Wamewaiga Masheikh wa bidaa, wamefanya sana hizo mambo.....Shri anachanganya Aya za Qur'an na uchawi....ndo mara wanaandika makombe, mara hii kafukie, hii kapake uchawi mtupu.Mamy K siku hizi washirikina wakubwa ni hawa walokole. Hili ni kundi linaloendekeza ushirikina hakuna mfano. Wachungaji na manabii wengi wanajua kuwa bila kuwajaza waumini wao hofu ya uchawi, hawatanunua mavitu yao ya upako. Kwa kifupi ni kuwa hawa manabii na wachungaji wa kilokole ni waganga wa kienyeji wanaotumia biblia badala ya vibuyu na matunguli wengine.
Now makombe ya kilokole ndo hayo mafuta ya upako na maji......