Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Mkuu mtu anayeandika Uzi "Binafsi sioni faida ya kuwa humu", halafu akasindikiza uzi kujibu watu bado ana matatizo. Anayemaanisha kweli haoni faida ya kuwa humu hasemi ana delete account na kufanya mambo mengine. Angalia wote wanaotofautiana mtazamo na wewe unavyo react, ndo maana nikakuita attention seeker, kama unajiona upo sahihi basi kweli una changamoto ya akili.
 
Ni kwa sababu akili yako haina coordination kuona tatizo liko wapi... Umekalia battle za kishamba tu
 
Ukiona umefikia hiyo stage wewe ni mbinafsi na haufai hata kuwa kiongozi wa familia yako. Yaani hata kama umeoa huyo mke anakusaidia tuu laazima una ghubu wewe

HEBU KUWA MWANAUMEEEE😠😠😠😠😠

Takataka nyingine sio za kuzionea huruma kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…