Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwenye ardhi ya Dunia.Duniani sehemu gani??
Nchi na ramani ni mipaka ya kibinadamu tu iliyowekwa na binadamu.Kwa ramani ya sasa ya dunia huyo binadamu alikuwa yupo nchi gani??
Binadamu alikuwepo sehemu zote kwenye ardhi ya Dunia.
Na alikuwa peke yake au alikuwa na nini au na nani!!??
Alikuwepo na viumbe wengine na wanyama pia.
Mpaka sasa hakuna uthibitisho wa aliyebuni maumbile haya zaidi ya imani tu.Ilikuwaje kukawa na utofauti kati ya maumbile ya Kike na yale ya Kiume. Hakuna aliyeyabuni maumbile hayo!!??
Na hakuna ulazima wa kwamba kuna mbunifu.