Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Mnaboa bwana. Tena ukiwa una nafasi kidogo unaweza kujaza droo kadi za harusi.Si ukipewa unakataa tu
Toa elfu 10 au 20 uone kama utapewa kadi ya kula ubwabwa.Kunipa kadi sio tatizo ila kuniwekea kiwango kwamba lazima kifike kiwango hicho hapo ndo huwa sikubaliani nao.
WAtu wanapambana kutumiza malengo na ahdi walizowekeanaImekua kero haswa kuelekea mwisho wa mwaka kadi zimekua nyingi kama Tozo.
Wewe ponda maisha yake uwezavyo ila ndio ameshasema MCHANGO WA HARUSI HATOISema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Ukiwa complicated kwenye maisha hutafurahia maisha kamwe, mimi sina mpango wa kuoa lakini nachangia kama nina uwezo kama siwezi namuambia muhusikaHi gentlemen!
Wakuu hivi mnalichukuliaje suala la kadi za michango ya sherehe kama hharusi na send-off?
Binafsi mtu anayenipa kadi ya mchango wa sherehe namwona kichwani hamnazo, amekosa akili kichwani.
Tubadilike, tuache kupenda mambo makuu, tufanye sherehe za kipato chetu.
Tusaidiane kwenye mambo ya elimu, biashara , ajira na afya sio mambo ya kuchangiana mtu akafanye nanilii na mwenzi wake.
Exactly atafute hela watu wenye hela huwezi Kuta wanalalamika mambo ya kawaida ya mchangoTafuta hela,umasikini huleta roho mbaya
Mkuu punguza hasira, Acha ukweli usemwe!Sema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Hi gentlemen!