Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

1. Thibitisha hoja yako
2. Huyo mwanzilishi ni nani?
3. Ibada ni nini?

Mzee kama haujui sema sijui watu wapate faida kuwa mjinga mmoja amekurupuka kutetea ujinga wake.
 
😁😁😁 Mwanasayansi.
Tatizo ni moja dini nini?
... Watu waliabudu kabla ya dini hizi kuwepo sasa wapi tunakwama. Nieleweke
Uisalamu ni TAMADUNI za kiarabu na kama ni dini ni dini yao sio huku Afrika ila ukisema Quran au bible hausiani na mambo yaliyko kwa dini (Wakristo wanawake wanatakiwa wavae ushungi huku wakristo wanavaa au ? Maarifa........
 
 
Ukristo ulifika Africa ya kaskazini kwa mara ya kwanza kati ya karne ya 1 na ya 4 na ulienea mpaka mashariki mwa africa (Ethiopia)

Uislamu pia kwa mara ya kwanza ulikuja karne ya 17 ukianzia huko huko kasikazini mwa Africa.

Dini zote mbili zililetwa

Kabla ya hapo tulikuwa na dini ya kwetu ya asili ambayo tuliamini chini ya Mungu mmoja SUPREME GOD watu waliishi kwa upendo. Hakukuwa na mtu anaitwa KAFIRI wala MPAGANI. Hata baada ya uislamu na ukristo kuingia Dini yetu ya asili ilifundisha kuheshimu watu wa dini nyingine.

Wasioamini katika Dini ya kikristo na uislamu mfano wake ni sisi tunaoitwa WAPAGANI. Inachekesha sana yaani kuamini katika dini yako ya asili ni kosa kwa dini nyingine za kigeni.
 
Hii ni Kwa mujibu wa tafiti yake? Au Kuna maandiko amenukuu kutoka vitabu vya watu wa kale? Naanzaje kumwani kama hana nukuu kutokana na vitabu vya kale? Kwasababu kuelezea ya kale na yeye hakuwepo katika hizo zama bila nukuu ni uganga tu.
Uko na akili ila bado uanaamini dini kuliko Mungu
 
πŸ™πŸ™πŸ™ Vizuri sana. Kutawaliwa kifikra nakutojitambua . Upendo ulikuwa wa kutosha watu hatukuwa na mambo ya kubaguana hila leo ubaguzi . UISALAMU NA UKRISTO BIASHARA ZA WATU KAMA VYAMA VYA SIASA
 
[emoji120][emoji120][emoji120] Vizuri sana. Kutawaliwa kifikra nakutojitambua . Upendo ulikuwa wa kutosha watu hatukuwa na mambo ya kubaguana hila leo ubaguzi . UISALAMU NA UKRISTO BIASHARA ZA WATU KAMA VYAMA VYA SIASA
Kabisa tuliishi kwa umoja na Dini yetu ilihubiri zaidi Upendo, na mpaka leo ukienda madagascar 53% ya watu wake waaamini katika dini origino ya kiafrica.
 
Upo vizuri sana madam.

Nami ningependa kujua dini ya kiislamu ulianza lini ?
Huyo bendera fuata upepo bhana. Mtu kazaliwa kwenye uisalam au ukristo na kukariri kila kitu 😁 uliza hata maswali hao viongozi wenu wadini.

πŸ‘€ Waislamu (Tunamswalia mtume Mohammad S.a.w) kila siku na kumuombea sisi je kama sio kupigwa kifkra
 
naomba kuuliza
mara ya kwanza kabisa uislamu ulifikaje Africa
Kwanza naona tuelewe ni nini maana ya neno "Uislam". Tukielewa maana yake basi naamini hata swali "ni lini ulifika Afrika" halitakuwepo.

Unafahamu maana ya neno "Uislam"?
 
Kabisa tuliishi kwa umoja na Dini yetu ilihubiri zaidi Upendo, na mpaka leo ukienda madagascar 53% ya watu wake waaamini katika dini origino ya kiafrica.
Hakuna kitu kibaya unachopokea kwa SHANGWE kama kitu cha kuletewa bila kujaji kiko na faida au hasara? Nataka niulize faida ya njia au mwongozo wa kiisalamu ni nini?
 
very weak reasoning πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡

waliotangulia means ni kaumu (ummah) jamii za enzi yaani vizazi vilivyotangulia ..Jaalie leo ni mwaka 2023 ni 100% kwa watu walizaliwa kabla ya 1000's hawapo wote means ni kizazi kilichopita ni nadra sanaa kukuta hata binadamu wa sasa ana umri wa miaka 200 tu .


Nina maana kuna zama zinapita kila kizazi kinahang katika miaka fulani then kinapotea wanakuja wengine...Tambuq hizo ni zama na palikuwa na mitume kila zama kutokana na life expectancy yao nao wakafa na kizazi kikapotea basi nikaja kingine ndo ivyo mpaka hiki cha mwisho chini Ya Muhamad kama mtume kwa waislamu tunavyoamin
 
Kwanza naona tuelewe ni nini maana ya neno "Uislam". Tukielewa maana yake basi naamini hata swali "ni lini ulifika Afrika" halitakuwepo.

Unafahamu maana ya neno "Uislam"?
Lete maana basi... watu wapate kitu. mtu uko na jaziba uislamu unafundisha hivo. Ukafiri wameanzisha waislamu ASTAGRAFIRUALLHA
 
Upo vizuri sana madam.

Nami ningependa kujua dini ya kiislamu ilianza lini ?
Ahsante.

Kwanza tuelewe maana ya neno Uislam, tukielewa basi naamini hatutata tabu ya kuelewa ulianza lini.
 
Huyu mtu alikua ni nani kwa uchunguzi wako uliofanya? Na aliwezaje kuanzisha dini moja mwaka 0 na nyingine akaianzisha baada ya miaka zaidi ya 400??
Jibu. Dunia tangia iumbwe ni miaka 2023? ukinijibu utakuwa ushapata jibu.
Dini unajua maana ya dini au ? (DINI NI MWONGOZO AU NJIA)
.AFRIKA TULIKUWA NA MWONGOZO WETU SIO WOTE WALIKUWA NA IMANI ZA KISHIRIKINA. KAMA BASI UISALAM UMEKUJA KUONDOA USHIRIKINA NA IMANI POTOFU IMANI HIZO ZIMEISHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…