Upendo iswa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 345
- 548
Kweli kabisaPamoja sana
Binafsi nilikataa kuchangiwa sendoff niliwashinda wapinzani wa katazo langu ambao ni ndugu na jamaa waliokua wanang'ang'ania ati nichangiwe sababu wao wamechangia
Unataka kuoa au kuolewa weka mipango yako sawa kadri ya uwezo wako sio kadri ya mifuko ya wengine
We ukisusa wenzako watachangia usifikiri kila mtu ana akili Zako, ni uhuru wako wa kutokuchangia laki wako watakaochangia wengiKichwa yako ngumu sana kuelewa.Haya endelea na uombaomba wako.
Angalia hata kwenye jamii nenda kwenye misiba, harusi, kusaidia watu angalia wachangajia ni wale wale kutoa ni moyo kama huna utakua ni mtu wa sababu nyingiUkiwa huna pesa kila mchango utaona ni mzigo, sasa rafiki yangu anaoa nisiende harusini kumpongeza? Niende kula harusini bure? Urafiki ni kukutana bar na kununuliana bia?
Huwezi ukawa mvivu wa kusoma magazeti eti ukapenda kusoma vitabu, kama huwez kuchangia sherehe hata hyo misiba au elimu hutoweza. Na mkono usiotoa kitu ni ngumu kupata kitu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Misiba sawa.Harusi mjipange kabla ya kuwaza kula ubwabwa.Angalia hata kwenye jamii nenda kwenye misiba, harusi, kusaidia watu angalia wachangajia ni wale wale kutoa ni moyo kama huna utakua ni mtu wa sababu nyingi
[emoji3][emoji3][emoji3]Tafuta pesa ili ufanye sherehe kubwa unayoitaka na sio kusubiri hela za wanaume ili ukaolee.
Labda waweke kiambatanisho mfano, 5000 mwaliko tuu, 10000 unapata na soda2, 20000 soda na ubwabwa maharage tuu, 30000 ubwabwa nyama, 100000 vyakula na soda/ bia.Toa elfu 10 au 20 uone kama utapewa kadi ya kula ubwabwa.
Hiyo imekaa kisomiLabda waweke kiambatanisho mfano, 5000 mwaliko tuu, 10000 unapata na soda2, 20000 soda na ubwabwa maharage tuu, 30000 ubwabwa nyama, 100000 vyakula na soda/ bia.
Kwahiyo mchangiaji unachagua menu yako kabla ya kuchanga.