Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Binadamu: Kiumbe chenye chanzo kisichojulikana, yupoyupo tu hana mwanzo wala mwisho

Ndg Alien, ili upate kujua na kufahamu binadamu ametoka wapi na kusudio la uwepo wake, hauna budi kupitia maandiko mbali mbali. Maandiko haya yatahusisha vyanzo vyote vya imani zetu za dini mbali mbali ikiwepo na tafiti za kisayansi, za awali na za wakati huu.
Kwa upande wa dini zetu zote, chimbuko la imani hizi ni toka enzi za tawala za Wa - Sumerian. Hawa walitawala zama zile, waliandika maandiko mengi ambayo sasa ndiyo msingi wa imani za dini zote duniani na pia chanzo cha technologies zote tunazozitumia leo hii, na bado tuu mwanzo tu mwa maarifa ( technologies) waliokuwa nazo. Haya yote yaliachwa ktk maandiko ya vibao (tablets) nyingi, tangu za chanzo cha binadamu, utawala, dini, sciences, na maarifa mengi mengi sana! Ndiyo maana, hawa wenzetu Wazungu waling'ang'ania kufanya utafiti wa kuchimbua sehemu mbali mbali za kale kwa gharama kubwa sana! Hivi kweli huwa hamjiulizi tu, kwa nini hawa jamaa wali - hung'ang'ana sana katika tafiti kale?
Haya, kwa ufupi sana,
Chanzo cha binadamu ni matokea ya cloning toka kwa viumbe wa sayari ingine walipofika katika sayari ya "Dunia" wakiwa katika harati zao za kutafuta kitu cha kuponya anga la sayari yao isidhurike na mionzi ovu. Ndipo wakagundua kuwa sayari yetu, yaani DUNIA inayo hayo madini mengi sana.
Walitua na kuanza uchimbaji wa hayo madini kwa zana zao bora sana, huku wakitumia nguvu kazi toka miongoni mwa viumbe wenzao. Waliendekea hivyo hadi viumbe wenzao wakachoshwa na kazi hizo nzito za uchimbaji madini, ndipo wakubwa wao walipokaa (wakiwa ktk sayari hii hii ya dunia) na kuona kuwa kuna wanyama/hayawani, kwa mbali, wanao ufanano na wao. Ndipo walipoanza ulinganisho wa DNA zao na za hao. Walifanya majaribio hayo ya kimaabara mara nyingi tu, ndipo walipofikia uamuzi wa DNA manipulation, kuchanganya zao na za hao wanyama/ hayawani.
Matokeo yake ni kupata mbadala wa wafanyakazi waliotokana na zao la kia maabara. Lengo likiwa ni kuwapunguzia uzito wa kazi viumbe wenzao
Kumbe basi, utakuwa umepata chanzo halisi cha binadamu na lengo/ kusudio lake la uwepo wake hapa duniani.
NB: Kwa MTANZANIA ukitaka umnyime kitu, basi mwambie asome, hapo umempoteza kabisa, kwani ni mvivu mno wa kusoma! Mwisho, imeandikwa, "" Mshike sana ELIMU kwani....,.......... !
Mengi sana utayapata toka hizo tablets za Wa -Sumerians, hasa ukitembelea maktaba za mambo kale pale Uingereza (London) na zile za Ujerumani, omba uzisome, nyingi zipo coded na ktk lugha kale, hivyo unahitaji utalaam wa aina yake ili uyaelewe. Hapa MTANZANIA tumepigwa na kitu kizito sana kichwani na ktk paji la uso!

Mkuu nakubaliana nawe kuhusu ushahidi wa mabaki, mifupa, majengo na vifaa kale kama ushahidi wa uwepo mwanadamu kinyume na nadharia ya Evolution/mageuko!

Wataalam wa mambo ya kale na wanasayansi wamethibitisha kuwa jamii ya wasumeria waliishi na kushamiri miaka 5,000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Kuna ushahidi wa vifaa kale kutoka nchini Kenya viitwavyo Lokemwi 3 ambavyo umri wake ni zaidi ya miaka milioni 3.3 toka kuwepo kwake.

Huu ni ushahidi kuwa binadamu amekuwepo duniani zaidi ya miaka milioni 3.

Mkuu hadithi ya cloning ya anunaki kwa binadamu sio ya kweli, ni ya kufikirika zaidi kwa maana ya kuzalisha binadamu kutokana na mchanganyiko wa wanyama.

Kama ulimaanisha kuwa katika kilele Chao cha maarifa na teknolojia, Wasumeria walifikia kuwa na teknolojia ya cloning kama ilivyo sasa ni sawa, nakubaliana nawe.

Mkuu kuna ushahidi wa kuwepo matabaka kadhaa ya maendeleo ya maarifa na teknolojia ya binadamu duniani kwa kipindi cha zaidi ya miaka milioni 3 ya uwepo wake duniani.

Mkuu kilele cha maendeleo ya maarifa na teknolojia tuliyofikia katika karne hii ya 21, kamwe sio ya kwanza hasa ukizingatia kuwa maarifa na teknolojia hii iliyopo haina umri wa zaidi ya miaka 300.

Mkuu ushahidi wa maendeleo ya kale mathalan; Maendeleo ya Mesopotamia, Misri, Indus, Maya, Aztec na kadhalika, ni maendeleo yanayoonesha kutumia maarifa na teknolijia ya hali ya juu kuliko hii tuliyo nayo karne hii ya 21.

Mkuu chukulia, kwa mfano maafa ya asili au ya kibinadamu ya kuangamiza watu duniani yakatokea leo, unafikiri ni jamii ipi ina nafasi kubwa ya kupona/kunusurika na maafa/maangamizi hayo?

Mkuu uwezekano wa watu wanaoishi misituni kama wamasai, wahadzabe, wasentinele, wahajawara, wambuti, waonge, waayoreo, wapiraha, wahuli na kadhalika wana nafasi kubwa ya kuishi/kusurvive ukilinganisha na watu waliostarabika/walioendelea.

Sababu kubwa kuishi/kusurvive kwa jamii hizo tajwa ni kuzifahamu mbinu za kuishi kwa kanuni za mazingira asili.

Mkuu chukulia ndio mafaa yamewakumba watu wa mijini wote/walioendelea na maendeleo yao. Je pamoja na Mhadzabe kusurvive wataweza kuhifadhi, kuimaintan na kuendeleza teknolijia iliyopo kwa sasa? Ukweli ni kwamba jamii hizi tunazoziita duni hazitaweza!

Mkuu bila shaka kwa hali kama hii dunia itaanza upya! Itachukua tena zaidi ya miaka elfu 5 kufikia kiwango cha maendeleo ya maarifa na teknolijia kama hiki kilichopo karne hii.

Majengo, miundombinu, maarifa na teknolijia tuionayo sasa itakuwa historia ya kale.

Mkuu kuhusu jinsi binadamu alivyotokea, sio kitu cha ajabu sana kwa sababu binadamu ni matokeo ya vumbuzi na tafiti nyingi kwa kipindi kirefu huko anga za mbali zilizowekwa pamoja ili kufanya kazi katika utimilifu wake.

Mkuu lengo kuu la uundwaji wa binadamu ni kuwezesha utafiti na ufahamu zaidi wa Miungu/manufacturer kuhusu dunia hii na mazingira yake. Kama tunavyounda na kurusha vyombo kwenda kwenye orbit yetu mwezini au mars ili kuwezesha kufanya mawasiliano juu ya utafiti na ufahamu zaidi ya mazingira ya maeneo hayo.

Mkuu ukifungua ufahamu wako na ukafikiri bila ushawishi wa imani yoyote, utaelewa ninachokisema.
 
Yawezekana vitabu vya dini na dini, viliuwa maarifa, ya binadamu kufikilia, chanzo chake, make, viko kwa lazima bila uhuru, tunaaminishwa yesu alipata kuwepo, ni lazima uwamini hivyo na muhamad alileta dini na maajabu yake, lazima waamini hivyo. Ukishindwa kuamini hivyo wewe utakua, mzushi au kafiri mathalan, utapata adhabu kali sana na kifo. Na robo tatu ya binadamu wote duniani, tunamafundisho ya hizi dini na vitabu.
 
Nikiangalia maumbile ya binadamu na jinsi anavyoishi kwenye hii dunia, najiuliza imekuwaje amekuwa alivyo na jinsi hakuna kiumbe kingine kinachofanana na Binadamu kiutendaji wake.

Ukiangalia Kwa mfano, hivi kweli hakuna mbunifu wa binadamu ambaye ndiye aliyebuni uke ukae kwa mfumo ambao unaweza kuingiliwa na uume.

Hakuna mbunifu aliyebuni mji wa uzazi Kwa mwanamke na kuweka mbegu Kwa mwanaume? Kisha ukifanyika uingilianaji mimba inatungwa.

Baada ya binadamu kuzaliwa ukiangalia kwa makini unaanza kujiuliza, hakuna kweli mbunifu aliyejua kuwa binadamu Ili aishi atahitaji kula hivyo akamuumba akiwa na mdomo?

Mfumo wa kula mpaka kupata haja hakuna mbunifu wake kweli? Yaani mfumo wa mmeng'enyo wa chakula upo tu Wala haukukusudiwa kuwepo ila upo tu. Kweli?

Fikiria macho, masikio, ngozi, na viungo vingine vya binadamu vinavyofanya kazi. Waza kuwa hapa unaposoma hii mada macho, masikio yako yaache kufanya kazi itakuwaje?

Bado nawaza imekuwaje binadamu hana Mwanzo Wala mwisho??
Tukisema mbunifu ni Mungu tunakosea?
 
Kwa nini umefikiria kwa binadamu tu na siyo viumbe wengine.kama inzi.

Mungu yupo wazee tubuni na kuiamini injili. Viumbe vyote hai vimeumbwa na maajabu yake
 
Watu tuna tabia ya kusema....."Kichwa changu,.Moyo wangu,...Mguu wangu,..Akili yangu, figo yangu na kadhalika......Swali la Kujiuliza Je,Mtu hasa ni Nani,? Mtu ambae hapo anaongea kuonyesha kwamba yeye anamiliki hivyo viungo vilivyopo kwenye mwili wake.

Sijui naeleweka,? Fikiria mtu akitumia kauli hii [emoji3591] "Mwili wangu unauma" .....Hapa ndiyo swali langu linapoibuka kwamba je Mtu ni nini? Mpaka ajione kama yeye na mwili wake ni two separate entities.?

Naamini still nipo ndani ya mada husika Kwasababu mada inamuhusu kiumbe Mtu,..wajuzi tujaribu kujadiliana juu ya hili maana binafsi limenifikirisha na huenda majibu yake ni mepesi sana.

Ahsanteni.

Daar mkuu umenifanya nifikili upya kuhusu binadamu🫡🫡
 
Absolutely yes.

Binafsi naamini kwamba Binadamu hana mwanzo wala mwisho, Yupo tu.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi hata
"chanzo cha vyanzo" lazima kiwe na chanzo chake,

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe. Pasiwepo kitu chochote kitakacho kwenda kinyume na ulazima huu kwa kujitokeza chenyewe tu pasipo mwanzo,

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu na kuzua maswali mengi ya kimewezaje kuwepo bila chanzo.
Akili salama inaamini kwamba kuna chanzo ambacho hakina chanzo.
 
Wakuu mi nadhan sisi binadamu tumewekewa mpaka wa kufikiri.kuna mahali ukifika wakati unawaza mwanzo wa vitu tunavyoviona hapa duniani tukiwemo sisi binadamu,unaanza kuona maluweluwe.
Lakini lazima kuwe na chanzo. Chukulia mfano moyo unavyopump na kusukuma damu na hauendeshwi na umeme wala nguvu yoyote,lakini yupo aliyetengeneza huo mfumo na wala hakutumia umeme tunaoujua leo hii.
Inawezekana alitumia nishati nyingne kabisa ambayo sisi kwa ufinyu wa maarifa hatuwezi kuijua tunaona maajabu.
 
Hoja yako INAFIKIRISHA SANA!!!
 
Hata hayo ambayo yapo kinyume na mawazo yangu ni mawazo yao pia wala sio fact.

Inakuwaje nothing ilete something,haiwezekani.
Unakubali kwamba Nothing haiwezi kuleta Something,

Mungu huyo aliwezaje kuleta something (Dunia) from nothing?

Mungu huyo kabla ya kuumba Dunia alikuwa wapi?

Alikuwa akifanya nini?

Na huko alikokuwa kulitoka wapi?

Eleza, fafanua na thibitisha.

Lazima kuwepo na chanzo tu.
Huu ulazima unatoka wapi?

Kama chanzo lazima kiwepo kwa kila kitu, Hata chanzo chenyewe kitahitaji chanzo chake, Na chanzo chake kitahitaji chanzo chake.

Hivyo hivyo kwa vyanzo endless.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe tu from nothing.

Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima awepo chanzo.

Rejea Point yako kwamba, Nothing haiwezi kuleta something.

Hata huyo Mungu wako hawezi kuleta something(Dunia) from nothing.

Mungu huyo chanzo chake ni kipi?
Eidha tukubaliane kwamba akili zetu haziwezi kung'amua zaidi ya hapo😀😀
Kama akili zetu haziwezi kung'amua zaidi ya hapo, Ulifahamu vipi na unathibitishaje Mungu aliumba dunia from nothing?

Au ni mawazo na imani yako ya kufikirika tu?
 
Hata hayo ambayo yapo kinyume na mawazo yangu ni mawazo yao pia wala sio fact.

Inakuwaje nothing ilete something,haiwezekani.

Lazima kuwepo na chanzo tu.

Eidha tukubaliane kwamba akili zetu haziwezi kung'amua zaidi ya hapo😀😀
Mkuu kwa uhakika nakubaliana nawe kwenye fact kuwa nothing exist from nothing.

Pili, kwa uhakika ni kwamba kuna chanzo cha binadamu, na sio kimoja! Vianzo hivyo vipo katika ushirika/kampuni kadhaa kama kwa mfano yalivyo mashirika/makupuni ya utengenezaji wa magari hapa duniani.

Tatu, tunaonekana tumefika ukomo wa kufikiri kuhusu ufahamu wa chanzo cha binadamu/viumbe kwa sababu ya:

(I) Kufikiri tukiwa na mitazamo ya nadharia ya kiimani au evolution.

(ii) Kufikiri kuwa tumeumbwa kutokea kwenye sayari hii yetu ya earth.

(iii) Kutofahamu dhumuni/lengo la binadamu/viumbe hai kuumbwa maalum kuishi kwenye sayari hii ya earth.

(iii) Kutofahamu aina ya mali ghafi iliyotumika kuumba binadamu/viumbe hai na inakopatikana.

(iv) Kutotofautisha chanzo cha binadamu na vyanzo vingine vya anga, nyota, hewa, maji, vimiminika mbali mbali, sayari na kadhalika

(v) Kuwepo kwa utaratibu wa binadamu/viumbe hai kujizalisha kwenye hii sayari ya earth kwa ufanano na wazazi wazalishaji.

(vi) Kuwepo kwa utaratibu ndani ya mwili wa binadamu/viumbe hai kujitibu, kujiweka sawa, kujichipua na hata kujiondoa/kufa.

(vii) Kufikiri kuwa uumbaji ulikoma baada binadamu/ viumbe hai kuumbwa, hii ni kwa sababu hakuna ushahidi wa uumbaji mpya au maboresho ya uumbaji uliopo.

(viii) Kufikiri kuwa hakuna matabaka ya vyanzo vya vyanzo kwa mfuatano huo baada chanzo cha binadamu/viumbe hai.

Mkuu kwa uhakika ni kwamba chanzo cha binadamu/viumbe hai vipo, japo nina uhakika sio kwa muonekano/mfanano wa binadamu/viumbe. Ni vivyo hivyo hivi vyanzo navyo vina vyanzo vyao kwa mtiririko huo.
 
Mkuu kwa uhakika nakubaliana nawe kwenye fact kwa nothing exist from nothing.

Pili, kwa uhakika ni kwamba kuna chanzo cha binadamu,
Hicho chanzo cha binadamu kilitokea tu from Nothing?

Kama nothing exist from nothing, Hicho chanzo cha binadamu kilitokea wapi?

Na huko kilipotokea, kulitoka wapi?
na sio kimoja! Vianzo hivyo vipo katika ushirika/kampuni kadhaa kama kwa mfano yalivyo mashirika/makupuni ya utengenezaji wa magari hapa duniani.

Tatu, tunaonekana tumefika ukomo wa kufikiri kuhusu ufahamu wa chanzo cha binadamu/viumbe hapana kwa sababu ya:

(I) Kufikiri tukiwa na mitazamo ya nadharia ya kiimani au evolution.

(ii) Kufikiri kuwa tumeumbwa kutokea kwenye sayari hii yetu ya earth.

(iii) Kutofahamu dhumuni/lengo la binadamu/viumbe hai kuumbwa maalum kuishi kwenye sayari hii ya earth.

(iii) Kutofahamu aina ya mali ghafi iliyotumika kuumba binadamu/viumbe hai na inakopatikana.

(iv) Kutotofautisha chanzo cha binadamu na vyanzo vingine vya anga, nyota, hewa, maji, vimiminika mbali mbali, sayari na kadhalika

(v) Kuwepo kwa utaratibu wa binadamu/viumbe hai kujizalisha kwenye hii sayari ya earth kwa ufanano na wazazi wazalishaji.

(vi) Kuwepo kwa utaratibu ndani ya mwili wa binadamu/viumbe hai kujitibu, kujiweka sawa, kujichipua na hata kujiondoa/kufa.

(vii) Kufikiri kuwa uumbaji ulikoma baada binadamu/ viumbe hai kuumbwa, hii ni sababu hakuna ushahidi wa uumbaji mpya au maboresho ya uumbaji uliopo.

(viii) Kufikiri kuwa hakuna matabaka ya vyanzo vya vyanzo kwa mfuatano huo baada chanzo cha binadamu/viumbe hai.

Mkuu kwa uhakika ni kwamba chanzo cha binadamu/viumbe hai vipo, japo na uhakika sio kwa muonekano/mfanano wa binadamu/viumbe. Ni vivyo hivyo hivi vyanzo navyo vina vyanzo vyao kwa mtiririko huo.
 
Hicho chanzo cha binadamu kilitokea tu from Nothing?
chanzo cha binadamu hakikutokea bali kilikuwepo.

Unaposema kilitokea kilitokea kutoka wapi wapi sasa ?

Hakuna kilikotoka bali kilikuwepo hapo kilipo.
Mungu huyo aliwezaje kuleta something (Dunia) from nothing?
Hili swali hautakiwi kuniuliza mimi kwa sababu mimi itikadi yangu ni kwamba "nothing haiwezi kutengeneza something"

Kwa hiyo hakuna pahala niliposema kwamba Mungu ametengeneza something from nothing.

Ninachofahami ni kwamba Mungu ameiumba Dunia,kaiumba kwa kutumia nini mimi sijui,bali ninachojua ni kwamba duniani kuna nini na nini..
Kama chanzo lazima kiwepo kwa kila kitu, Hata chanzo chenyewe kitahitaji chanzo chake, Na chanzo chake kitahitaji chanzo chake.
Kwa akili ya kawaida tikirejesha nyuma nadharia ya watu tunaamini kwamba lazima alikuepo binadamu wa kwanza,haijalishi zimepita zama ngapi ila ulazima wa kwamba alikuepo binadamu wa kwanza hauepukiki.

Sasa pia kwa akili ya kawaida tu tukirejesha nyuma kwa kutumia akili zetu hili suala la chanzo kuwa na chanzo chake huu mlolongo wa chanzo kuwa na chanzo lazima tutarudi weeeee tutapata kitu ambacho hicho ndio mzizi wa mambo yooooteeee.

Yani ukirudi nyuma akili itakuambia tu kwamba kuna hicho chanzo ambacho kutokea hapo sasa ndio mambo yote yalianzia.

Na kama akili yako haikubali hivyo maana yake itakubali suala la kwamba kila chanzo kinachanzo na mlolongo kama taenda hivyo maana yake tutapata kuona kwamba mlolongo huo hauna mwisho utaenda tuuu hauna ile starting point.

So kwa maana hiyo kama tutakubaliana kwamba mlolongo huo wa kwamba chanzo lazima kiwe na chanzo maana yake tunakubaliana pia kwamba hivyo havistahili kuitwa vyanzo kwa sababu sio vya kwanza na wala havistahili kuitwa vya mwisho kwa sababu sio vya mwisho.

Hiyo maana yake ni kwamba hiyo nguvu ambayo tuna assume lazima iwe na chanzo tunaona kabisa mlolongo waks hauishi.

UJirejea kwenye Dini Mungu ana sifa hiyo ya kwamba hana mwanzo kwa maana yeye alikuepo daima yupo na ataendelea kuwepo daima na hatokua na mwisho.

Kwa sababu kama kitu hakina mwanzo hakiwezi kuwa na mwisho.

Hivyo kwa maana hiyo Dhana ya uwepo wa mungu na sifa zake katika Dini ni fhana sahihi na huo ni ushahidi wa wazi kwamba Mungu yupo.
 
Wapi nimesema kwamba Mungu aliumba Dunia from nothing ?
Kabla ya Mungu kuumba Dunia alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Huko alikokuwa kuliumbwa na nani?
NDio kwa sababu Mungu sio nothing Mungu ni something au the source of all the things.
Mungu Something, Aliumbaje Dunia from Nothing?

Au dunia ilikuwa something?

Kama dunia ilikuwa something, Mungu huyo ataumbaje Dunia something which already exist as something?
 
chanzo cha binadamu hakikutokea bali kilikuwepo.
Kilikuwepo from nothing?
Unaposema kilitokea kilitokea kutoka wapi wapi sasa ?
Ndio maana nakwambia hivi Dunia haina chanzo.

Dunia Haina mwanzo wala mwisho.

Unapoweka ULAZIMA wa kwamba Dunia ina chanzo, ulazima huu uta takiwa kufuatwa na kila kitu kilichopo.

Pasiwepo kitu chochote kile kilicho jitokeza chenyewe pasipo chanzo.

Hivyo Hakuna ulazima wa kwamba Dunia iliumbwa.

Kama ulazima huo upo, Hata huyo Mungu lazima awe na chanzo chake.

Na chanzo cha Mungu kiwe na chanzo chake hivyo hivyo kwa vyanzo endless.
Hakuna kilikotoka bali kilikuwepo hapo kilipo.
Hata Dunia ilikuwepo kama ilivyo.

Dunia haijaumbwa na yeyote yule.
Hili swali hautakiwi kuniuliza mimi kwa sababu mimi itikadi yangu ni kwamba "nothing haiwezi kutengeneza something"
Hata huyo Mungu HAWEZI kutengeneza Dunia from nothing.
Kwa hiyo hakuna pahala niliposema kwamba Mungu ametengeneza something from nothing.

Ninachofahami ni kwamba Mungu ameiumba Dunia,kaiumba kwa kutumia nini mimi sijui,bali ninachojua ni kwamba duniani kuna nini na nini..
Unathibitishaje Mungu aliumba dunia na si mawazo yako ya kufikirika tu?

Thibitisha kwamba Mungu aliumba dunia.
Kwa akili ya kawaida tikirejesha nyuma nadharia ya watu tunaamini kwamba lazima alikuepo binadamu wa kwanza,haijalishi zimepita zama ngapi ila ulazima wa kwamba alikuepo binadamu wa kwanza hauepukiki.
Binadamu huyo kabla ya kuwa "Binadamu wa kwanza" alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Je binadamu huyo wa kwanza alikuwa mwafrika mweusi, mzungu mweupe, mwarabu, Mfilipino, muhindi au alikuwa binadamu wa namn gani?

Kama binadamu wa kwanza alikuwepo mbona tuna DNA tofauti na rangi tofauti?

Huyo binadamu wa kwanza alikuwa wa rangi gani?
Sasa pia kwa akili ya kawaida tu tukirejesha nyuma kwa kutumia akili zetu hili suala la chanzo kuwa na chanzo chake huu mlolongo wa chanzo kuwa na chanzo lazima tutarudi weeeee tutapata kitu ambacho hicho ndio mzizi wa mambo yooooteeee.
Je hicho chanzo mzizi wa mambo yote kiliwezaje kutokea tu from nothing?

Huko kilipotokea kulitoka wapi?
Yani ukirudi nyuma akili itakuambia tu kwamba kuna hicho chanzo ambacho kutokea hapo sasa ndio mambo yote yalianzia.

Na kama akili yako haikubali hivyo maana yake itakubali suala la kwamba kila chanzo kinachanzo na mlolongo kama taenda hivyo maana yake tutapata kuona kwamba mlolongo huo hauna mwisho utaenda tuuu hauna ile starting point.
Mimi siamini kwamba Dunia ina chanzo.

Dunia Haina mwanzo wala mwisho.

Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
So kwa maana hiyo kama tutakubaliana kwamba mlolongo huo wa kwamba chanzo lazima kiwe na chanzo maana yake tunakubaliana pia kwamba hivyo havistahili kuitwa vyanzo kwa sababu sio vya kwanza na wala havistahili kuitwa vya mwisho kwa sababu sio vya mwisho.

Hiyo maana yake ni kwamba hiyo nguvu ambayo tuna assume lazima iwe na chanzo tunaona kabisa mlolongo waks hauishi.

UJirejea kwenye Dini Mungu ana sifa hiyo ya kwamba hana mwanzo kwa maana yeye alikuepo daima yupo na ataendelea kuwepo daima na hatokua na mwisho.
Hata Dunia haina mwanzo,

Hakuna wakati ambapo Dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Kwa sababu kama kitu hakina mwanzo hakiwezi kuwa na mwisho.
Hata Dunia ilikuwepo, haina mwanzo wala mwisho.
Hivyo kwa maana hiyo Dhana ya uwepo wa mungu na sifa zake katika Dini ni fhana sahihi na huo ni ushahidi wa wazi kwamba Mungu yupo.
Hapa hujathibitisha Mungu yupo bali Mungu huyo anabaki mawazo yako tu na dhana ya kufikirika Imagination just an illusion.

Mungu huyo ni Fictional character invented by religion.

Hakuna ulazima wa kwamba Dunia iliumbwa.
 
Kilikuwepo from nothing?
nothing haiwezi kuunda something.
Ndio maana nakwambia hivi Dunia haina chanzo.
kwa mantiki ya kwamba kila kilichotumika kuumba Dunia kipo tangu na tangu ni kweli dunia haina chanzo.

Nadharia zetu za kidini zinatuonesha kwamba Dunia iliumbwa.

So huko kuumbwa maana zinatumika malighafi ambazo zipo tangu na tangu ili kutengeneza kitu cha muundo wa tofauti kinachoitwa Dunia.

Na hiko kutendo cha kutengenezwa muundo wa tofauti unaoitwa dunia ndio tunaweza kuita chanzo cha Dunia.
Unapoweka ULAZIMA wa kwamba Dunia ina chanzo, ulazima huu uta takiwa kufuatwa na kila kitu kilichopo.
Chanzo cha Dunia ni kule kuumbwa kwake kuanza kuwa Dunia.
ulazima huu uta takiwa kufuatwa na kila kitu kilichopo.
Hakuna ulazima kwamba ati kila kitu lazima kifuate ulazima wa Dunia kuwa na chanzo ?

Sio kweli kwamba kila kitu katika ulimwengu huu kinafuata kila kitu cha Dunia.

Kama ni lazima kila kitu kifuate utaratibu wa dunia unaweza kutuelezea ulazima huo umeupata wapi ?

Mifano ni mingi kwamba hakuna ulazima wa mambo mengine kufuata utaratibu wa Dunia.

Mfano tu

UKITOKA NJE YA DUNIA UNAELEA,ILA UKIWA KWENYE ANGA LA DUNIA HAUELEI.

utaona kwamba mazingira ama mambo mengi hayalazimiki kufuata mfumo wa Dunia ulivyo.
Hiyo ni kuonesha kwamba hakuna Dunia inaweza kubehave tofauti na vitu vingine
Binadamu huyo kabla ya kuwa "Binadamu wa kwanza" alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kulitoka wapi?

Je binadamu huyo wa kwanza alikuwa mwafrika mweusi, mzungu mweupe, mwarabu, Mfilipino, muhindi au alikuwa binadamu wa namn gani?

Kama binadamu wa kwanza alikuwepo mbona tuna DNA tofauti na rangi tofauti?

Huyo binadamu wa kwanza alikuwa wa rangi gani?
HAya maswali yako yote hayawezi kukanusha kwamba lazima alikuwepo binadamu wa kwanza ambae alifungua Dimba.

Unaweza kuthibitisha ni namna gani maswali yako yanakanusha uwepo wa kuwepo kwa binadamu wa kwanza ?

Kwa sababu ukiniuliza marekani papoje,mitaa alafu nikawa sipajui hiyo bado haikanushi kwamba marekani ipo.
Je hicho chanzo mzizi wa mambo yote kiliwezaje kutokea tu from nothing?
WEwe ndio unasema kilitokea,ukisema kikitokea maana yake kuna ambako kimetoka.

MImi nakuambia chanzo cha mzizi wa mambo hakikutokea popote bali kipo daima.

KWa sababu kama unaliza wapi kimetoka je huko kilikotoka si bado kilikuepo huko huko ndio kikaja hapo ambapo wewe unadhani kipo.
Moja nakujibu kwamba hakikutoka sehemu bali kipo milele.

Lakini pili hata kama unasema kimetoka wapi,je huko kilikotoka si bado kilikuepo,sasa kwa nini kisiwe na haki ya kuitwa chanzo ?

Huko kilipotokea kulitoka wapi?
Kitu kama kimetokea kutoka sehemu ambayo hatuijui hiyo maana yake kitu hicho kilikuepo bado lakini kikikuwa hakijatokea.

Hivyo unapohoji kuhusu chanzo cha mambo yote kimetoka wapi kwani huko ambakaao kilikuwa si bado kilikuwepo huko kabla hakijaja ?

Sasa huoni hapo bado unathibitisha kilikuwepo lakini kilikuwa hakijaja bado ?
Mimi siamini kwamba Dunia ina chanzo.
Yaani wewe UNAAMINI KWAMBA DUNIA IPO,UNAAMINI KWAMBA DUNIA HAINA CHANZO.

unaposema unaamini maana yake hiyo nayo ni imani.

Kwa maana hiyo na wewe umeangukia kwenye imani ambayo kuna maswali mengi tu haiwezi kujibu.
Hapa hujathibitisha Mungu yupo bali Mungu huyo anabaki mawazo yako tu na dhana ya kufikirika Imagination just an illusion.
Kama unakubali kwamba dunia haina mwanzo wala mwisho maana yake na wale wanaosema Mungu ameumba Dunia wanasema Mungu hana mwanzo wala mwisho.

Kwa maana hiyo kama unakubali dunia kwamba haina mwanzo wala wmsiho BILA SHAKA UNAWAKUBALIA WANAOSEMA MUNGU HANA MWANZO WALA MWISHO.

Lengo sio wewe uamini bali lengo ni kukuomnesha wewe kwamba HOJA ZA WENZIO ZINA MAKE SENSE PIA.
 
Back
Top Bottom