Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.

Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .

Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .

Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192893
View attachment 3192895
Tangu lini shetani akawa Mtendaji mzuri na mzalendo!
 
Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.

Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .

Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .

Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192893
View attachment 3192895
Kiutendaji he is the best, though politicaly he was not good, but utekelezaji one of the best
 
Samia kafanya makubwa, tena ndani ya muda mfupi.
Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.
 
Safi. Hizo wanazotengeneza ni propaganda za kijinga tu kumchafua. Kinachosikitisha zaidi ni serikali kukaa kimya bila hata ya kufungia kitabu kile. Kama magufuli angelijua mapema kwamba anamsaidizi wa namna hii angemwondoa haraka sana
Kwa vyovyote vile, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea dude lile, yule alikuwa ni laana kwa taifa, angalia ukatili aliouasisi wa kuteka watu na kuwaua unaendelea hadi sasa kupitia kwa malaika wake aliowaacha huku duniani, huko mbinguni wam bane sawasawa hadi aseme kama ni yeye alim pyu pyu Ben sa8 au ni nani, nduli kabisa.
 
RIP shujaa , we will never forget you.
Sikilizeni, mtu asiyefuata sheria katika kuongoza, asiyeheshimu mamlaka zingine na kukanyaga mihimili ya dola,

Anayejifanyia mambo tu anavyotaka yeye bila kufuata taratibu,

kamwe hawezi kuwa mzalendo.,

Huyo atakuwa mwendawazimu flani tu.
 
Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.

Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .

Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .

Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192893
View attachment 3192895
Alianza kuwachukia wapinzani baada ya kuona hawamuungi mkono hata kwa yale ambayo amekuwa akiyachukua kutoka kwa hao wapinzani wenyewe !

Kuna kipindi wapinzani walisemaga Magufuli anafuata sera zetu !
Lakini bado waliendelea kumpinga !
 
He is my all time President ,, RIP Bulldozer .

Haukuwa mwanasiasa bali kiongozi shupavu.
 
Alianza kuwachukia wapinzani baada ya kuona hawamuungi mkono hata kwa yale ambayo amekuwa akiyachukua kutoka kwa hao wapinzani wenyewe !

Kuna kipindi wapinzani walisemaga Magufuli anafuata sera zetu !
Lakini bado waliendelea kumpinga !
Watu wanadhani upinzani ni kupinga tu
 
Mkuu JPM anachkiwa na watu wacheche ambao maslahi yao yakuinyonya nchi na watanzania yalizibwa ipasavyo chini ya utawala wake.
 
Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.

Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .

Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .

Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192893
View attachment 3192895
Yale Yale madai yasiyo na namba za ulinganifu.

Kwangu Mimi SSH ndio Rais wangu Bora.

Sijawahi na sitokuja kuwahi kushabikia wajamaa.

Mzee wangu baada ya kustaafu kukisalia.kidogo afe bila pension yaani unapata pension ya mapunjo baada ya miaka 2 tangu kustaafu.
 
Uko sahihi

Ana mazuri yake ila anamabaya sana pia
 
Back
Top Bottom