Dunia duara!!!!!Tatizo kuna maeneo kama kanda ya kaskazini ukiandaa sherehe ukaalika watu bila wao kuwa wamechanga hawaji, wanaona umewaona ni masikini hivyo umewaita ili uwalishe bure ( dharau) ndio maana hata matajiri huchangisha
Exactly watu hawawi huru, usipopenda kuchangisha ni bora usifanye shereheTatizo kuna maeneo kama kanda ya kaskazini ukiandaa sherehe ukaalika watu bila wao kuwa wamechanga hawaji, wanaona umewaona ni masikini hivyo umewaita ili uwalishe bure ( dharau) ndio maana hata matajiri huchangisha
Watu watasema hauna ushirikiano na wenzako Kuna mda utapata shida utakula jeuri yakoTatizo letu ni kwamba,usipoenda harusini wao hawata kuja msibani(ukifiwa).
Naamini watu lazima waje msibani haijalishi vipi,Tatizo letu ni kwamba,usipoenda harusini wao hawata kuja msibani(ukifiwa).
Sio lazima kuja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tafuta hela,umasikini huleta roho mbaya
Mkuu harusi ni shughuli, na msiba ni shughuli.Hivyo ukifa wewe watakuja bila maneno Ila ukifiwa mfano na mke au mtoto utaiona kila rangi hasa vijijini ,kwa mjini labda.
Weye changia.Ila mimi mnialike nitaleta zawadi.Halafu,ni hiyari yenu kunialika kama ilivyo hiyari yangu kuhudhuria.Kama mtu unaweza kunywa bia za elfu 10, au 20, au hata 50 kwa mwezi kwanin nisichangie harusi
Kama unaweza mhonga mchepuko au mwanamke kwanin nisichangie life is too short ukipata nafasi na uwezo enjoy
Kwa sis Wanaume unaweza ukawa unalipia kingamuz lakin hata usipate mda hata wa kuangalia sababu unaondoka asubuhi unarudi usiku Sasa kwanin usichangie harusi
Heshimu chanika mkuu.Sema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Sherehe hujachangia nani aje raha ya sherehe uchangie,
mim mwenyewe sipendi kwenda kwenye sherehe ambazo sijachangia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sema huna hela tu kijana nasio kutoa visingizio.
Mtu mwenyewe unakaa chanika,kutwa kudandia madaladala hyo hela ya kuchangia unaitoa wapi ikiwa kula yako yenyewe tu ya tabu
Tena bora basi watu wenyewe wangekuwa bikra.....mrembo breki pumbuz na jamaa kachakata mbususu mpaka mileage inasoma 100kHii ni sahihi 100% yaan mimi nisaidie kuidhinisha watu kwenda kunyanduana?
Kuombwa Tena naumesema hauhitaji michango kadanganye watoto wadogoSherehe ni pongezi
Kama unatamani kuchangia utachangia bila kuombwa tena Mimi naweza kusema nilichangiwa sana na kwa upendo mkubwa na waliohudhuria kwenye sherehe yangu japo sikuomba michango