Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

Binafsi ninaamini pamoja na Mapungufu Hayati Magufuli bado atabaki rais bora kiutendaji na kiuzalendo

Sikilizeni, mtu asiyefuata sheria katika kuongoza, asiyeheshimu mamlaka zingine na kukanyaga mihimili ya dola,

Anayejifanyia mambo tu anavyotaka yeye bila kufuata taratibu,

kamwe hawezi kuwa mzalendo.,

Huyo atakuwa mwendawazimu flani tu.
Tunataka Maendeleo sio porojo zenu
 
Magufuli labda kwa upande wa kwenye taasisi za serikali wakati wake utendaji ulikuwa wa hali ya juu, sasaivi ni zero,
Samia yeye ni bora zaidi ya magufuli, kuna kundi la wachache ndio wanataka kumuharibia yeye kama yeye nadhani ajashtuka tu bado .
 
Pamoja na mapungufu yake lakini Magu alifanya maendeleo makubwa na yanaonekana..!! “Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni”
Hapo kwenye Mnyonge Mnyongeni Ndio ananyongwa sasa hivi,
Haki yake alipewa Kwa kusifiwa na kupongezwa Hadi kuogopwa na kufananishwa na Mungu na Mungu kuagizwa amshukuru yeye kwa kuondoa korona! Rejea ya Afande Shana, alijikubali kiasi ya kwamba akatamani kuongoza Malalika Mbinguni na Mungu akamuita mbinguni kweli, na ni Imani yangu kuwa hapo alipo sasa anaongoza regiment yake ya malaika, Kwa sababu naamini mbinguni Kuna majeshi ya malaika!
Hawa wanaomnyomga sasa kama usemi wako unavyosema Wacha wamnyimge Ndio wakati wao!
 
Safi. Hizo wanazotengeneza ni propaganda za kijinga tu kumchafua. Kinachosikitisha zaidi ni serikali kukaa kimya bila hata ya kufungia kitabu kile. Kama magufuli angelijua mapema kwamba anamsaidizi wa namna hii angemwondoa haraka sana
Kwahiyo Kitabu kinapitia TCRA au ni kitabu Cha kiada kufundishia secondary Ili serikali iwezei kukipiga Ban? Huwa mnawaza Kwa kutumia sehemu ipi ya mwili?
Kwamba Kwa sababu mlijitungia Sheria ya kufungia magazeti redio na Tv na vitabu vyenye international levels mnaweza kivifungia? La da mkafungie kuku!
Unaposema angelimwondoa msaidizi! Umesoma katiba vizuri kwamba ni utaratibu Gani angeutumia kumuondoa? Au umekuja tu kuandika sababu ya mahaba.
 
Pamoja na ujinga wake mwingi kama kukandamiza upinzani,maamuzi ya kukurupuka, kupenda sifa, nepotism nk Lakini bado nimeshindwa kumchukia.
Alirhuhutu fanya vingi ambavyo ilikuwa kama ndoto kwa nchi.
He was revolutionary leader.
 
Back
Top Bottom