Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Ukikua utaelewa.
"Asiyejua maana ,haambiwi maana".
Kwa hiyo waandishi wa Quran Kam mtume Muhamad hakuwa amekua alipokuwa anakataza uchawi na shirki?
Kwa hiyo mataifa yanayoona uchawi na ushirikina na mila potofu za kupigwa vita hawajakua?
Kuna Watu akili zenu mnazijua wenyewe.