya Creation inaeleza Mungu aliumba viumbe hai na visivyo hai kwa kutamka, kitu ambacho hakiwezekani! Ni mawazo ya kufikirika. Chanzo cha Mungu mwenyewe hakieleweki.
Ukitaka kuelewa chanzo cha viumbe tupanue wigo wa usakaji wa ukweli huo. Tuseme tutumie nadharia ya kutazama (Observation theory).
Kwa kutumia nadharia hii, tutazame anga letu (our universe), nikiri kuwa kuna universes Bilioni kadhaa kama mapovu ya sabuni.
Kwenye universe/anga letu ukiangalia usiku angani utaona kuna galaxy kibao, ukweli ni kwamba kuna galaxies zaidi ya Bilioni na kila galaxy moja ina nyota zaidi ya Bilioni.
Sasa tuje kwenye galaxy yetu. Jua letu ni moja ya nyota I Bilioni kwenye galaxy yetu. Jua letu lina sayari 8 na miezi kibao.
Lengo letu tutazame composition na mpangilio wa anga unavyojiendesha kwa utimilifu. Kwa maelezo hayo machache ni dhahiri lazima kuna viumbe vilivyo na uwezo mkubwa kimwili, kiaili, kikawi, kiteknolojia, kiuchumi kwa nyakati tofauti vilifanya hayo yote.
Nafahamu wengi watauliza kwamba hivyo viumbe chanzo chake ni nini? Tukifika hapa tunatumia kanuni inayoitwa: "impossibility of reverse knowledge to the source"
Kwa mfano gari, kiti, computer, simu, nguo, nyumba na kadhalika ni vyombo vinavyoumbwa/undwa na mwanadamu, kimsingi haviwezi kuwa na ufahamu/utambuzi wowote juu ya binadamu ambaye ni mtengenazaji/muumbaji/muundaji wake!
Kwa maana hiyo ukitazama wingi wa nyota angani, kila nyota ikiwa na mfumo wake wa sayari na mwezi, kama ilivyo kwenye jua letu na kukawepo na sayari moja yenye viumbe hai, unafikiri kutakuwepo na idadi ya viumbe hai kiasi gani kwenye anga letu tu?
Kimsingi viumbe hai, ni vyombo yenye teknologia ya juu ya chanzo chake (super beings) ambao kwa hakika ndio walio husika kuumba/kuunda mfumo wote wa sayari ya dunia na dunia yenyewe.
Lengo la kuu la kuumba viumbe hai ni kutimiza haja kuwa na mawasiliano mawasiliano ya uhakika kutoka duniani pasipo kutumia nguvu na gharama kubwa ya kusafiri mara kwa mara kuja duniani.
Kama vile unavyoona tunavyotumia vyombo kama spaceship, satellite na vyombo vya kwenda mars kwa ajili ya utafiti na mawasiliano.
Kwa makini ukitazama malighafi ya kuumba viumbe hai utagundua haitokani au kufanana na malighafi yoyote hapa duniani.
Kwa mfano ukichunguza kwa makini mwili wa wabinadamu utagundua ni muunganiko wa vumbuzi mbali mbali ili kufanikisha lengo tarajiwa sawa na ilivyo kwenye gari au chombo chochote cha mwanadamu.
Tofauti kuu baina ya viumbe hai na vyombo vya mwanadamu, moja ni aina malighafi iliyotumia na pili ni uwezo wa viumbe hai kujizalisha bila gharama na bila kuleta mabadiliko yote ya kuzuia mawasiliano.
Uwezo wa viumbe hai kujizalisha ni teknolojia ya hali juu sana yenye lengo la kupunguza gharama kubwa ya uzalizaji viumbe hai wa mara kwa mara kama uzalizaji ungekuwa unafanyiwa kiwandani.
Kujibu swali lako la chanzo cha binadamu. Niseme kwamba binadamu ana chanzo chake. Kwa kuzingatia kanuni niliyo taja hapo ni ngumu kuwa ufahamu au utambuzi wowote juu chanzo chake/muumba wake kama ilivyo ngumu kwa vyombo ambayo ameviunda mwenyewe kupata ufahamu na utambuzi juu yake.
Vivyo hivyo, kanuni hiyo ina apply kwa muumbaji wa muumbaji wa binadamu kuhusu ufahamu na utambuzi juu muumbaji/chanzo chake! Na hivyo hivyo kwenye umbaji/uundaji wowote kwenda nyuma uliopo au ujao!
Mkuu hili ni swali gumu sana ambalo halina jibu moja. Ila nitajaribu kukufanulia kadri ya upeo wangu.
Kwa sasa kuna nadharia mbili kuu zinazojaribu kuelezea jinsi binadamu alivyo tokea. Nadharia hizi ni ya Evolution na Creation.
Nadharia hizi zote zina mapungufu mengi yenye utata usio kuwa na majibu kueleweka.
Kwa mfano kwenye nadharia ya evolution, haielezi mwanzo au chanzo cha kiumbe kinacho evolve na pili mchakato wa evolution hata kama unatokea taratibu mno kwa nini hamna hatua za evolution sasa hivi?
Kwenye nadharia ya Creation inaeleza Mungu aliumba viumbe hai na visivyo hai kwa kutamka, kitu ambacho hakiwezekani! Ni mawazo ya kufikirika. Chanzo cha Mungu mwenyewe hakieleweki.
Ukitaka kuelewa chanzo cha viumbe tupanue wigo wa usakaji wa ukweli huo. Tuseme tutumie nadharia ya kutazama (Observation theory).
Kwa kutumia nadharia hii, tutazame anga letu (our universe), nikiri kuwa kuna universes Bilioni kadhaa kama mapovu ya sabuni.
Kwenye universe/anga letu ukiangalia usiku angani utaona kuna galaxy kibao, ukweli ni kwamba kuna galaxies zaidi ya Bilioni na kila galaxy moja ina nyota zaidi ya Bilioni.
Sasa tuje kwenye galaxy yetu. Jua letu ni moja ya nyota I Bilioni kwenye galaxy yetu. Jua letu lina sayari 8 na miezi kibao.
Lengo letu tutazame composition na mpangilio wa anga unavyojiendesha kwa utimilifu.
Unathibitishaje viumbe hivyo vipo?Kwa maelezo hayo machache ni dhahiri lazima kuna viumbe vilivyo na uwezo mkubwa kimwili, kiaili, kikawi, kiteknolojia, kiuchumi kwa nyakati tofauti vilifanya hayo yote.
Lakini Binadamu ni Kiumbe mwenye ufahamu na utambuzi anaweza kuhoji chanzo chake ni kipi?Nafahamu wengi watauliza kwamba hivyo viumbe chanzo chake ni nini? Tukifika hapa tunatumia kanuni inayoitwa: "impossibility of reverse knowledge to the source"
Kwa mfano gari, kiti, computer, simu, nguo, nyumba na kadhalika ni vyombo vinavyoumbwa/undwa na mwanadamu, kimsingi haviwezi kuwa na ufahamu/utambuzi wowote juu ya binadamu ambaye ni mtengenazaji/muumbaji/muundaji wake!
Kwa maana hiyo ukitazama wingi wa nyota angani, kila nyota ikiwa na mfumo wake wa sayari na mwezi, kama ilivyo kwenye jua letu na kukawepo na sayari moja yenye viumbe hai, unafikiri kutakuwepo na idadi ya viumbe hai kiasi gani kwenye anga letu tu?
Kimsingi viumbe hai, ni vyombo yenye teknologia ya juu ya chanzo chake (super beings) ambao kwa hakika ndio walio husika kuumba/kuunda mfumo wote wa sayari ya dunia na dunia yenyewe.
Lengo la kuu la kuumba viumbe hai ni kutimiza haja kuwa na mawasiliano mawasiliano ya uhakika kutoka duniani pasipo kutumia nguvu na gharama kubwa ya kusafiri mara kwa mara kuja duniani.
Kama vile unavyoona tunavyotumia vyombo kama spaceship, satellite na vyombo vya kwenda mars kwa ajili ya utafiti na mawasiliano.
Kwa makini ukitazama malighafi ya kuumba viumbe hai utagundua haitokani au kufanana na malighafi yoyote hapa duniani.
Kwa mfano ukichunguza kwa makini mwili wa wabinadamu utagundua ni muunganiko wa vumbuzi mbali mbali ili kufanikisha lengo tarajiwa sawa na ilivyo kwenye gari au chombo chochote cha mwanadamu.
Tofauti kuu baina ya viumbe hai na vyombo vya mwanadamu, moja ni aina malighafi iliyotumia na pili ni uwezo wa viumbe hai kujizalisha bila gharama na bila kuleta mabadiliko yote ya kuzuia mawasiliano.
Uwezo wa viumbe hai kujizalisha ni teknolojia ya hali juu sana yenye lengo la kupunguza gharama kubwa ya uzalizaji viumbe hai wa mara kwa mara kama uzalizaji ungekuwa unafanyiwa kiwandani.
Kama ni ngumu kufahamu na kutambua chanzo chetu binadamu ni kipi, Sasa utasemaje binadamu tuna chanzo, ilhali huwezi kuthibitisha kwamba chanzo hicho kipo?Kujibu swali lako la chanzo cha binadamu. Niseme kwamba binadamu ana chanzo chake. Kwa kuzingatia kanuni niliyo taja hapo ni ngumu kuwa ufahamu au utambuzi wowote juu chanzo chake/muumba wake kama ilivyo ngumu kwa vyombo ambayo ameviunda mwenyewe kupata ufahamu na utambuzi juu yake.
Vivyo hivyo, kanuni hiyo ina apply kwa muumbaji wa muumbaji wa binadamu kuhusu ufahamu na utambuzi juu muumbaji/chanzo chake! Na hivyo hivyo kwenye umbaji/uundaji wowote kwenda nyuma uliopo au ujao!
Unathibitishaje viumbe hivyo vipo?
Uthibitisho upi una thibitisha kwamba viumbe hivyo vyenye uwezo mkubwa kimwili, kiakili, kiteknolojia na kiuchumi vilikuwepo duniani kwa nyakati hizo tofauti?
Lakini Binadamu ni Kiumbe mwenye ufahamu na utambuzi anaweza kuhoji chanzo chake ni kipi?
Maana ufahamu, utambuzi na uelewa tunao.
Vitu kama gari, kiti, computer,simu,nguo, nyumba n.k tulivyo viunda sisi wenyewe HAVIWEZI kutuhoji sisi binadamu maana havina ufahamu, utambuzi na uelewa wa kufanya hivyo.
Sisi kama tuliumbwa na hao viumbe unao dai walituumba, Kwa nini tuwe na uwezo wa kuvihoji viumbe hivyo?
Au uwezo huo wa kuvihoji viumbe hivyo, walitupa viumbe haohao?
Kwamba viumbe hivyo waliumba binadamu wenye uwezo wa kuvihoji?
Viumbe hivyo, Vilishindwaje kuumba Binadamu tusio na uwezo wa kuvihoji kama wapo kweli au hawapo?
Kama ni ngumu kufahamu na kutambua chanzo chetu binadamu ni kipi, Sasa utasemaje binadamu tuna chanzo, ilhali huwezi kuthibitisha kwamba chanzo hicho kipo?
Aliyesema kwamba Binadamu tuna chanzo(muumbaji), Yeye alifahamu vipi?
Maana umesema wazi kwamba, Ni ngumu kwa binadamu kufahamu muumbaji wake.
Kama mungu angekuwepo basi Hata hii Post isingekuwepoMkuu una haki ya kuuliza na kuhoji na ndio maana kwenye utangulizi nilisema swali gumu lisilo kuwa na jibu moja.
Nimejaribu kutoa mawazo yangu kadri ya upeo, mtazamo na ufuhamu wangu. Nategemea nawe katika kuhoji mawazo yangu utoe mawazo yako ili tuweze kupata jawabu.
Mkuu haya maswall unayojiulza bila kuw na majb,Kanuni hii ni ya kwangu binafsi, Si kwamba ni kanuni ya watu wote.
Kanuni hii ni kutokana na kwamba watu wanaodai Mungu ni chanzo cha ulimwengu hawana UTHIBITISHO wa madai yao.
(Ni mawazo yao ya kufikirika tu)
Watu wengi wana amini Mungu Hana chanzo kwamba alitokea tu, Pia wana amini Mungu huyohuyo hana mwisho.
Watu wengi wameweza kuamini Mungu wasiyemjua Hana chanzo Lakini wana lazimisha kwamba Dunia ina chanzo, Na chanzo hicho wanadai ni "Mungu" Kwamba wana amini Haiwezekani Dunia iwe imetokea tu yenyewe Pasipo chanzo.
Sasa ni hivi[emoji116]
Kama "Haiwezekani" Dunia isiwe na muumbaji, kwamba lazima awepo aliye iumba "Imewezekana" vipi Mungu asiwe na Muumbaji?
Kama Mungu hana mwanzo, Inashindikana vipi kwa Dunia kutokuwa na mwanzo?
Huu ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe na chanzo, ila Mungu yeye Hana chanzo uliwekwa na nani?
Hapa sasa ndipo,Kanuni hii inapo tumika kwamba,
Kama ni lazima kila kitu kilichopo kiwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo. Maana Mungu huyo bado "HAJATHIBITIKA" rasmi kwamba yeye ndio chanzo halisi cha ulimwengu.
( Bado ni mawazo na mafikirio ya watu tu)
Sasa kama bado Mungu HAJATHIBITIKA kuwa chanzo halisi cha Dunia, Hakuna ulazima wa kwamba Dunia imeumbwa na ina mwanzo.
Ila mtu akianza kuweka ulazima wa kwamba Dunia lazima iwe imeumbwa, Lazima athibitishe kwamba chanzo cha Dunia hakina mwanzo.
Na aeleze na kuthibitisha chanzo hicho cha Dunia, kimewezaje kuwepo bila chanzo kingine.
Mkuu mimi naamini kwamba Binadamu hatuna mwanzo wala mwisho.Mkuu haya maswall unayojiulza bila kuw na majb,
Kwangu mm ni kama Leo umekuja kwenye fikla zang inawezekn vp yaan !? Ni vyema tupate haya majb kw wajuv wa haya mambo!
Vipi kama kipo ambacho ndicho mwanzo na mwishoAbsolutely yes.