Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Pamoja na yote, to me, Magufuli ndo rais bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangu lini shetani akawa Mtendaji mzuri na mzalendo!Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.View attachment 3192893
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .
Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .
Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192895
Tumia akiliAchievements are not measured in words shehe. Maguli alikuwa anajipigua promo tu lamini alikuwa galasa kwa vitendo. Alichojua sana ni kuua tu na kumaliza upinzani kibabe
Akili ndo hizo unless huna akili kuelewa akiliTumia akili
Kiutendaji he is the best, though politicaly he was not good, but utekelezaji one of the bestHayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.View attachment 3192893
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .
Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .
Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192895
Kwa vyovyote vile, tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea dude lile, yule alikuwa ni laana kwa taifa, angalia ukatili aliouasisi wa kuteka watu na kuwaua unaendelea hadi sasa kupitia kwa malaika wake aliowaacha huku duniani, huko mbinguni wam bane sawasawa hadi aseme kama ni yeye alim pyu pyu Ben sa8 au ni nani, nduli kabisa.Safi. Hizo wanazotengeneza ni propaganda za kijinga tu kumchafua. Kinachosikitisha zaidi ni serikali kukaa kimya bila hata ya kufungia kitabu kile. Kama magufuli angelijua mapema kwamba anamsaidizi wa namna hii angemwondoa haraka sana
Sikilizeni, mtu asiyefuata sheria katika kuongoza, asiyeheshimu mamlaka zingine na kukanyaga mihimili ya dola,RIP shujaa , we will never forget you.
Alianza kuwachukia wapinzani baada ya kuona hawamuungi mkono hata kwa yale ambayo amekuwa akiyachukua kutoka kwa hao wapinzani wenyewe !Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.View attachment 3192893
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .
Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .
Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192895
Uko sahihi mjukuu wanguPamoja na yote, to me, Magufuli ndo rais bora
Watu wanadhani upinzani ni kupinga tuAlianza kuwachukia wapinzani baada ya kuona hawamuungi mkono hata kwa yale ambayo amekuwa akiyachukua kutoka kwa hao wapinzani wenyewe !
Kuna kipindi wapinzani walisemaga Magufuli anafuata sera zetu !
Lakini bado waliendelea kumpinga !
Yale Yale madai yasiyo na namba za ulinganifu.Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.View attachment 3192893
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .
Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa lakini kiuhalisia aliipenda Nchi na Kaifanyia mengi .
Alijisemea mwenyewe akumbukwe kwa mema .
View attachment 3192895
Hata baada ya kumzukia makamu na pyjama!?Pamoja na yote, to me, Magufuli ndo rais bora
Yale Yale madai yasiyo na namba za ulinganifu.
Kwangu Mimi SSH ndio Rais wangu Bora.
Sijawahi na sitokuja kuwahi kushabikia wajamaa.
Mzee wangu baada ya kustaafu kukisalia.kidogo afe bila pension yaani unapata pension ya mapunjo baada ya miaka 2 tangu kustaafu.
Ana mazuri yake ila anamabaya sana piaHayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.View attachment 3192893