Binafsi sioni faida ya kuwa humu.

Sasa kama mtu unaona huoni faida ya kuwa humu si unachukua hatua ya kimaamuzi ya kutoingia humu, utoto banah halafu unajisema zamani jf haikua hivi kwani wewe mkongwe sasa mbona wewe ndiyo unaongoza kwa utoto
 
Unaongea kwa mihemko na hujasoma uzi uelewe.
 
Kama umesha gundua kua huoni faida ya kua humu,unangoja nini sasa?
Wala haikua na haja ya kuanzisha huu uzi,wewe sepa tu,usijipe umuhimu humu ambao huna,

Kila siku kazi kuanzisha vinyuzi vya kujiliza tu humu kama mke mwenza anaye tengwa na mumewe!
Nakazia Mkuu ye kama haoni faida ya kuwa humu asepe tu kimya kimya mana anavyochelewa chelewa mwishowe si ajabu akaja na Id nyingine ya kujitaka aendelee kubakia. 😃
 
Nakazia Mkuu ye kama haoni faida ya kuwa humu asepe tu kimya kimya mana anavyochelewa chelewa mwishowe si ajabu akaja na Id nyingine ya kujitaka aendelee kubakia. 😃
Ni kwanini wabongo huwa mnatupa vijembe bila hata ya kufikiri nini kwa manufaa yapi mnavitupa?

Mbona huwa hamkai kufikiria kujua nia ya mtoa mada analengo gani na hatua gani inapaswa kuchukuliwa?
 
Kama umesha gundua kua huoni faida ya kua humu,unangoja nini sasa?
Wala haikua na haja ya kuanzisha huu uzi,wewe sepa tu,usijipe umuhimu humu ambao huna,

Kila siku kazi kuanzisha vinyuzi vya kujiliza tu humu kama mke mwenza anaye tengwa na mumewe!
Ni aina hii ya watu ambao hawana akili za kueleweka na wamejawa na vinyongo ndo nilitaka kuongelea..
Sasa umeongea hivi ili kupata nafuu na kutema nyongo? Ama? Maana hii comment haina uhusiano wowote na content za huu uzi..

Infact wewe mpuuzi ndo umeandika haya ili jf nikuone na ego ako hiyo ya kishamba
 
Hivyo Mkuu unataka kusema we akili zako zinashinda Jopo lote la Melo na Wafanyakazi wake?
Sijasema nimekuuliza swali wewe member usiye na spana kichwan... Ni kwanini unapenda kujibu kwa kutumia mihemko? Acha kukwepa mshale
 
Toba. Pole Mkuu.
Acha kutia huruma...
Ulikuwa unataka upate recognition kwa kutema shit? Ndo nyie millenial mnaoharibu forum kwa kufuata mikumbo ya kijinga mkidhani kila mmoja ata buy kwenye huo upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…