Binafsi siwezi kuajiri dada wa kazi nyumbani kwangu

Kwangu dada wa kazi alinisaidia sana.
Siwezi kudharau kazi zao hata kidogo.
Alinitunzia watoto wangu mapacha, aliwalea kama watoto wake.
Bila msaada wa huyo dada mke wangu sijui ingekuwaje.
 
Housemaid ambao mnawaita Housegirl
Siô kwèli kivipi?
Upo kwèñye hiyo sekta mpaka usemè siô kwèli?
Nadhani unachanganya mambo wewe ,yani nimemtoa msukuma au muha huko ndani ndani anagauni moja tu na kanga mbili hata darasa la pili hajasoma halafu afike kwangu nimlipe laki 5 ,we jamaa unaongea story za kusadikika kabisa
 
Sishauri kua na housegirl japi Sometime, Kuna mazingira hua yanabana kiasi cha kutaka msaidizi.

Ila cha kuzingatia ni ugawaji wa Majukumu, kama mzee hakikisha Wife anafanya yale anayotakiwa kutimiza kama mke.

Ukiacha kila kitu kwa housegirl, Shida inaanzia hapo.
 
Nadhani unachanganya mambo wewe ,yani nimemtoa msukuma au muha huko ndani ndani anagauni moja tu na kanga mbili hata darasa la pili hajasoma halafu afike kwangu nimlipe laki 5 ,we jamaa unaongea story za kusadikika kabisa

Juu nimekuambia wΓ po maid weΓ±ye degree na diploma kutokana na tatizo la Ajira. Ninawajua wanaolipwa kuanzia 350k mpaka 580k
Mimi ndiye nimewapa hizΓ΄ Kazi Sasa kwako kipi cha ajabu?

WΓ po maid wamesomea Hotel management na mambo ya housekeeping wanalipwa Mshahara kuanzia 200k mpka 400k

Hao unaowasema wewe hao siΓ΄ maid na hawana sifa za kuitwa housemaid.
 
Usaidizi katika nyumba HAUKWEPEKI inategemea unakipato kiasi gani, majukumu yenu yapoje, familia imekaaje,

Msaidizi anatakiwa awe wa mtindo gani?
 
My dear akukujibu nitag na mie nione. πŸ˜€
Amesema laki 3 my diha, na medical insurance na nssf.

Nikipiga hesabu mie salary yangu ni laki 3 na 56 na mia 8 na cent 12. Nikitoa laki 3 ya dada na insurance yake 18 na nssf 50 sijui niache kazi nkawe dada.
 
Amesema laki 3 my diha, na medical insurance na nssf.

Nikipiga hesabu mie salary yangu ni laki 3 na 56 na mia 8 na cent 12. Nikitoa laki 3 ya dada na insurance yake 18 na nssf 50 sijui niache kazi nkawe dada.
Hahahaaa. Mie mwenyewe kanitamanisha sana aisee hadi nimejikuta natamani niache hii kazi yangu ya kuuza genge. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unategemea huyo Boss wake atakuwa mwenye take home ya Mil 1 ama 2? Huyo atakuwa ni mfanyabiasha mkubwa ama waziri.

Hapa tunatungumzia wale wenzangu na mimi wenye mishahara chini ya mil 2

Hiyo haiwezeniki
Take home 1m
Wengi hulipa 70k to 100k
 
Madada wa kazi na houseboy ndio wanainjoi life kuliko mabosi zao unakuta mama kakauka lakini mdada kafutuka
 
Una watoto wangapi?
 
Ulaya ni hamsini kwa hamsini kazi za ndani ni zamu kwa zamu kazi za ndani ufanywa na familia nzima.
Madada wengi ni kwa ajili ya status na kuiga tu lakini hakuna kazi za kuwashinda wanandoa.
 
mdada wa kazi ni muhimu sema ni vile tu kumpata mstaarabu, mimi sitoisha na house girl kama housegirl ila nitamfanya mwanangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…