Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
Ndg Alien, ili upate kujua na kufahamu binadamu ametoka wapi na kusudio la uwepo wake, hauna budi kupitia maandiko mbali mbali. Maandiko haya yatahusisha vyanzo vyote vya imani zetu za dini mbali mbali ikiwepo na tafiti za kisayansi, za awali na za wakati huu.
Kwa upande wa dini zetu zote, chimbuko la imani hizi ni toka enzi za tawala za Wa - Sumerian. Hawa walitawala zama zile, waliandika maandiko mengi ambayo sasa ndiyo msingi wa imani za dini zote duniani na pia chanzo cha technologies zote tunazozitumia leo hii, na bado tuu mwanzo tu mwa maarifa ( technologies) waliokuwa nazo. Haya yote yaliachwa ktk maandiko ya vibao (tablets) nyingi, tangu za chanzo cha binadamu, utawala, dini, sciences, na maarifa mengi mengi sana! Ndiyo maana, hawa wenzetu Wazungu waling'ang'ania kufanya utafiti wa kuchimbua sehemu mbali mbali za kale kwa gharama kubwa sana! Hivi kweli huwa hamjiulizi tu, kwa nini hawa jamaa wali - hung'ang'ana sana katika tafiti kale?
Haya, kwa ufupi sana,
Chanzo cha binadamu ni matokea ya cloning toka kwa viumbe wa sayari ingine walipofika katika sayari ya "Dunia" wakiwa katika harati zao za kutafuta kitu cha kuponya anga la sayari yao isidhurike na mionzi ovu. Ndipo wakagundua kuwa sayari yetu, yaani DUNIA inayo hayo madini mengi sana.
Walitua na kuanza uchimbaji wa hayo madini kwa zana zao bora sana, huku wakitumia nguvu kazi toka miongoni mwa viumbe wenzao. Waliendekea hivyo hadi viumbe wenzao wakachoshwa na kazi hizo nzito za uchimbaji madini, ndipo wakubwa wao walipokaa (wakiwa ktk sayari hii hii ya dunia) na kuona kuwa kuna wanyama/hayawani, kwa mbali, wanao ufanano na wao. Ndipo walipoanza ulinganisho wa DNA zao na za hao. Walifanya majaribio hayo ya kimaabara mara nyingi tu, ndipo walipofikia uamuzi wa DNA manipulation, kuchanganya zao na za hao wanyama/ hayawani.
Matokeo yake ni kupata mbadala wa wafanyakazi waliotokana na zao la kia maabara. Lengo likiwa ni kuwapunguzia uzito wa kazi viumbe wenzao
Kumbe basi, utakuwa umepata chanzo halisi cha binadamu na lengo/ kusudio lake la uwepo wake hapa duniani.
NB: Kwa MTANZANIA ukitaka umnyime kitu, basi mwambie asome, hapo umempoteza kabisa, kwani ni mvivu mno wa kusoma! Mwisho, imeandikwa, "" Mshike sana ELIMU kwani....,.......... !
Mengi sana utayapata toka hizo tablets za Wa -Sumerians, hasa ukitembelea maktaba za mambo kale pale Uingereza (London) na zile za Ujerumani, omba uzisome, nyingi zipo coded na ktk lugha kale, hivyo unahitaji utalaam wa aina yake ili uyaelewe. Hapa MTANZANIA tumepigwa na kitu kizito sana kichwani na ktk paji la uso!
Mkuu nakubaliana nawe kuhusu ushahidi wa mabaki, mifupa, majengo na vifaa kale kama ushahidi wa uwepo mwanadamu kinyume na nadharia ya Evolution/mageuko!Ndg Alien, ili upate kujua na kufahamu binadamu ametoka wapi na kusudio la uwepo wake, hauna budi kupitia maandiko mbali mbali. Maandiko haya yatahusisha vyanzo vyote vya imani zetu za dini mbali mbali ikiwepo na tafiti za kisayansi, za awali na za wakati huu.
Kwa upande wa dini zetu zote, chimbuko la imani hizi ni toka enzi za tawala za Wa - Sumerian. Hawa walitawala zama zile, waliandika maandiko mengi ambayo sasa ndiyo msingi wa imani za dini zote duniani na pia chanzo cha technologies zote tunazozitumia leo hii, na bado tuu mwanzo tu mwa maarifa ( technologies) waliokuwa nazo. Haya yote yaliachwa ktk maandiko ya vibao (tablets) nyingi, tangu za chanzo cha binadamu, utawala, dini, sciences, na maarifa mengi mengi sana! Ndiyo maana, hawa wenzetu Wazungu waling'ang'ania kufanya utafiti wa kuchimbua sehemu mbali mbali za kale kwa gharama kubwa sana! Hivi kweli huwa hamjiulizi tu, kwa nini hawa jamaa wali - hung'ang'ana sana katika tafiti kale?
Haya, kwa ufupi sana,
Chanzo cha binadamu ni matokea ya cloning toka kwa viumbe wa sayari ingine walipofika katika sayari ya "Dunia" wakiwa katika harati zao za kutafuta kitu cha kuponya anga la sayari yao isidhurike na mionzi ovu. Ndipo wakagundua kuwa sayari yetu, yaani DUNIA inayo hayo madini mengi sana.
Walitua na kuanza uchimbaji wa hayo madini kwa zana zao bora sana, huku wakitumia nguvu kazi toka miongoni mwa viumbe wenzao. Waliendekea hivyo hadi viumbe wenzao wakachoshwa na kazi hizo nzito za uchimbaji madini, ndipo wakubwa wao walipokaa (wakiwa ktk sayari hii hii ya dunia) na kuona kuwa kuna wanyama/hayawani, kwa mbali, wanao ufanano na wao. Ndipo walipoanza ulinganisho wa DNA zao na za hao. Walifanya majaribio hayo ya kimaabara mara nyingi tu, ndipo walipofikia uamuzi wa DNA manipulation, kuchanganya zao na za hao wanyama/ hayawani.
Matokeo yake ni kupata mbadala wa wafanyakazi waliotokana na zao la kia maabara. Lengo likiwa ni kuwapunguzia uzito wa kazi viumbe wenzao
Kumbe basi, utakuwa umepata chanzo halisi cha binadamu na lengo/ kusudio lake la uwepo wake hapa duniani.
NB: Kwa MTANZANIA ukitaka umnyime kitu, basi mwambie asome, hapo umempoteza kabisa, kwani ni mvivu mno wa kusoma! Mwisho, imeandikwa, "" Mshike sana ELIMU kwani....,.......... !
Mengi sana utayapata toka hizo tablets za Wa -Sumerians, hasa ukitembelea maktaba za mambo kale pale Uingereza (London) na zile za Ujerumani, omba uzisome, nyingi zipo coded na ktk lugha kale, hivyo unahitaji utalaam wa aina yake ili uyaelewe. Hapa MTANZANIA tumepigwa na kitu kizito sana kichwani na ktk paji la uso!
Wataalam wa mambo ya kale na wanasayansi wamethibitisha kuwa jamii ya wasumeria waliishi na kushamiri miaka 5,000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Kuna ushahidi wa vifaa kale kutoka nchini Kenya viitwavyo Lokemwi 3 ambavyo umri wake ni zaidi ya miaka milioni 3.3 toka kuwepo kwake.
Huu ni ushahidi kuwa binadamu amekuwepo duniani zaidi ya miaka milioni 3.
Mkuu hadithi ya cloning ya anunaki kwa binadamu sio ya kweli, ni ya kufikirika zaidi kwa maana ya kuzalisha binadamu kutokana na mchanganyiko wa wanyama.
Kama ulimaanisha kuwa katika kilele Chao cha maarifa na teknolojia, Wasumeria walifikia kuwa na teknolojia ya cloning kama ilivyo sasa ni sawa, nakubaliana nawe.
Mkuu kuna ushahidi wa kuwepo matabaka kadhaa ya maendeleo ya maarifa na teknolojia ya binadamu duniani kwa kipindi cha zaidi ya miaka milioni 3 ya uwepo wake duniani.
Mkuu kilele cha maendeleo ya maarifa na teknolojia tuliyofikia katika karne hii ya 21, kamwe sio ya kwanza hasa ukizingatia kuwa maarifa na teknolojia hii iliyopo haina umri wa zaidi ya miaka 300.
Mkuu ushahidi wa maendeleo ya kale mathalan; Maendeleo ya Mesopotamia, Misri, Indus, Maya, Aztec na kadhalika, ni maendeleo yanayoonesha kutumia maarifa na teknolijia ya hali ya juu kuliko hii tuliyo nayo karne hii ya 21.
Mkuu chukulia, kwa mfano maafa ya asili au ya kibinadamu ya kuangamiza watu duniani yakatokea leo, unafikiri ni jamii ipi ina nafasi kubwa ya kupona/kunusurika na maafa/maangamizi hayo?
Mkuu uwezekano wa watu wanaoishi misituni kama wamasai, wahadzabe, wasentinele, wahajawara, wambuti, waonge, waayoreo, wapiraha, wahuli na kadhalika wana nafasi kubwa ya kuishi/kusurvive ukilinganisha na watu waliostarabika/walioendelea.
Sababu kubwa kuishi/kusurvive kwa jamii hizo tajwa ni kuzifahamu mbinu za kuishi kwa kanuni za mazingira asili.
Mkuu chukulia ndio mafaa yamewakumba watu wa mijini wote/walioendelea na maendeleo yao. Je pamoja na Mhadzabe kusurvive wataweza kuhifadhi, kuimaintan na kuendeleza teknolijia iliyopo kwa sasa? Ukweli ni kwamba jamii hizi tunazoziita duni hazitaweza!
Mkuu bila shaka kwa hali kama hii dunia itaanza upya! Itachukua tena zaidi ya miaka elfu 5 kufikia kiwango cha maendeleo ya maarifa na teknolijia kama hiki kilichopo karne hii.
Majengo, miundombinu, maarifa na teknolijia tuionayo sasa itakuwa historia ya kale.
Mkuu kuhusu jinsi binadamu alivyotokea, sio kitu cha ajabu sana kwa sababu binadamu ni matokeo ya vumbuzi na tafiti nyingi kwa kipindi kirefu huko anga za mbali zilizowekwa pamoja ili kufanya kazi katika utimilifu wake.
Mkuu lengo kuu la uundwaji wa binadamu ni kuwezesha utafiti na ufahamu zaidi wa Miungu/manufacturer kuhusu dunia hii na mazingira yake. Kama tunavyounda na kurusha vyombo kwenda kwenye orbit yetu mwezini au mars ili kuwezesha kufanya mawasiliano juu ya utafiti na ufahamu zaidi ya mazingira ya maeneo hayo.
Mkuu ukifungua ufahamu wako na ukafikiri bila ushawishi wa imani yoyote, utaelewa ninachokisema.