Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

Sijakuelewa
 
Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo.

Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
Ndivyo alivyokuambia mungu wako muafrika marehemu Wanyonyi ??
 
Kama hujuwi maana ya neno Uislam, unaongelea usichokijuwa.

Hakuna Kiarabu chochote ulichoandika. Wewe hata hilo neno "Madrassa" hujuwi maana yake.
πŸ€” haya kwanza wanawake hamna dini ndo maana hamtakiwi kuongoza ibada yyte kwahiyo kaa pale.
 
Kuuliza sio ujinga kijana... na sijakuelewa acha kukaza fuvu.
Sasa unaletaje hoja nzito wakati wewe mwenyewe uko empty kichwani? Hii inadhihirisha washirikina jinsi wasivyoweza kutumia akili.

1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?

Usiende mbele kabla hatujamalizana hapa
 
Naam, unachotakiwa kukifanya ni kuja kwa utuvu na adabu na kuanza kwa kuuliza kwa heshima siyo kuja na mihemko kwa vitu usivyovielewa.
Nielewe nini .... mpe nafasi mzungu muue ndugu yako we ndo unachotaka nielewe. Afu watu wajinga kweli. Mko bize kutetea dini 😁😁😁 kuna Mungu ila hakuna dini tuelewane
 
πŸ€” haya kwanza wanawake hamna dini ndo maana hamtakiwi kuongoza ibada yyte kwahiyo kaa pale.
Si unaona ulivyo finyu.

Labda mama'ko aliyekuzaa ndiye hana dini.

Unamfahamu mama'ko? Au ni walewale tu?
 
Mada za dini zimekuwa nyingi na hazina mvuto. Wachangiaji wao nao ni watu wa kawaida kabisa kimaarifa. Pamoja na kashifa hizi na kejeli ndogondogo hizi naomba nichangie jambo.
kulingana na mtaalamu mmoja wa sayansi jamii aliyewahi kusoma dini kama tamaduni ya binadam aliwahi kusema kwamba mwanadam Ana mlolongo wa dini (steji takribani 5) ataanza na animism yani yule ambae hajui chochote kuhusu mungu. Atakuja fetishism, Yan yule anaeamini katika vitu asili na mizimu Yan anaabudu katika miti, majabali makubwa nk. Atakuja steji ya tatu ya polytheism, Yan watakuwa na imani juu ya uwepo wa MI-ungu (zaidi ya 1) steji hii ni Ile ya dini za wahindi kama hindu wenye miungu mi3, na pia ilipitiwa na dini za ustaarabu wa misri. Steji ya 4 ni monotheism yani mungu mmoja, hii steji ndo zilizaliwa dini ya uislam na ukristo. Na pia inafikiriwa steji ya mwisho ya atheism, hawa wasio amini uwezo wa mungu na uwepo wake. Hapa wengi ni watu wanao amini sayansi
IKUMBUKWE msomi huyu pia aliwahi kusema kwamba kila steji ambayo mwanadam atapitia kwenda steji nyingine ataacha mabaki/watu watakaokomaa na steji Ile aliytoka.
Cha kuzingatia: Kwa wanaojua steji za mabadiliko ya mwanadam, viashiria vya mwanadam kuanza kuamini /kuwa na dini vilikutwa katika masalia ya yule mwanadam wa 3/4 "homo habilis /sapiens"
 
Sasa unaletaje hoja nzito wakati wewe mwenyewe uko empty kichwani? Hii inadhihirisha washirikina jinsi wasivyoweza kutumia akili.

1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?

Usiende mbele kabla hatujamalizana hapa
Ufinyu wa akili zako na maarifa umeishia hapo. Andiko linasema watu wangu wanaangamia kwa ukosefu wa maarifa ila sio kwa ukosefu wa elimu.
.... ukijua mwanzilishi ndo utaacha kuabudu au , ndo utahama dini.

Sio kukupa data zote kozi bado unatawaliwa kifkra. Maana nitakupa mfano mdogo sana
..... Hussein MJUKUU wa mtume unamfahamu?
 
Hii ni Kwa mujibu wa tafiti yake? Au Kuna maandiko amenukuu kutoka vitabu vya watu wa kale? Naanzaje kumwani kama hana nukuu kutokana na vitabu vya kale? Kwasababu kuelezea ya kale na yeye hakuwepo katika hizo zama bila nukuu ni uganga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…