Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

Tafsiri yake ni kwamba unahitaji mtu asiyeamini ktk Mungu pia,maana uchawi upo ktk vitabu vya imani,na Kuna mstari mdogo baina ya dini na ushirikina,Imani ni kitu kisichoonekana sawa na uchawi vilevile!!
Mungu naye ni stori tu! Hayupo.
 
Mtu anayewaza ushirikina au waganga ni kipimo namba moja cha Umasikini.
Tupo mbali sana kwa sasa kimaendeleo ya kiteknolojia kuwaza mambo kama hayo
Umaskini kweli ??? Muafrika alijisahau kabisa and in his inept sees himself clever.
Wahindi hawa kabisaa kila uchao ni maudi kila kona akitema ndumba. Na ndio wanaongoza kwa biashara bongo tena kwa umbali sana . Au hujui ule ni ushirikina ??
Krishna umefuatlia ni nani kiundani??
Wazungu ndo kabisa sitaanza kuiongelea, even the royal British family ni publicly known freemasons ,stop putting your head in the sand open your eyes to the world as it is .
Unaweza chaguo kuignore villify it as much unataka it won't change the fact that the world is run by something more than kinaonekana.
Unajua kuwa inclination ya pyramids ipo on the same degrees as the speed of light?? Is it a coincidence , I've only met one set of magic more advanced than ancient Egypt's, which by the way walikuwa waafrika .
 
Mtibeli uko sahihi, lakini sasa mbona huko upareni ndo mnaongoza kwenda kwa waganga na imani za kishirikina?

Nimezaliwa same ,na kusoma primary huko napafaham vizuri ,Ule mlima shengena una mambo mengi sana
 
Kwenye matatizo ni rahisi kuwajua.
Mchawi na mshirikina hafichiki. Kama sio kwa kuona basi kwa kunusa kwa sababu ni kama mavi. Lazima usikie harufu
Rahisi sana kuwajua hawa wa level za chini ila wale ma masta wenyewe kuwajua ngumu sana , tena wapo vizuri kwenye kuficha mambo yao,,,.....na wengi wanapendaga kutumia kichaka cha dini kuficha mambo yao, wengi utawakuta hata ni wazee wa kanisa au mtu mkubwa msikitini ila ndo masta na watu kuwashtukia ngumu
 
Mtibeli uko sahihi, lakini sasa mbona huko upareni ndo mnaongoza kwenda kwa waganga na imani za kishirikina?

Nimezaliwa same ,na kusoma primary huko napafaham vizuri ,Ule mlima shengena una mambo mengi sana
Doh kumbe mpare.....hakwepi hayo
 
Kuzoea ushirikina ni ovyo sana, hata ukijikwaa tu utakimbilia kwa mganga kuangalia shida nini

Ndo huyu sasa. Ana waganga kama 20 anasema. Alikua anagombana na mwanamke mwingine wanashare bwana ananiambia kila baada ya dakika 5 anamcheck babu amuangalizie mwenzie anafanya nini [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Rahisi sana kuwajua hawa wa level za chini ila wale ma masta wenyewe kuwajua ngumu sana , tena wapo vizuri kwenye kuficha mambo yao,,,.....na wengi wanapendaga kutumia kichaka cha dini kuficha mambo yao, wengi utawakuta hata ni wazee wa kanisa au mtu mkubwa msikitini ila ndo masta na watu kuwashtukia ngumu

😀
Na wengine unaweza kukuta ni kama mtoa mada, wanajifanya hawataki kuusikia kabisa uchawi na ushirikina kumbe wao ndio wazee wa kazi
 
Mtibeli uko sahihi, lakini sasa mbona huko upareni ndo mnaongoza kwenda kwa waganga na imani za kishirikina?

Nimezaliwa same ,na kusoma primary huko napafaham vizuri ,Ule mlima shengena una mambo mengi sana

Jamii karibu zote za kiafrika Watu wake wengi ni washirikina na wachawi.
Ni nadra sana kukuta Watu kama mimi ambao kwa mganga hatujawahi kupelekwa wala kwenda.
 
Usimalize maneno bwana mdogo, sijui una umri gani ila usimalize maneno.

Kuna mambo mimi tangu nikiwa mdogo nilishamaliza maneno. Ikiwemo hilo la uchawi na ushirikina, ushoga, madawa ya kulevya, ni mambo ambayo haiwezekaniki kwangu kuyatumia.
 
Ni vigumu sana kwa Tanzania hii kupata mwenza asiyeamini hayo mambo!

Hata humu JF tusioamini hayo mambo yawezekana hata watano hatufiki!
Wapo watu kibao hawaamini masuala ya waganga na ushirikialna kwa ujumla wake. Tatizo huwezi kuwapata katika mikutano ya vyama vya siasa, ushabiki wa mipira na kumbi mbalimbali za starehe. Hao watu utawakuta /utaonana nao sana katika nyumba za ibada.
 
Tafsiri yake ni kwamba unahitaji mtu asiyeamini ktk Mungu pia,maana uchawi upo ktk vitabu vya imani,na Kuna mstari mdogo baina ya dini na ushirikina,Imani ni kitu kisichoonekana sawa na uchawi vilevile!!

Mungu ni nguvu chanya,
Akili, haki, uhai, ukweli, upendo yote hayo ni nguvu za Mungu.
Uchawi na ushirikina ni kinyume cha mambo mema
 
Sasa mbona ndoa nyingi zitavunjika, hivi kuna wanaume ambao sio washirikina bongo hii??
Hawa wenye chale mpk kwenye mstari wa pumbunyo!!! Labda useme mataifa ya magharibi huko
Wapo wengi tu ikiwemo mimi.

Wengi hizo chale wamepigwa wakiwa watoto kutokana na shinikizo la wazazi wao na si hiyari zao.
 
Back
Top Bottom